Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Tazameni jinsi Naironi inazidi kukua kwa kasi. Majengo ya aina ya apartments yanazidi kuchipuka kila siku. Tazama hii high density cluster ya apartments ambayo haiwezi kupatikana huko kwenye nchi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu Tume Ya Kuwaajiri Walimu Nchini Kenya Imewapa Walimu Makataa Ya siku 7 wawe wamechanja chanjo ya Uviko-19 lasivyo Watapata adhabu Kwa Wasiochanja
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Nimetoka kufuatilia rufaa ya serikali ya Kenya katika ile kesi ya BBI. Natamani mchakato wa katiba mpya ya Tanzania uzingatie pia uwepo wa uhuru wa mahakama. Mungu ni mwema wakati wote!
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Baada ya mswada wa Constitutional Ammendment Bill 2020(BBI) kutupiliwa mbali na bench ya majaji watano, wa Mahakama Kuu. Kisa shughuli yenyewe ya kutayarisha mswada wa kurekebisha katiba...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Inatia moyo sana.......... SGR passenger train on the Miritini Bridge along the Mombasa-Nairobi route. FILE PHOTO | NMG Revenue generated from cargo and passenger services on the standard gauge...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Tanzanians, you're welcome for your new offroading experience.
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Habrini za mchana wadau! Jaman kwa mujibu wa radio Deutsche Welle idhaa ya Kiswahili imesema Kenya ndio nchi maskini katika ukanda huu wa Afrika Mashariki. Unaambiwa umaskini Kenya unapungua...
7 Reactions
126 Replies
11K Views
Yupo Raila (kushoto) na Ruto (kulia)
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Jaji wa Mahakama kuu ya Kenya Anthony Mrima amefuta maagizo yaliyotolewa na Kamati ya Ushauri ya Usalama wa Kitaifa(NSAC) iliyopiga marufuku mikutano ya umma na ya kisiasa nchini humo katika...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Former Vice President Joseph Murumbi TWITTER Bank of America is splashing millions in honour of a Kenyan Hero in their latest project, targeting 13 countries across the world. US's most...
1 Reactions
1 Replies
688 Views
Uingereza imeipa Kenya jumla ya dozi 407,000 za Chanjo ya COVID19 ya AstraZeneca ambazo ni awamu ya pili kupitia Mpango wa COVAX Dozi zilizotolewa ni sehemu ya dozi milioni 100 ambazo Uingereza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Askofu Climate Wiseman mwenye asili ya Kenya amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuuza mafuta anayodai yanatibu COVID19 Askofu huyo anayeishi Uingereza anakabiliwa na Mashtaka ya udanganyifu na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukiona kauli ambazo Watanzania huwa nazo humu JF utajua kweli hawa ndugu zetu elimu yao ina mapungufu makubwa sana, hebu waza huyu mchungaji maarufu sana Tanzania yote, anategemewa na maelfu ya...
3 Reactions
87 Replies
7K Views
Kenya is a just Tiny country when compared to Tz lakin interm of infrastructure wamejitahidi sana wana barababara pana kuzidi home tz , Ma engineers wa Tz wanakwama wapi mwanza and Dar deserve to...
5 Reactions
83 Replies
9K Views
Kenya imeshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote ile hapa Afrika. Sisi ni watu wa kujituma. Lazyland tazameni wazee wa kuchapa kazi jinsi kazi inavyostahili kufanywa.
2 Reactions
11 Replies
1K Views
First lady wa County ya Machakos Lilian Nganga ametangaza kuachana na mumewe ambaye ni Gavana wa County hiyo Dkt. Alfred Mutua Dkt. Alfred Mutua ni miongoni mwa wanasiasa waliotangaza kuwania...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
David Musyoka ni Dereva wa Halmashauri huko Kenya, Kitui County. Siku kaamka vizuri tu na kaenda kazini, akatumwa sehemu kikazi naye kama kwaida kawasha gari akaingia barabarani. Mara akiwa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Utani pembeni, kitumbua kimeingia mchanga, huu sio muda wa ukaidi tena, haijalishi una hela au wewe mlalahoi hapo kwa Mpalange. ======= What next after demise of five Tanzanian tycoons? Leaders...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Nchi yenye watu 55 million haiwezi hata kuwatuma wanaspoti 5? Duuh 😔 Na kisha mkitazama hiyo picha, yule anayebeba hiyo bendera si mtz. Na ndiyo maana mimi hujiuliza, Mbona wenzetu ni kama huwa...
8 Reactions
55 Replies
4K Views
Hayawi hayawi huwa... Kenya Railways Corporation (KRC) has begun refurbishing 31 trains ahead of the launch of Nairobi - Kisumu train service. In a statement shared on Wednesday, April 28, the...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…