Kiukweli nimefurahi sana waafrika tumeamka sana jana kwenye vyombo vya habari eti waziri mkuu atajiuzuru na kuachana na mambo ya siasa baada tu ya uchaguzi wa nchi yao sasa swali, je sisi...
Source: NIPASHE Ijumaa Januari 28,2011 Uk wa 3
Heading: Spika Aitisha Hoja ya Mnyika ya Katiba
Abstract: Bunge limekubali Mnyika awasilishe maelezo ya hoja ya sheria ya kuratibu mchakato wa...
hivi ni kweli kwamba matatizo yetu yote tuliyonayo ni sababu ya katiba? na ni kweli kwamba katiba tuliyo nayo haitoi maelekezo ya nini cha kufanya juu ya rushwa na ufisadi? hivi tukipata katiba...
Ndugu Watanzania na wote wenye mapenzi mema kwa nchi yetu; Salaam.
Kutokana na matatizo mbalimbali ya bunge letu hasa haya yafuatayo:-
(i) Asilimia kubwa ya wabunge kujiona kuwa ni wamiliki wa...
Ni muda sasa tangu Raisi akubali mapitio ya katiba ya zaman na Marekebisho au kuundwa kwa Katiba Mpya.. na tokea Raisi katoa Ridhaa hiyo kumekuwa na mijadala mingi sana inayo anzishwa na...
asante kwa kuandikishwa katika jamii forum.
nataka kujua kuhusu kongamano la katiba mpya lililoandaliwa na UDASA- CHUO KIKUU.
Hivi mmefuatilia kwa makini hoja za watoa mada?
napendekeza tuweke sheria ili mtu anayegombea atoe ahadi anazoweza kutekeleza alafu aandike na ale kiapo cha kutekeleza. Alafu iwe ka sheria ili asipotekeleza asiruhusiwe tena kugombea coz wat i...
JUMAPILI ILIYOPITA ITV WALIRUDIA KONGAMANO LA KATIBA,NA MIMI NILIPATA BAHATI YA KUSIKILIZA HIYO JUZI KWANI MARA YA KWANZA SIKUWEZA KUSIKILIZA,NILIMSIKIA MBUNGE WA UBUNGO AKIMUULIZA NDUGU SHIVJI...
Tunapenda kuwataarifu wananchi ambao hawataweza kufika CKD kuwa kongamano la katiba kesho litaonyeshwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha ITV. Tunawashukuru sana ITV kwa moyo wa uzalendo...
Rasimu sifuri ya Katiba mpya iliyoandaliwa na CUF imeonesha kuvunja muungano wa Tanzania na kuleta msigano kati ya CUF Bara na CUF Zanzibar hasa baada ya kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa na...
Ujenzi wa
Ujamaa na
Kujitegemea
Sheria ya 1984
Na.15 ib.6
Sheria Na.4
ya 1992 ib.6
9. Lengo la Katiba hii ni kuwezesha ujenzi wa Jamhuri ya
Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar au wa...
Geofrey Nyangoro
HATIMAYE Kanisa Katoliki nchini limejitosa rasmi katika mjadala wa katiba mpya likisema kuwa linaunga mkono mchakato huo, lakini likihadharisha kuwa mchakato huo unahitaji...
Kwa namna ya pekee naipongeza CDM na viongozi wake kwa kuamsha ari ya waTZ kudai katiba mpya ya Tanganyika maana Zenji tayari wana yao.
Mwamko huu wa watu umikuja mara baada ya uchaguzi mkuu na...
waziri mkuu mstaafu F. Sumaye amezungumzia mambo mengi yanayoigusa jamii, mojawapo ni kumshukuru mnyika kwa kupeleka hoja ya katiba mpya bungeni, pia amezungumzia Dowans na kuwaunga mkono akina...
Wakili wa Kujitegemea na mwanachama wa Chadema, Mabere Marando, alisema suala la katiba mpya kwa sasa halina mjadala tena.
Katiba mpya, tupende tusipene, Kikwete apende asipende, CCM ipende...
Swali langu kwenu wana jf ni juu ya hii katiba kweli itawafikia mama zetu kule vijijini ili waweze kuona faida ya katiba mpya?kimsingi nimejifunza kitu tokea huu mchakato uanze ni watu wa mjini tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.