Igweeeeee,
Kama heading ya thread inavyojieleza naomba kufahamu kwa anayefahamu katiba ya kanisa la KKKT Tanzania ni kina nani ni wajumbe wa mkutano mkuu wa kumchaguwa Askofu mkuu?
Kwa upande wa...
Katiba ya nchi ni muafaka wa kitaifa unaoanisha namna taifa linavyohitaji kujitawala katika mambo yote na kuendesha mambo yake. Hivyo basi, Katiba ya nchi ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu...
Asalam,
Kwanza naomba nikiri kuwa pamoja na kupenda sana siasa za kimabadiliko na kimapinduzi lakini pia ni realist. Realist kwa kawaida ni aina ya watu wanaouona klukweli kama ulivyo na unaamini...
Nasema hivi,
Nasema hiviiii wana cdm bado tupo imara.
Kesho timu ya cdm ikiongozwa na Mwamba wa siasa za mageuzi nchini mh Freeman Mbowe kesho atatua mjini SERENGETI.
Turaendelea kuuwasha moto...
Post in thread 'Kuuza lango la uchumi wa nchi ni usaliti mkubwa katika kuvunja katiba ya nchi, Bandari ni mali za Watanzania wote' by FaizaFoxy has been reported by The Hyper. Reason given...
Dar es Salaam, Agosti 22, 2023
Abdulrahman Omari Kinana, mwanasiasa maarufu nchini Tanzania ambaye aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kuanzia mwaka 2001 hadi 2006, ametoa maoni yake...
Kuna umuhimu wa kuhakikisha kwamba Katiba Mpya inapatikana kabla ya Uchaguzi wowote ule , hata kama kutakuwa na gharama nyemelezi .
Ujumbe wake huu hapa
Hatimae Makamu Mwenyekiti wa CCM kasema sio lazima Tubadili KATIBA ila Tubadili Sheria za Uchaguzi kauli hii ina maana Tuendelee kuwa na Katiba iliyopo Katiba yenye Mapùngufu lukuki Katiba...
Ukitaka kujua hii nchi unafiki ni mkubwa, tazama tulivyo kidedea kuminyana na maswala ya bandari wakati swala la katiba (ambalo ndio source ya haya yote) tumesinzia.
CCM na katiba leo hii ndio...
Kanisa la KKKT linategemea kuifanyia marekebisho kadhaa Katiba yake ikiwemo Kuanzisha Chombo cha Juu kitakachosimamia Maadili ya Viongozi wakiwemo Maaskofu
Aidha Askofu mkuu wa KKKT hatakuwa...
Baada ya mapumziko mafupi Chadema kuendeleza 255 Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu kanda ya Serengeti
Tarehe 25/8/2023 watakuwa Shinyanga Mjini kwa mh Patrobas Katambi
Mlale unono 😀😀
Kwa bahati mbaya alidhalilishwa mbele za watu kwa kuambiwa eti hajui hesabu moja na moja anasema tatu. Hivi kweli Mzee Jumbe msomi mzima hajui hesabu? Huu uruhani wa Tanganyika ndiyo fitna...
Ni mtanganyika gani asiyetaka bandari iwe na ufanisi ili kupata mapato na kuendeleza uchumi wa taifa letu?
Mkataba wa DP World una ukakasi ndio maana Watanganyika tunapinga.
Tuwe na Katiba, Rais...
Kuelekea mchakato wa Katiba Mpya ni vyema tukaanza kuangazia baadhi ya maeneo yenye ukakasi ndani ya Katiba ya sasa.
Ibara ya 18(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru
kuwa na...
Misingi yote na nchi na utawala huwekwa kwenye katiba ila pale ambapo katiba haina meno basi ni maarafa kwa nchi husika. Katiba ni msingi wa kila jambo kuanzia uwajibikaji na utunzaji wa...
Kichwa: Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania na watanzania
Katiba ni waraka muhimu unaounda msingi wa mfumo wa kisiasa na kijamii katika nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine...
Tafiti ni muhimu katika maisha yetu ya kila siku pengine ndiyo huchukua nafasi muhimu ya maamuzi katika maisha yetu.
Leo, binafsi ningependa kujua takwa/dai la katiba liko kwa kiwango kipi ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.