Binadamu tunatakiwa kujifunza na kukumbuka kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU
Kilichomkuta Raila Odinga kiwe fundisho kwa Wanadamu wengine...
Akizungumza katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta, Bw Odinga alimsifu Bi Karua kwa bidii na rekodi yake ya haki za binadamu.
"Nilimhitaji Joshua wa kweli kwenye kando yangu, ambaye...
Naona kuna baadhi yetu tunashabikia uchaguzi wa Kenya bila kuwa na critical analysis.
Kwangu mimi naona uchaguzi huu wakenya wameshafikishwa hatua ya kutokuwa na choice au niseme wana choice ya...
MONDAY 15TH AUGUST
1640Hrs
We have intelligence reports that their system was penetrated and hacked and that some of the IEBC officials actually committed electoral offences and some of them...
Kitengo cha ulinzi kinachomlinda Rais Mteule wa Kenya, Dkt. William Ruto kimeimarishwa tangu alipotangazwa kuwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa Urais, Agosti 15, 2022.
Kitengo cha Ulinzi cha...
Mwaka huu kenya moto utawaka moto kati ya wapinzan wawil wakubwa Luto na Odinga huku Odinga akiungwa mkono na Rais aliepo madarakani.
Kinachonogesha siasa za safar hii ni kitendo cha rais na...
System ya Tanzania ilishausoma mapema Mchezo na kujua kuwa Ruto ataenda (na mpaka sasa GENTAMYCINE nasema ameshashinda) na Kumshauri Mama kutoonyesha Upande wake Wowote kati ya Ruto na Odinga...
Hongera sana wana Kenya kwa uchaguzi uliokuwa wa uwazi mkubwa. Katika Afrika bado sijaona uchaguzi ulioendeshwa vizuri kuliko huu wa Kenya.
Ukweli mchungu Uchaguzi Tanzania ni sehemu ya...
Dr. Chibukati kwa namna ya uongozi alioonyesha IEBC anastahili kuongoza taifa kubwa zaidi kiuchumi Afrika Mashariki.
Ikiwezekana uchaguzi wa marudio awemo ili iwe rahisi kutangaza kwa uwazi bila...
Huyu mwamba Hana cha kupoteza, asipodhibitiwa tutaanza kutafuta wasuluhishi wa kimataifa kusuluhisha Mgogoro.
Awekwe chini ya ulinzi mkali akubali kushindwa na kumpongeza Mheshimiwa Dr. Ruto...
Kwenye Uchaguzi unaoendelea Nchini Kenya kuna jambo la kujifunza, kila mwenye haki ya kugombea na aliyetimiza vigezo ameachwa agombee , ashinde ama ashindwe mwenyewe.
Mpaka sasa sijasikia mgombea...
Mshindi wa kiti cha Urais kenya atakua Raila Odinga na Martha Karua......Rutto na ushawishi wake na nguvu yake kamwe hawezi kuwa rais kamwe. Kwa mara ya kwanza Kenya historia inaenda kuandikwa leo...
Mgombea wa Urais Nchini Kenya, William Ruto ameahidi kuwafukuza Wachina wote wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na wazawa, iwapo atashinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 9, 2022...
Japo sikukupigia kura, na binafsi haujanishawishi ila Wakenya walio wengi walifaulu kukuchagua, inabidi tukubali maamuzi ya wengi ila tulio wachache tusiklizwe pia.
Nakumbuka kitambo nikiwa...
Kiongozi wa muungano wa Azimio La Umoja Raila Odinga hatahudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais mteule William Ruto siku ya Jumanne.
Katika taarifa yake siku ya Jumatatu, Odinga alikiri kuwa Ruto...
Timu ya Mawasialiano ya Rais Mteule imezuia vyombo vya habari vya nchini humo kurusha hafla ya kuapishwa kwa William Ruto na kutoa haki za kipekee za utangazaji kwa Multichoice Kenya Ltd.
Tangazo...
Hatimaye Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta amempongeza Rais Mteule William Ruto, baada ya mkutano wao Ikulu.
Wawili hao walikutana alasiri ya Jumatatu, Septemba 12, saa chache tu kabla ya hafla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.