ALERT TO INTERNATIONAL COMMUNITY.
Kenya is in election chaos ahead of 2022 as campaigns flagged off unlawfully 2020 by all runners touting Kenya in vigil eyes of IEBC without reprimand to that...
Ni takribani miezi 3 kupita baada ya Uingereza na kenya kukubaliana mpango wa kuwa ajiri wahudumu wa afya (nurses) kutoka Kenya, Leo hii Nov 12, 2021 serikali ya uingereza imetangaza kusitisha...
Ninavyoijua Dar kwa joto, halafu nimeona Watz wanalalamika kuna ongezeko la jua, na sasa kuna hizi taarifa za mgao wa maji, sio ajabu wakazi wake wanaandika vitu vya ajabu humu siku hizi...
Siasa tunazoziona leo KENYA ni zilezile za Kikwete na LOWASSA Rutto alikuwa maarufu zaidi ya Kenyatta kwenye Siasa lakini akaombwa amsaidie ili apate miaka kumi na KENYATTA aje amsaidie nae kupata...
Kifuatiwa kitendo cha Serikali ya Kenya kuingilia Shirikisho la Mpira Kenya (FKF) na kumsimamisha Rais wa shirikisho ilo ni wazi FIFA. Mida wowote wataisimamisha Kenya , endapo Fifa wataisimamisha...
Ulinganisho kati ya ukubwa wa Gdp za states za USA na Gdp za nchi za Kiafrika. California ina Gdp kubwa kushinda Gdp ya Afrika nzima. Hawaii yenye watu chini ya milioni mbili ina Gdp sawia na...
Economists, what does this mean?
That Kenya is reviewing the size of the economy later in the year.
Does it mean the GDP will jump to 150 - 200B?
More loans more project?
========
Treasury to...
Nangoja kusikia Gdp figures za Kenya. Nasikia kwamba GDP ya Kenya imekuwa rebased na kwa hivyo size ya GDP itaongezeka significantly.
Kaeni mkao wa kula habari ikitoka nitapost humu.
Niko huku Sudan Kusini nasaka mpunga kwenye mishe fulani hivi na nimefaulu kukatiza maeneo mengi na kushududia namna Wakenya wamehusika pakubwa kwenye kubadilisha maisha ya hawa watu waliokua...
If you don't fancy a certain presidential candidate don't attend his campaigns. Simple
Wakenya sisi watz tuaipenda sana democracy yenu lakini ndugu zetu mmekosa uvumilivu kbs kisiasa
In the first quarter, uchumi wa Kenya ulikuwa by 0.7%. In the second quarter, uchumi wa Kenya ulikuwa by 10.1%. Kwa hivyo average in the first half of the year inakuwa 5.4%. Officially Kenya is no...
Katika pita pita zangu huko Twitter na Facebook nimeona wakenya wakijitamba kuwa mshambuliaji wa Kenya Mbwana Sammata amefanikiwa kujiunga na club ya Aston villa ya EPL.
Hivi huyo Sammata...
Another bypass is coming in Nairobi.
Construction of the Western bypass officially began yesterday. It will be another beautiful addition to to cement Nairobi as East Africa's hub.
7 interchanges...
Nairobi, Thursday 4th November 2021: Equity has once again been named among global giants in banking. The Kenyan lender has been ranked position 39 globally on return on assets, position 71 on...
Mamlaka ya Mapato nchini Kenya (KRA) inawafuatilia watu wanaochapisha vitu vya anasa kwenye mitandao ya kijamii ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuwabaini watu wanaokwepa kodi.
Mchapisho...
92.3% ya umeme wetu ni renewable energy. Tutagonga 100% kabla ya mwaka wa 2030.
Renewables Provided 92.3% Of Kenya’s Electricity Generation in 2020!
As the world races to decarbonize, Kenya’s...
Samia Suluhu for PRESIDENT (2025-2035)
Maono yangu ni kua Mama Samia Suluhu ataongoza chini ya CCM hadi 2035 sababu yeye ni mzanzibar.
Kama rais wa Tanzania, ataweza kupeleka maendeleo Zanzibar...