Wakati maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu hatma ya Matokeo ya Urais yakisubiriwa nchini kote, Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Edward Mbugua ameagiza Makamanda wote wa Mikoa kusambaza Askari, Vifaa...
Katazo hilo linakuja ikiwa ni masaa chini ya 24 yamesalia kwa Mahakama Kuu kutoa uamuzi wa mwisho kuhusu Matokeo ya Rais ambayo yaliwekewa Pingamizi na Mgombea wa Azimio, Raila Odinga.
Katika...
Baada ya Majaji wa Mahakama Kuu kumaliza kusikiliza mashauri ya Pingamizi la Matokeo ya Urais pamoja na Utetezi, Haya ndio maamuzi yanayoweza kutolewa Jumatatu Septemba 5, 2022.
Iwapo Mahakama...
Uchunguzi wa kundi la kwanza la masanduku 9 kati ya 15 ya kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya na Mahakama ya Juu haukuweza kuonesha hitilafu zozote za wazi katika matokeo ya uchaguzi wa Urais...
Nikiwa napitia katika mitandao mbalimbali ya kijamii nchini niliona baadhi ya wanaharakati, wafuasi na viongozi wa vyama vya upinzani wakidai kuwa Tanzania inapaswa kujifunza kutoka uchaguzi Mkuu...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Paul Kihara Kariuki amepinga madai ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati kuwa Maafisa Wakuu Serikalini ambao ni Wajumbe wa Baraza la Usalama...
Wakili Willis Otieno alijibu maswali ya Mahakama ya Juu kuhusu iwapo kutakuwa na pengo iwapo mahakama ya juu itaamua kumfungulia mashtaka mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC)...
Mahakama Kuu imeamuru Tume ya Uchaguzi IEBC kumpa Mgombea Urais Raila Odinga idhini ya kuzipitia na kuangalia Server zote za Kituo cha Taifa cha Kujumlisha Kura za Uchaguzi Mkuu.
Pia Mahakama...
Julie Soweto, wakili katika timu ya wanasheria wa kiongozi wa Azimio Raila Odinga, amedai kuwa kura 4,463 zilitolewa kutoka kwa mteja wake na kuongezwa kwa Rais mteule William Ruto katika Kaunti...
Kwa mnaofuatilia mnakumbuka wale makamishna 4 wa IEBC walivyotoka saa ya mwisho matokeo yakitaka kutangazwa na kusema hawayatambui
Jaji anawauliza mawakili wa Odinga kwa nini muda wote walikuwepo...
Seneta mteule wa Busia Okiya Omtatah Jumatano alidai kuwa kuna zaidi ya kura 500,000 ambazo hazijaelezewa katika takwimu zilizotangazwa na Tume ya uchaguzi baada ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9...
CHAMA cha Jubilee kimemwandikia Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati kikiomba kupata baadhi ya vifaa vilivyotumiwa katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9 kwa madhumuni...
Githu Muigai: Waangalizi wote walirudi na hitimisho moja. Huu ulikuwa uchaguzi wa wazi na wazi.
Githu Muigai: Ningekuhimiza uwaulize mawakili ikiwa wanafurahia uchaguzi wao wenyewe. Ikiwa...
Mahakama ya Juu imeamuru Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) iruhusu Azimio la Umoja kufikia seva zinazotumiwa kutuma matokeo katika Kituo cha Kitaifa cha Kujumlisha Kura ikiwa ni pamoja na...
Hoja hizo zilizotajwa na Martha Koome, zitaamua Uhalali au Ubatili wa Matokeo ya Urais ni:-
1. Iwapo Teknolojia iliyotumiwa na Tume ya Uchaguzi (IEBC) kwenye Uchaguzi Mkuu ilifikia viwango vya...
Huyu jamaa kwa sasa usingizi wake ni mbaya, siku zote aliyemadarakani ndie hulalamikiwa Kwa kuiba kura lakini Kwa Kenya imekuwa tofauti aliyepo madarakani ndie analalamika kuibiwa. Kama ruto...
Raila Odinga amesema ana ushahidi thabiti kwamba alishinda katika kura za Urais na ana imani kwamba Mahakama ya Juu itakubali ombi lake la kutengua matokeo ya uchaguzi wa Agosti 9, ambapo William...
Kupitia majibu ya Pingamizi aliyowasilisha, Rais Mteule amesema Mahakama Kuu haitakuwa na Mamlaka ya kumtangaza Odinga kuwa Rais hata baada ya kujumlisha Kura na kuthibitisha Matokeo kama...
Wakuu Kesi Ya kupinga uchaguzi iliyofunguliwa na Raila Ondinga na Wenzake Dhidi ya IEBC na Wenzake Itaanza Kusikilizwa Leo.
.
Taarifa iliyotolewa Kwa Wananchi wa Kenya na Msajili wa Mahakama juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.