Hili toto la Kizanzibari limefunika mbaya mno Kenya, kwa umaarufu huu msije mkamfanyia maushirikina kama Harmonize na kauli zenu za "Hauniwezi Kiserikali, Kipesa, Kishirikina na kama unabisha nipe...
Inawezekana isiwe rahisi kumeza, ila ndio ukwel wenyewe.................
Kenya has unveiled a modern shipyard at the Mtongwe Navy base in Mombasa, making her the first country in sub-Saharan...
Kampuni mpya ya Safaricom itakayoitwa Safaricom Ethiopia, itatumia nambari ya simu ya 07..... ambayo inatumika hapa Kenya. Kila la kheri kwa Safaricom wanapoanzisha kampuni ya pili ya mawasiliano...
After a 15-year break, the Nairobi-Kisumu passenger train service resumed Friday on a high, with over 90 percent of seats booked by Thursday.
Queues were still long at the Nairobi Railways...
Rwandese authorities have approved the KCB Group deal to buy Banque Populaire du Rwanda (BPR) from London-listed financial services firm Atlas Mara Limited.
Atlas Mara made regulatory disclosures...
Wazee wa Kijiji cha Kwamsisi wilayani Handeni mkoani Tanga ambao walizuia ujenzi wa Barabara ya Afrika Mashariki inayopita kwenye kijiji chao mpaka wapewe kiasi cha shilingi milioni 21 ili waweze...
Naona mzee Mseveni kaona isiwe tabu ajibu mapigo baada ya Kenya kuzuia uingizaji wa mayai, kuku na maziwa toka Uganda.
Jaman hii kitu naona ni shida sasa,mchi za EAC zinapaswa kuandaa mfumo mzuri...
https://www.theguardian.com/global-development/2021/dec/08/how-nairobis-road-for-the-rich-resulted-in-thousands-of-homes-reduced-to-rubble
Note:
1) 45% ya wakazi wa Nairobi hutembea kwa miguu kwa...
Aliyekuwa waziri mkuu nchini Kenya Raila Odinga ametangaza kwamba atagombea urais katika uchaguzi mkuu ujao nchini humo mwaka wa 2022.
Alitoa tangazo hilo katika kongamano la Azimio la Umoja siku...
Kati ya magonjwa ya aibu, mojawapo ni Kipindupindu.
Kimsingi, mtu anayeugua Kipindupindu ni mtu aliyekula MAVI.
Mazingira ya kula mavi yanaletelezwa na uchafu na kunya kunya hovyo!
Ukitaka...
Well kwa huku kwetu kila moja anajivutia kamba kwake, nimeona tupate viewpoint kutoka kwa 254.
Muungano haukuwa Takwa la nyerere bali takwa la nchi za kibepari kama uingereza wakihofia nchi za...
Naomba nionyeshe kukoshwa kwangu na muonekano wa Rais wa Kenya, Mhe Uhuru Muigai Kenyatta, wakati alipokuja kwa ziara ya kuitembelea Tanzania. Sina zaidi ya kusema ila kwa wale waliobahatika kuona...
Huyu mama alikua mkurungenzi HP na eBay, halafu tena ni bilionea aliyetosheka, ateuliwa kuiwakilisha Marekani nchini Kenya kama balozi......
Teuzi kama hizi hudadavuliwa sana, nani aende wapi, sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.