Aliyekuwa Mgombea wa Urais kupitia Azimio La Umoja One, Raila Odinga leo anatarajia kuwasilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais yaliyotangzwa na Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC) na kumpa ushindi William...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC), jana ilimtangaza Ndugu, William Samoei Arap Ruto kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Kenya. Ruto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya, na...
Ili Kukonga nyoyo za kila upande Hasimu Team Ruto na Team Odinga yeyote atakayetangazwa rasmi na Supreme Court ya nchini Kenya kuwa ndiye Mshindi' amteue Mpinzani wake kuwa Waziri Mkuu Cheo...
Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Mabibo Makuburi nchini Tanzania imealikwa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya ( IEBC ) kwa ajili ya Kuinjilisha wakati wananchi wakipiga kura
Hungeremi sana kwa kuifanya...
WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU WATOA RIPOTI YA UCHAGUZI
Kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na mashirika kadhaa ya kutetea haki za binadamu katika eneo la Pwani, uchaguzi uliofanyika siku chache...
Mwanaharakati Joel Omondi amesema Rais mteule wa Kenya Dr Ruto katika kampeni zake alitumia mbinu za hayati Magufuli ili kujenga kukubalika na wapiga kura
Omondi amesema Ruto alijishusha kwa...
Looking at the momentum of how things are unfolding during the campaign also in various social media, It looks like wananchi are with Kenya Kwanza.
Personally, I am not Kenyan, but i have...
Muungano wa Azimio la Umoja nchini Kenya, uliomsimamisha Raila Odinga kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu, uliofanyika Agosti 9, 2022, umemtuhumu Rais mteule Dk William Ruto kwa kuwarubuni wabunge...
Kwa mtizamo wangu Ruto anazidi hoja na hadi sasa anaonekana kushawishi kundi kubwa la vijana wa kenya.
Mambo makubwa mawili yanayo mbeba Ruto.
1. Ufasaha wa kuongea lugha ya Kiswahili.
Kwenye...
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi (IEBC) Wafula Chebukati, amesema aliwazuia kuingia eneo la Bomas Makamishna wanne waliokana kutambua matokeo ya Urais kwa kulazimisha uchaguzi urudiwe.
Chebukati...
Naibu wa Rais #Kenya Dr. William Ruto amezua hisia mseto miongoni mwa wananchi baada ya kusema hatamani kudumu kwenye urais kwa kipindi cha miaka 10.
Hayo aliyasema wakati akinadi sera zake za...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Demokrasia ya Kenya na Tanzania
Kwa mfano CHADEMA ni chama kikuu cha Upinzani lakini kina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa
Wenzetu Kenya kwa akina IEBC wale Kenya...
Mwili wa aliyekuwa Msimamizi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) katika Jimbo la Embakasi Mashariki, Daniel Mbolu Musyoka, ambaye alitoweka akiwa katika eneo lake la kazi Agosti 9, umeokotwa...
Agosti 15, 2022 matokeo ya Uchaguzi yametangazwa, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ilimtangaza Willium Ruto kua Rais mteule.
Kenya Tume yao wanajiita HURU lakini bado wagombea kama Odinga...
Aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais nchini Kenya na kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga anatarajiwa kuzungumza na Wakenya kupitia vyombo vya habari leo Jumanne, Agosti 16, 2022...
Leo asubuhi nilikuwa naongea na shemeji yangu mmoja ambae ni afisa wa KRA ananiambia Wakenya wajiandae kulipia gharama za ufisadi.
Unaambiwa William Ruto kawekwa na matajiri hasa jamii ya...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati amedai Jumatatu ya Agosti 15, 2022 alihangaishwa akiwa pamoja na makamishna na wafanyakazi wa tume hiyo ya uchaguzi...
Makamishina wanne wa IEBC wanapingana matokeo ya Rais wa Kenya wanasema matokeo yalipikwa
Wanadai kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani zimetoka wapi na Chebukati alishindwa kuwapa majibu...
Hawa jamaa wa Raila ni wajinga kwelikweli, eti team ya Ruto wali hack matokeo?
Ni uongo kwa sababu hizi
Matokeo yote kutoka vituo vya kupigia kura ambayo yanajazwa kwenye fomu ziitwazo fomu 34A...
William Samoei Ruto ametangazwa kuwa Rais mteule wa Kenya.
Marais kadhaa wa nchi jirani wamempa pongezi kupitia Twitter ila sijaona kwa Rais wetu
Ni kuwa alikuwa anataka Raila ashinde?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.