Daniel Musyoka aliyekuwa afisa wa tume ya uchaguzi nchini Kenya alipotea siku nne zilizopita akiwa katika chumba cha majumuisho ya kura, alisogea pembeni kidogo kuzungumza na mtu ambae...
Rais mteule wa Kenya Dkt. Ruto amesema Ushindi wake ni halali na kwamba wale Makamishina wanne waliomkataa hawana nguvu hiyo Kikatiba.
Asema Katiba imempa mamlaka Chebukati kutangaza mshindi na...
President-elect William Ruto says he is yet to have a conversation with outgoing President Uhuru Kenyatta. Mr Kenyatta had backed his rival, Azimio leader Raila Odinga, in the contest for Kenya's...
Naomba kujuzwa wadau wenye uelewa mpana zaidi.
Ugandans are Kenyans are brothers.
Ruto is a Kalenjin who are relatives with the Sabiny of Uganda and these people speak the same language.
Its...
EATV kujiita east African tv kushindwa kurusha Kenya election ni aibu
Hili litv linajiita east africa television cha ajabu kenya matangazo yanarushwa ya urais tv hii ipo inapifa music na hawana...
Mgombea wa Urais kupitia Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga ameendelea kuongoza kwa umaarufu kuliko wagombea wenzake katika Jiji la Nairobi, Kenya akifuatiwa na mgombea wa Kenya Kwanza...
Naona unacheza faulo za kila namna kwa washindani wako hata wale unaohisi wataleta ushindani
Sasahivi nasikia huaminiani sana na uhuru kwani anaweza kukugeuka lakini unatumia nafasi yako...
Mzee Odinga sijui kanusa kushindwa sijui
Mawakala wake wamekuwa wakilalamikiwa na Tume kuzua vurugu kila mara kwenye ukumbi wa kuhesabia kura Bomas
Wakala Mkuu wa odinga anasema Bomas imekuwa...
Naibu wa Rais wa Kenya ambaye ni mgombea Urais wa nchi hiyo Dkt. Ruto amesema kwa mujibu wa Bible kura hupigwa ili kupata matokeo lakini Uamuzi wa mwisho nani ni mshindi hufanywa na Mungu wa Mungu...
Tangu zoezi la uhakiki lianze hadi leo pale Bomas tumeshuhudia Kwaya mbalimbali zikiinjilisha ikiwemo Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Tanzania.
Lakini hatukuwaona waimbaji wa Kaswida.
Nadhani...
Nianze kwa kuwapongeza ndugu zetu wakenya kwa kumpata Rais aliyetokana na uchaguzi ulio huru, haki na uwazi ambao pengine siyo somo kwa waafrika tu bali pia hata katika baadhi ya mataifa ya mabara...
Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, Iwapo mshindi atatangazwa leo, na asipate zuio la kupinga ushindi wake, Rais Mteule ataapishwa Agosti 30 ambayo ni siku 14 baada kutangazwa kwa Matokeo ya Urais...
12 Agosti 2022
Vyombo vya kimataifa vilivyoalikwa na IEBC kuwa waangalizi wa mchakato mzima wa uchaguzi Kenya 2022, vimetoa pongezi kwa jinsi mchakato mzima kuwa kuelekea uchaguzi na zoezi la...
Hivi na USA/Western Europe wana kwaya kama ninazoziona Kenya/Tanzania wakati wa kampeini za urais/kutangaza mshindi?
Just for curiosity! Maana naona kqama hayo yamepitwa na wakati.
SECOND SCHEDULE
[Section 8, Act No. 1 of 2017, s. 31, Act No. 34 of 2017, s. 4.]
PROVISIONS AS TO THE CONDUCT OF THE BUSINESS AND AFFAIRS OF THE COMMISSION
7. Unless a unanimous decision is...
Azimio La Umoja coalition leader Raila Odinga has announced a list of nominees who will be part of his Cabinet if he ascends into power in the August General Election.
He was speaking on Monday...
Umaarufu wa Mgombea Urais Nchini Kenya anayewakilisha Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga, umeongezeka mara baada ya kumchagua Martha Karua kuwa mgombea Mwenza.
Odinga amepata kura 39% wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.