Kundi la Majaji na Wanasheria mashuhuri ambao ni wanachama wa Jukwaa la Majaji na Wanasheria wa Afrika limewasili nchini Kenya kwa ajili ya kuangalia na kisha kutoa taarifa ya mchakato wa kesi ya...
Upigaji kura katika uchaguzi mdogo umeanza baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kusitisha zoezi hilo Agosti 9 kufuatia mkanganyiko wa vifaa vya kupigia kura
Uchaguzi wa Ugavana...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetangaza Agosti 29, 2022 kuwa tarehe mpya ya uchaguzi ulioahirishwa kutokana na sababu tofauti ikiwemo kukosekana kwa majina ya wagombea katika karatasi za...
Uchaguzi wa urais wa 2022 ulikumbwa na udanganyifu kabla ya Agosti 9 kupitia watu 21—wageni 19 na Wakenya wawili—walioweza kupata teknolojia ya shirika la uchaguzi, mgombea urais wa Azimio Raila...
Huu ni utabiri wangu kuhusu kitakachotokea ndani ya wiki mbili hizi huko Kenya.
Ni kuwa Raila ameona hakuna namna yoyote anaweza kuwa Rais wa Kenya na ukizingatia umri wake anaona kama anaenda...
Mvurugano ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) umeendelea baada ya viongozi wa juu wa tume hiyo Mwenyekiti Wafula Chebukati na Makamu wake, Juliana Cherera kupishana kauli wakiwa kwenye...
Guys Is there any election Raila has ever accepted defeat? 1997 2007 2013 2017 and now 2022 are all shambolic and rigged according to him.
.
He chased Kivuitu, Isaac Hassan, Chiloba and now he is...
Balozi wa Uingereza nchini humo, Jane Marriott amekanusha madai yaliyoenea katika mitandao ya kijamii kwamba aliishinikiza Tume ya Uchaguzi kumtangaza William Ruto kuwa Rais mteule licha ya...
Ruto did not attain 50+1 threshold, Azimio says in court papers!
Matokeo ni haya hapa:
Last updated: 15/08/2022, 18:59:28 local time (GMT+3)
Final results from IEBC
Candidates
Vote
William...
Akiongea na vituo vya KTN na Al Jazeera, mwanasheria wa kambi ya Odinga, Wakili Daniel Maanzo, amesema tayari leo asubuhi wamekwisha fungua kesi ktk Mahakama ya Juu 'Supreme Court' kwa njia ya ki...
Ripoti ya uchunguzi wa Madaktari imeonesha kuwa Daniel Musyoka, mfanyakazi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) aliyepatikana akiwa amefarki, alinyongwa hadi kufa
Timu ya Madaktari Bingwa...
Ndani ya saa 24 baada ya jibu la ombi kuwasilishwa, kiambatanisho kitawasilishwa na kutolewa uamuzi, ambapo upande wa Mawakili wa Rais Mteule William Ruto utakuwa na siku 4 kuwasilisha na kutoa...
Sikiliza:
Katiba ya Kenya inawapa fursa walio shindwa katika uchaguazi kupeleka malalamiko mahakamani ili kuhakikisha uchaguzi wa haki. Mgombea wa uraisi aliyeshindwa katika uchaguzi wa Kenya...
Tayari Raila Odinga ameanza kuongea kuhusu kwenda Mahakamani.
(In fact, na majaji watakaosikiliza hiyo kesi ,ikihitajika,wametajwa)
Last time Odinga aliposhindwa na Uhuru, alikwenda Uhuru Park...
Viongozi wa dini wamekutana na ndg Raila Odinga ili kujadiliana kwa suala la amani, katika kikao hicho ajenda kubwa ilikuwa suala la AMANI kuliko HAKI.
Baadhi ya wanachama wa Azimio wamesema...
Ukimya wa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kuhusu ushindi wa William Ruto imedaiwa haupokewi vizuri na kambi ya Ruto licha ya maandalizi ya maandalizi ya makabidhiano ya ofisi kuendelea kwa amani...
Raila Odinga amewataka wafuasi wake kuwa na amani wakati chama hicho kikijiandaa kuwasilisha Mahakama Kuu ombi la kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Urais uliofanyika Agosti 9
Akizungumza kwenye...
Kenyans have witnessed and the whole world has seen the four IEBC commissioners walking out of IEBC auditorium few minutes before the final announcement of presidential results.
Then Juliana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.