Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza taratibu mpya za kudhibiti janga la COVID-19 nchini humo ikiwa ni pamoja na:
Mikusanyiko ya kisiasa imepigwa marufuku kwa siku 30.
Marufuku ya kuwa nje...
Baada ya mzungu kuchora mpaka wake katikati ya jamii ya Wamaasai na kusema wa huku waitwe Wakenya na walio upande wa pili waitwe Watanzania, ndugu kwenye hii jamii hawajawahi kubaguana, na...
Ripoti ya Bureau of International Narcotics and Law Enforcement Affairs imeitaja Kenya kuwa kitovu wa Utakatishaji fedha ambao hufanyika kwa taasisi rasmi na zisizo rasmi.
Aidha imetajwa kuwa na...
Tullow troubles puncture Kenya's oil dream
Friday, March 12, 2021
An oil rig worker at Ngamia 3 oil exploration site in Nakukulas Village, Turkana County, on July 13, 2014.
File | Nation Media...
Vyombo vya Kamati ya Usalama Wilaya ya Rombo vimewakamata wahamiaji haramu kutoka nchi jirani ya Kenya ambao wameingia Nchini bila kufuata utaratibu kwa maana ya hawakupitia boda iliyo rasmi na...
Serikali ya Kenya imefuta marufuku iliyoweka juu ya kuagiza Mahindi kutoka Uganda na Tanzania huku ikiambatanisha masharti kwenye uingizaji wa Zao hilo
-
Mnamo Machi 5, Serikali ya Kenya iliweka...
Msajili wa Vyama vya Kisiasa Anne Nderitu ametisha kufutilia mbali usajili wa vyama vya kisiasa ambavyo shughuli zao zitakumbwa na ghasia kuelekea uchaguzi mkuu wa 2022.
Kwenye taarifa kwa vyombo...
March 9, 2021
Nairobi, Kenya
Meeting Between His Excellency President Kenyatta And His Excellency Charles Michel, President Of The European Council
His Excellency President Uhuru Kenyatta today at...
Kuna mshkaji mtaani tulikua tunajadili changamoto iliyopo kwenye zogo la mahindi baina ya Kenya na Tanzania, akanipa uwezekano wa wazo fulani, naifahamu sana Serikali yangu ya Kenya ikitaka...
Kiongozi wa Chama cha ODM nchini Kenya amelazwa Hospitali ya Nairobi kutokana na kuwa na mchoko sana na mwili wake kuwa unamuuma
Kaka wa Odinga, Oburu Odinga amesema ndugu yake haijaonesha dalili...
Kenya inahofia kuwa inakumbwa na wimbi la tatu la CoronaVirus baada ya madaktari kugundua dalili mpya kwa wagonjwa wa COVID19.
Dalili zilizooneka kwa wagonjwa ni pamoja na kifua kuuma, kuharisha...
Immanuel Gitamo, a US Kenyan military soldier working on US Billionaire Elon Musks Project SpaceX.
FILE
Immanuel Gitamo, a Kenyan soldier in the US army working on billionaire Elon Musk's SpaceX...
Here is what Deputy Minister of Agriculture had to say!
Kenya bans maize imports from Tanzania and Uganda, Bashe calls for calm
SATURDAY MARCH 06 2021
Trucks loaded with maize from Tanzania...
The French oil giant Total SA chief executive, Mr Patrick Pouyanne, has acknowledged that the company’s oil projects in Uganda “represent significant social and environmental stakes” but said they...
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Kenya limeitaka serikali ya Kenya kukubali na kuruhusu kuruhusu chanjo zote halali za COVID-19.
Kwamba kanisa katoliki limeruhusu mtandao wa hospitali...
Kuna mzungu mmoja mjinga kwa jina la Isaac Sturgeon alienda kufanya fujo katika Jan 6th capitol insurrection in Washington DC ambapo supporters wa Trump walienda kuzuia Joe Biden kuwa confirmed...
Vijana wa Lumumba Vijana wa ufipa
Kama kenya wanatuonea kila siku na mnasema tunaonewa
Nadhani tuchukue maamuzi magumu sana.
Tuwaambie waturudishie Mombasa na Lamu yetu maana sio kenya ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.