Raila Says Azimio Gov’t Will Not Ban Mitumba Trade
Raila spoke when he met the representatives from Gikomba market on Friday.
He said the Azimio government will work hand-in-hand with traders to...
Mgombea Mwenza wa Raila Odinga, Martha Karua amegusia uamuzi wa kuhamishia Pingamizi la Urais nchini Tanzania ili kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha ushindi wa Rais Mteule William...
Mgombea mweza wa Urais nchini Kenya, kupitia Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua amemtuhumu Rais Uhuru Kenyatta kumtuma Mshauri wake kumwonya iwapo angeendelea kumuunga mkono Rutto lingempata jambo...
President Kenyatta: I Will Hand Over Power Smiling, But Raila Is My Leader
President Uhuru Kenyatta now says that he will gleefully hand over the reins to president-elect William Ruto on...
Rais mteule wa Kenya, William Ruto ameweka wazi kuwa hajazungumza na Rais Uhuru Kenyatta kwa miezi sasa huku akiahidi kuwa atampigia simu kuzungumza naye.
Ruto amesema hayo muda mfupi baada ya...
Ratiba kamili ni hii hapa chini, ikionesha jinsi mtiririko wa matukio ulivyokuwa, kuanzia kupeleka malalamiko mpaka usikilizwaji wa kesi yenyewe. Leo tarehe 30/8/2022 tukio linalofanyika ni...
Mfuko wa Hazina umetenga kiasi hicho cha fedha kwaajili ya hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule inayotarajia kufanyika Jumanne ya Septemba 13, 2022 kwenye uwanja wa Kasarani.
Fedha hizo kutoka...
Kwa jins nilivyomuona na kwa muonekana wake na kauli zake tu Ni dhahiri shairi kuwa magufuli mwingine ameonekana Kenya. Siyo kwa kuongea kiswahil chake kama Cha Dr magufuli Hadi kucheka anacheka...
Serikali ya Marekani imetuma ujumbe wa pongezi kwa Rais Mteule wa Kenya, William Ruto baada ya Mahakama ya Upeo kuidhinisha ushindi wake.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken...
Naibu Rais William Ruto anatarajia kuapishwa kuwa Rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Juu zaidi wa kuidhinisha ushindi wa uchaguzi huo.
Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya ya...
Habari wana JF, hivi ile support ya Uhuru kwa Raila ni siasa, chenga ya mwili kwa Raila?
Kulingana na historia na siasa za Kenya, Uhuru alikuwa tayari Raila kuwa Mjaluo wa kwanza kuingia Ikulu au...
Rais amewahakikishia Wakenya kuwa ataheshimu uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha kuchaguliwa kwa Naibu Wake, William Ruto kuwa Rais Mteule.
Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Kenya imesema Rais...
Aliyekuwa Mgombea Urais kupitia tiketi ya Azimio La Umoja-One Nchini Kenya, Raila Odinga amesema anaiheshimu Mahakama ya Upeo iliyopitisha maamuzi ya William Ruto kuwa Rais Mteule lakini...
Rais Mteule wa Kenya, William Ruto amesema watu wengi walijiunga na Umoja wa Azimio kutokana na kupewa vitisho na sio kwa kupenda.
Amesema anafahamu hali hiyo iliwafanya wahamie upande mwingine...
1. Teknolojia iliyotumwa na IEBC kwa uendeshaji wa uchaguzi mkuu wa 2022 iliafiki viwango vya uadilifu, uthibitisho, usalama na uwazi ili kuhakikisha matokeo sahihi na yanayoweza kuthibitishwa...
Naam ile nchi jirani iliyojipambanua kwamba ina majaji wenye akili timamu na judiciary yenye nguvu jumatatu inaweka historia nyingine kwa kuendesha kesi nzito ndani ya siku chache na kutoa maamuzi...
Wakati Mahakama ikitarajiwa kutoa uamuzi wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya, leo Septemba 5, 2022, Rais Mteule William Ruto ameomba utulivu uendelee kwa kuwa yupo tayari kupokea matokeo yoyote...
Wakili wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Mahat Somane, amesema kiongozi wa Azimio, Raila Odinga ameghushi nyaraka za ushahidi alizowasilisha mbele ya Mahakama Kuu katika ombi lake la...
Rais mteule wa Kenya Dr. Ruto, amewashukuru wakenya kwa kumchagua kuwa Rais sawia na magavana, maseneta na wabunge wa Kenya Kwanza.
Ruto ametoa shukrani akiwa ibadani huko Nakuru.
Source: Citizen TV
"Sisi ni watu ambao tunamtambua Mungu, maamuzi yatakayoenda kutolewa kesho tumemuachia Mungu na viongozi wa mahakamani waamue na kenya iweze kwenda mbele".
"Mimi naomba kwa heshima kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.