Waungwana naamini magreti sinka mtanisaidia namna nzuri ya kuandika proposal ya civic education on Tanzanian new constitution enactment. Kuna jamaa kanambia wengi wameshakula mchongo huu na sasa...
MBUNGE wa Mbeya Mjini,
Joseph Mbilinyi (CHADEMA), amesema sheria ya uchaguzi katika nafasi za mameya na wenyeviti wa halmashauri nchini ina kasoro hivyo haipaswi kupewa nafasi katika Katiba...
Moto mkali wa madai ya Katiba mpya umeendelea kushika kasi baada ya wanazuoni, wasomi, wanasiasa na wanaharakati kukutana kwenye kongamano la Katiba lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanataaluma wa...
0diggsdigg
Katiba ya sasa ambayo, inapigiwa kelele kwamba ina mapungufu mengi
Geofrey Nyangoro
HATIMAYE Kanisa Katoliki nchini limejitosa rasmi katika mjadala wa katiba mpya likisema kuwa...
Michango ya mawazo wa waliohudhuria kongamano hili lililoratibiwa na Prof. Issa Shivji, Ndg.Jenerali Ulimwengu na Dr. Kitila Mkumbo ktk Ukumbi wa Nkrumah. Video kwa hisani ya Jamvini wa Youtube.
Ili tupate katiba mpya Tanzania inatubidi tuangalie ile damu iliyomwagika pale Arusha ndipo tujue ni katiba mpya ipi watanzania wayoihitaji, kwakua vitendo vilivyojitokeza Arusha ni uvunjwaji wa...
January Makamba ameanzisha mdahalo wa katiba mpya kwenye facebook kinachoendelea kimekaa vizuri watu wanachangia yeye amekaa kimya
"Tuzungumze Katiba mpya. Why is the current one inadequate? Why...
Kuna tetesi ambazo zimeanza kuzagaa huku niliko (Dom) na jana niliisikia nikapuuzia lakini leo asubuhi hii nimepita mitaa fulani nikasikia watu tena wanazungungumzia habari ya kuwepo na kongamano...
Pale Kalimjee ndugu zetu wa Dini ile wamesema wamechoka kunyanyaswa na wanataka mgawanyo wa madaraka nusu kwa nusu, bila kufafanua hii nusu kwa nusu ni Pamoja na Wapagani, Wahindu, Rastars...
katika hali ya kushitua na kushangaza,kesho wakati UDSM wakiwa wameamua kuwa na kongamano kubwa la kujadili uwepo wa katiba mpya,lipo kundi la watu ambao wanadai kuwa ni waislamu na wao wameamua...
HATIMAYE Mbunge wa jimbo la Ubungo jijini Dar e Salaam, John Mnyika (CHADEMA), amewasilisha taarifa ya hoja binafsi ya Katiba kwa Katibu wa Bunge na kueleza mapungufu 90 yaliyo katika Katiba ya...
11(3) Serikali itafanya jitihada kuhakikisha kwamba watu wote wanapata fursa sawa na za kutosha kuwawezesha kupata elimu na mafunzo ya ufundi katika ngazi zote za shule na vyuo vinginevyo vya...
Udasa: Tume ya katiba ni mali ya rais
Wednesday, 12 January 2011 21:22
Salim Said
JUMUIYA ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa), imesema...
Leo jioni kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku katika ITV wameonekana wanafunzi wa Mlimani wakiaandamana kudai katiba mpya, kupongeza hatua ya Bunge lao kuung'oa uongozi wa DARUSO na...
Mnyika kuendelea na hoja yake Sunday, 09 January 2011 20:52
Claud Mshana
MBUNGE wa Ubungo kupitia Chadema, John Mnyika, amesema ataendelea na mpango...
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
Academic Staff Assembly
JUMUIYA YA WANATAALUMA CHUO KIKUU CHA
DAR ES SALAAM (UDASA)
inawaletea:
KONGAMANO LA KATIBA
MADA KUU...
Katiba Mpya siyo mali ya chama cho chote cha siasa,wala serikali iliyoko madarakani, HAPANA!!!!!!- ni mali na msitakabali wa Watanzania wote, kwa pamoja wapatao miliono 40 waliopo sasa; kwa faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.