Katika kipindi hiki kigumu kabisa kwa taifa,
Yani Rais amefariki na wakati huo huo mfanye makabidhiano ya madaraka, je mmesikia kuna hata mende au mbuzi kafa? Je, mmesikia kuna hata panya tu...
World's most mutated covid-19 variant to exist yet, found in 3 travellers from Tanzania, Researchers have submitted data to the World Health Organisation(WHO) and they call for greater monitoring.
Ukiwa na mipango mibovu, ukatanguliza tumbo badala ya kichwa, wachina watauza nchi yako. Kenya sasa kila mwezi wanapata hasara ya bil 20tsh
====
Kenya’s difficulties in servicing its debts for...
Gavana wa kaunti ya Kisumu amewasimamisha kazi maafisa waliomburuza barabarani mwanamke mfanyabiashara wa matunda.
Vyombo vya habari vimeripoti kuwa mwanamke huyo alikataa kutoa rushwa. Alikuwa...
Wakati majirani zetu bado wanalala usingizi wa pono, Kenya imekuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na kati kuzindua mtandao wa 5G. Safaricom imezindua mtandao wa 5G leo.
Kenya risks UK blacklist over open Tanzania border
Terminal 1A at Jomo Kenyatta International Airport. FILE PHOTO | NMG
Summary
Britain’s Telegraph newspaper, quoting a source from the British...
The Communications Authority of Kenya, led by Director General Mercy Wanjau, during a press address on March 28, 2021.
The Communications Authority of Kenya has now slapped Homeboyz Radio with a...
Kesses Member of Parliament in Uasin Gishu county, Swarup Mishra, nicknamed Arap Chelule, has sparked mixed reactions online after launching a television set in a rib cutting ceremony.
The event...
Wajameni,
Yeyote mwenye picha ya Rais wa Jamhuri ya Kenya,Uhuru Kenyatta akipata chanjo ya covid-19 aiweke hapa.Hii itasaidia Wakenya kupata imani kuwa chanjo hiyo ni salama isije kuwa anakwepa...
Wacha tuone nani mbabe katika lugha ya kiswahili? Nani anaweza kutupa maana sahihi ya methali hii?
Mimi nimeitafuta kwa muda mrefu na mwishowe nimeipata. Lakini nataka kujua kama wabongo wanajua...
Uhuru Kenyatta: Magufuli taught us that Africa can do without foreign aid
Monday, March 22, 2021
President Uhuru Kenyatta's moving tribute to Magufuli
President Uhuru Kenyatta on Monday mourned...
Hii ishakua taabu. Phase 3 ya covid-19 imezua mtata sasa baada ya Rais Kenyatta kuagiza kufungwa(Partial Lockdown) kwa miji/mikoa hii;Nairobi,Machakos, Nakuru, Kajiado na Kiambu, kutokana na...
An aerial view of the Multi-billion Lamu Port in Manda Bay, Lamu county
FILE
The Lamu Port Project in Manda Bay, Lamu County is set to have 32 berths covering 6km of the coastline built on 1000...
Kenyan engineer and innovator, Roy Allela, created a set of gloves that will allow better communication between those who are deaf and those who can hear. FILE
A new report prepared by an organ...
Sheila Sheldon with her Nina Simone Global Award on March 8, 2021
TV 47
12-year-old Sheila Sheldone Charles, on Monday, March 8, won the 2021 Nina Simone Artistic Excellence Honoree for Young...
Kuna msemo wa Kiswahili usemao Rafiki/ Jirani wa kweli utamjua wakati wa shida. Tanzania imekua nchi ya kwanza kwa kuondokewa na Rais wake kipenzi aliyekuwa madarakani. DKT. JOHN JOSEPH POMBE...
PLO Lumumba ambae ni Mwanaumajimui maarufu wa Afrika anasema wazungu wanatumia jitihada kubwa kutunza Ndovu,Sokwe, Chui na wanyama wengine ambao wamo kwenye mapori ya Afrika ili wapate mahala pa...
Eight East African firms in list of continent’s most valuable brands
By JAMES ANYANZWA
Kenya’s mobile phone operator Safaricom has topped the list of Africa’s most valuable brands by market...
Nimekumbana na habari hizi na video hii pia kwenye kumbukumbu za enzi zile, 'hapa kazi tu' ilipokuwa imepamba moto kweli kweli. Ila nikabaki na maswali chungu nzima baada ya ahadi na kauli hii...