Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,James Mbatia,amesema katiba iliyo andaliwa na serikali inayotarajiwa kufikishwa bungeni kwa ajili ya kujadiliwa imenakiliwa kutoka katiba ya...
kuna kipengele katika muswada wa uundwaji wa tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya kwamba ni kosa la jinai kuhoji au kupinga au kukebehi maoni/maamuzi ya tume. Imekaaje hii?
Jamani wana JF, mchakato wa katiba mpya unategemea kupelekwa bungeni katika kikao kijacho cha bunge kwa mujibu wa taarifa ya mwisho wa mwezi wa March ya Mheshimiwa raisi lakini inakuaje yale...
Tuesday, 29 March 2011
Mwandishi Wetu
MUSWADA maalumu wa kuunda Tume ya kukusanya maoni na kupendekeza muundo wa Katiba mpya ya Tanzania, unatarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Aprili...
Wanajamii Forums hapo juu nawakilisha swali langu na pia kueleza mtizamo wangu juu ya jambo hili. Naomba mchango wenu lakini naomba tuchangie kwa hoja za kujenga!
JUMUIYA ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa), imeandaa kongamano la pili la Katiba ambalo pamoja na mambo mengine, litajadili muswada maalumu wa sheria unaopendekeza mabadiliko...
MBUNGE wa Jimbo la Ubungo (CHADEMA), Bw. John Mnyika amedai kushtushwa na maudhui ya muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa
mwaka 2011 uliochapwa katika Gazeti la Serikali toleo No. 1 Vol...
Randal Sadleir
Randal Sadleir, who died on August 11 aged 85, was a colonial servant in Tanganyika whose friendship with the charismatic Julius Nyerere enabled him to stay on as the last British...
Tujalie Wzbar tuna Muungano na Tanzania Bara?kilicho tunganicha ni nini hivi sasa?
Waungwana? mimi nashindwa kufahamu jee tuko ktk Muungano au tuko ktk mazoea tulio kwisha zowea? maana haingii...
KUTAKUWA NA KONGAMANO LA KATIBA JUMAMOSI HII NKURUMAH UDSM LAKINI WASEMAJI KAMA NI WACHOVU SANA YAANI SAMATTA NA JAMAA MMOJA WA LHRC MHH NAPATA MASHAKA KAMA LITAFANA
ila wadau mwende mtupe habari
Kwenye katiba mpya lazima tuweke sheria Ndugu wa Rais atakayechaguliwa hawaruhusiwi kugombea Urais au Madaraka yoyote Nchini itasaidia Ubadhirifu usawa na ulafi wa Madaraka na Pesa.
Mtoto wa...
When Barack Obama visited Ghana last year among other things, he said that Africa does not need strong people rather need strong institutions. I contemplated that statement for quite some time to...
SERIKALI imesema mchakato wa mabadiliko ya Katiba utaanza hivi karibuni na itahakikisha kuwa Katiba mpya inapatikana mwaka 2014.
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa...
MJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe, Ismail Jussa, amewasilisha kwa Katibu wa Baraza la Wawakilishi, taarifa ya kusudio la kuwasilisha hoja binafsi.
Hoja binafsi hiyo inaomba...
What we are asking is not an act of 'mercy' or 'charity'. We are not asking CCM and its government to have "mercy" on us and grant us a "new constitution". As a matter of fact, we are not even...
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha kuwa suala la katiba mpya linafanikiwa wakati wa utawala wake ili kujiwekea historia ya
kukumbukwa na Watanzania.
Mwenyekiti wa...
Ni siku chache tu zimepita toka nimsikie Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Ndugu James Mbatia akielezea hofu na masikitiko yake juu ya hili suala ninaloita kupoteza muelekeo! Mbatia alikuwa...
Mjadala wa Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano umeendelea kupasua vichwa wanasheria na vigogo wa Zanzibar, ambapo jana imeelezwa si sahihi Rais wa Zanzibar kula kiapo kutetea katiba hiyo, wakati...
Ni takiribani miezi minne tangu Rais atuahidi katiba mpya. Kwa jinsi kimya kilivyo inaelekea mwaka utaisha hatujasikia kitu.
Zanzibar washaanza kujipanga namna ya kuchangia kwenye katiba kupitia...
Kama tujuavyo "Msema Pweke Hakosi", labda tu kwa faida ya wasomaji wetu, ni wakati muafaka kutumia fursa hii kuwekana sawa. Hii methali ina maanisha kwamba yeyote yule anayesema na nafsi yake huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.