Jamani naombeni niulize hivi ni kweli hawa jirani zetu wanaonewa kila siku kwenye mipaka yao? Ni mara ngapi hawaheshimu mipaka ya kimataifa ihusishayo majirani zao? Hivi kuna ubishi juu ya uhalali...
Kenya has recorded 74 new cases of coronavirus in the last 24 hours bringing the total to 1,962.
Health CAS Rashid Aman said the latest cases are from 1,574 samples that were tested between...
MY TAKE: If Kikwete, Mkapa, Mwinyi and Nyerere were born in Kenya, they could have not become Presidents, only Magufuli would have made it to the Presidency as the other 4 r from smaller tribes...
MY TAKE; Tanzania inaendelea kudhihirisha ubabe wake katika ukanda huu na Africa nzima.
Baada ya kufanikiwa kuwatawala katika muziki na kuufanya mzingi wa "Bongo feva " kuwa ni "house &National...
Wizara ya Afya imetangaza ongezeko la visa vipya 59 vya COVID-19 baada ya sampuli 1,518 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita na jumla ya maambukizi nchini Kenya imefikia 2,021
Katika visa...
MY TAKE: Kwa hali hii, je Kenya inapaswa kuondoa Curfew and partial lockdown?
======
A tour van driver collapsed and died at the Nairobi National Park on Sunday morning, May 31.
“We are saddened...
Katika Hali ya kustaajabisha, Polisi wa Kenya wamemlazimisha mtu anayesadikiwa kuwa na mume wa marehemu kulala nje ya kituo cha polisi na mwili wa Mke wake ukiwa kwenye jeneza. Tukio Hilo...
Museveni ni mkaidi balaa, huwa hana muda na ujinga au utoto, hata mkilia lia vipi bado anaendelea kuwaumbua waficha maradhi. Kwake anataja kabisa idadi ya madereva wa kutokea mataifa jirani ambao...
Kenya's tail kept btn the legs after COW Ethiopia deliberately shot down African express aircraft
Ethiopian troops admit shooting down Kenyan plane
Ethiopian forces in Somalia have admitted...
Middle income haiwezilishwa na least developed country. Tunaendelea kuboresha sector yetu ya ukulima. Tazama video
joto la jiwe ulikuwa unalialia sana kuhusu Galana kulalu sasa tazama video.
Wafungwa 31 wamekutwa #CoronaVirus katika gereza lililoko Nairobi. Idadi hiyo imethibitishwa baada ya sampuli 59 kupimwa kwenye gereza hilo Jumapili, Mei 31
Timu ya Uokoaji na Dharura ya Nairobi...
William Samoei Ruto Achaguliwa kuwakilisha Afrika ulimwenguni OGP
=======
Deputy President William Ruto (above) has been elected to represent Kenya and the continent in a global governance...
MY TAKE; Wakenya wanaumia sana na mafanikio ya Tanzania, wivu na roho mbaya zinawafanya washindwe kushughulika na mambo yao badala yake kujaribu kuichafua Tanzania.
Kenya imeongeza propaganda zao...
Habari ndugu zangu, nawaomba ndugu zangu naomba wakenya mnisaidie hivi jubilee ni chama kimoja au muungano? Na mfumo wa viongozi ukoje au taasisi zake zikoje hasa kimuundo?
Karibu wadau
143 Kenyans have tested positive for the new coronavirus in the last 24 hours, Health CAS Dr. Rashid Aman has confirmed
The new cases are from 2959 samples tested between Friday and Saturday and...
Ningependa kuja hapo Namanga upande wa Kenya ili niiuze hii mishikaki. Lengo ni kupata pesa za Kikenya ili kukuza kipato changu.
As we speak 1 Kenyan bob=21.6 Tshs.
Natanguliza shukrani.
Idadi ya maambukizi ya #COVID19 imeongezeka baada ya maambukizi 127 mapya kuthibitika na kufanya nchi hiyo kuwa na jumla ya maambukizi 1,745. Idadi hiyo imekuja baada ya kupima sampuli 3,831...
President Uhuru Kenyatta's government is among three administrations elected on the steering committee of the Open Government Partnership (OGP), a global body with representation from 78 countries...
MY TAKE: Kumbe ndio sababu Ethiopia inazidungua ndege za Kenya huko Somalia, na Mara kwa Mara ENDF wanavuka mipaka na kuingia Kenya na kuua wakenya na kurudi Ethiopia bila KDF kuchukua hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.