Charity Ngilu kipitia Twitter
Today, while moving through Nairobi, I met Ms. Pendo Masonga, a 20 year old Tanzanian National who has what appears to be a malignant a growth on her mouth. /1...
Mwendo ndio huu tu hamna kingine nchi hii.
=======
Bamburi cement has posted a Ksh.83 per cent profit growth to Ksh.721 million through the first half of 2020.
The near double earnings...
Ndugu zetu Wakenya,
Tunawaalika mfuatane nasi katika matukio muhimu sana ya wikiend hii hapa Tanzania. Matukio yote yatakuwa mbashara Azam sports HD, king'amuzi bora east and central Africa.
Leo...
Kama ilivyo kawaida ya Kenya kuonesha tabia za kitoto za kumchokoza kaka yake au mkubwa kwake kiumri na nguvu. Lakini pale yule mkubwa akichoka kuvumilia na kuamua kumuadhibu labda tu kwa kumpa...
Katika jitihada za kudhibiti maambukizi ya COVID19, Rais Uhuru Kenyatta ameongeza muda wa wananchi kutotoka ndani kuanzia saa 3 usiku hadi saa 10 alfajiri kwa siku 30.
Akihutubia taifa kutoka...
======
Police in Mombasa have arrested five protestors who were demonstrating against the alleged theft of Covid-19 funds early Tuesday morning.
The demonstrators from various civil rights...
Janga la coeona limesababisha raia mmoja wa Kenya na familia yake kwenda kuishi msituni kwa zaidi ya miezi 6 baada ya kushindwa kulipa kodi ya kiasi cha Ksh. 1500
Source: NTV
August 27, 2020
DPP Noordin Haji has approved the prosecution of former Kenya Ports Authority MD Daniel Manduku over irregular procurement of works at the port.
The DPP also after investigations...
Wakenya maskini hawana wa kumlilia, upinzani unakula sahani moja na serikali
Sasa ni rasmi. Ni rasmi kuwa upinzani umekufa kifo cha mende nchini. Kwa nini kusema hivi? Tangu kiongozi wa chama...
Mashirika 3 ya ndege ya Kenya yapigwa marufuku kuingia Tanzania
- Mnamo Jumanne, Agosti 25, Mamlaka ya Safari za Ndege Nchini Tanzania (TCAA) ilitupilia mbali leseni ya Fly 540, Air Kenya Express...
Kuna kipindi alikuja mjinga mmoja hapa akasema utamu wa katiba ya kenya na kuponda sana katiba ya tanzania nakubali katiba yetu ina mapungufu na ya kwao ni nzuri ila nashangaa kwann wanataka...
Work to dual the Likoni Road to Jogoo Road in Nairobi is expected to start next week after the Kenya Urban Roads Authority (Kura) awarded the Sh900 million contract.
Kura contracted Cementers...
Rise in transshipment traffic raises Mombasa East Africa gateway profile
Mombasa port handled a transshipment (goods destined for other ports) traffic of 211,204 twenty-foot equivalent units...
Peter Mwangi (44) amejiua baada ya kubishana na Mama yake ambaye amewaambia Polisi walianza kubiashana baada ya yeye kumpa zaidi ya Kilo 10 za mahindi akauze lakini alitumia fedha hizo kunywa...
Huu ndio mwendo wenyewe, pale ziwa Victoria mambo yanazidi kunoga, Kenya inapepea kwenye pembe zote za nchi.
Kisumu port on August 13,2019. FILE PHOTO | NMG
The refurbished Port of Kisumu...
TANZANIA imetajwa kuwa mzalishaji mkubwa wa mazao ya nafaka katika ukanda wa Afrika Mashariki, huku pia ikitajwa kuwa na fursa kubwa ya kutawala soko la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...
Jameni ifahamike corona imebadilisha dunia na hatuishi kwa mazoea tena, hili linapaswa kuwa somo kwa majirani zetu wanaotulilia sana, hatuwachukii wala kuwadharau, ila ni mwendo wa tahadhari tu...
CHADEMA headquarters in Arusha were reportedly firebombed on 13 August and shortly after, the convoy in which Lissu had been travelling in was attacked by “stone throwing bandits” according to an...
The country’s main opposition party CHADEMA’s candidate, Tundu Lissu, and other opposition leaders have repeatedly claimed that there’s a likelihood that they’ll be blocked from running in this...
KenGen has inked a deal with Nairobi County to generate electricity from garbage, opening a new income stream for City Hall and an opportunity for the firm to diversify its power sources
The firm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.