Mnaoendelea kupuuza na kukaidi ushauri wa tahadhari dhidi ya Corona mfahamu mnamtekenya simba na kucheza na masharubu yake, hiki kitu kinaua bila huruma, na ndio kinaendelea kupata kasi Afrika...
Serikali ya Kenya imetangaza visa vipya 59 vya maambukizi ya virusi vya corona. Hayo yalisemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya nchini Kenya Dr. Mercy Mwangangi ambapo alifananua kuwa idadi hiyo...
Serikali ya Jubilii inapanga kupitisha mchakato wa kukusanya Maoni ili kurejesha Nafasi ya Waziri mkuu.
Ikumbukwe kuwa Baada ya Handshakes na BBI sasa ni Wazi Uhuru yupo Karibu na inaonesha wazi...
Kwa muda mrefu Wakenya wamekuwa wakitumia mwanya wa upole na ukarimu wa Tanzania kuwazunguka katika mambo mengi sana, ukizingatia Tanzania walikua wanaichukulia kenya kama taifa jirani na ndugu...
Kenya imenaswa kwenye mtego wa Corona. Wazungu wameamua kutumia COVID-19 Kama kitega uchumi.
Wakikukopesha pesa wanakulazimisha uzitumie kupima COVID-19. Test kits ni za gharama Sana, Wana...
Ni dhahiri wazi Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya anatumia lockdown kuvunja nguvu ya hasimu wake mkubwa wa kisiasa William Ruto.
Wafuasi wa Ruto ama yeyote mwenye mwelekeo wa kumpinga Rais Uhuru...
Utafiti pia unaonyesha asilimia 78 ya wakenya wanaona habari za corona zinawatisha na kuwachanganya. Wacha sasa waendelee kujifanya wajanja na vijitakwimu vyao vya kila siku, tuone mwisho wake.
5,000 COVID-19 samples yet to be tested as testing kits disappear
- Health Director-General had acknowledged that the country was facing a shortage of the COVID-19 testing kits
- The shortage...
Wenzetu hawa wanavyopenda kuchachamaa kuhusu ukabila kwetu utadhani kwao ni binguni hamna aina yoyote ya ubaguzi, ilhali mitandao ya kijamii huanika uozo wao haswa kwenye bunge ambapo mizuka ya...
Hivi karibuni, members wa JF kutoka Kenya walitucheka Tanzania kwa visa 100 vya wanafunzi kupata ujauzito kwa miezi mitatu ya kuwa nyumbani. Ni hatari hakika.
Lakini Takwimu za DW swahili leo...
Ndiye mkenya wa kwanza kukumbana na "Political assassination", damu yake imekua ndio laana kwa Kenya, hadi Leo mauaji ya kisiasa Kenya ni jambo la kawaida, na wanasiasa kujimilikisha ardhi na...
Six Kenyan Startups are among those selected for the fifth Cohort of the Google for Startups Accelerator Africa that is set to take place virtually for the next 3 months, starting on June 29 until...
Mke na Mume Katika Kijiji cha Kiaruhiu Kaunti ya Nyeri wamewashangaza wengi kwa kuamua kupeana watoto wao wawili, kwa yeyote yule, baada ya kile wanadai ni kushindwa kukimu gharama za malezi ya...
Viongozi wa Brazil walichukulia poa hiki kirusi, wakakaidi ushauri wa wataalam na kujichokea, leo idadi ya waathirika imegonga 960,309, ikizingatiwa hao ni waliopima ila kila mmoja wa hao...
Changamoto za mipakani mwa Kenya na Tanzania zatu…:
Wahenga walisema "A hungry stomach can't fight", yaani tumbo lenye njaa haliwezi kupigana. Wakenya walijaribu kutingisha kibiriti kwa...
117 more people have tested positive for COVID-19 in Kenya bringing the total number of cases in the country to 4,374.
Health CAS Rashid Aman said 112 of the new cases are Kenyans and five are...
MY TAKE: Kamwe JW halijawahi kushindwa vitu vidogo kama hivi, itawachukua masaa machache kyjamilisha hii kazi hapo Kesho. TPDF hoyeeeeee
=======
Jeshi la Wananchi wa Tanzania limetuma timu ya...
MY TAKE: Lazima mtakuja kujifunza namna ya kuishi na kirusi bila kuwaletea madhara makubwa.
"Kwa Magufuli, kila goti litapigwa".
========
Safaricom closes customer care shop after all 13...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.