Moja wa visa vilivyoripotiwa leo na wizara ya afya Kenya kwa SAA 24 zilizopita ambapo kwa upande wa kurya East kumeripotiwa visa viwili
Akiongea na majirani na familia yake Mwita Mwikwabe amedai...
Almost 200 people have lost their lives in Kenya dew to floodings....lost properties....lost families but no body in the government and the general public at large seems to care. All they care is...
Idadi ya visa vya Corona nchini kenya imefikia 649 baada ya kutangazwa kesi mpya 28.
Katika kesi hizo 28, watu 10 ni kutoka Mombasa, 9 kutoka Nairobi, 4 kutoka Migori, 2 kutoka Kajiado na mmoja...
Rushwa Inaangamiza Wakenya,
Wanasiasa Kenya wakiongozwa na Rais hujali pesa tu, Maisha ya wakenya masikini ambao ni 98% sio Kipaumbele kabisa kwao.
Sukari hii iliyotengenezwa Maabara yenye sumu...
Revealed: Preparations In High Gear To Resume Passenger Flights At JKIA Amid Covid-19 Pandemic
Kweli kirusi cha Corona kimewachanganya sana majirani wetu. Inawezekanaje wakati ardhini unaendelea...
Ni kitu cha kushangaza sana kwamba uchumi wa kenya unaendeshwa na mihamala kutoka ulaya inayotokana na kazi za aibu na shuruba toka kwa wakenya wanaoishi huko
Wakenya wengi ulaya ni wasafisha...
Education Cabinet Secretary George Magoha picked a nine-member technical team to oversee return of normal learning.
This emerged yesterday as the ministry began an audit on school vehicles...
Kenya on Tuesday recorded 15 new cases of COVID-19, raising the country's total number to 715, Health CAS Rashid Aman has said.
However, the number of fatalities in the country has risen now...
Jana tumeona ya Zambia, leo ya Wakenya tisa wameingia kutoka Tanzania wote wameathirika, duh! Bongo imekua vipi, hizo sera za kila kitu ruksa hata kusongamana kwenye vilabu kutawaponza sana...
LOL kila siku tunaongea bila Tanzania, Kenya ina collapse within a second
Na ndio maana hupayuka kufunga mipakani theoretically tu lakini deep down into the reality wanajua it's a largest worlds...
Kupitia idhaa ya kiswahili ya BBC leo Wakenya wameilalamikia Serikali yao kwa kutumia mwanya wa Corona kukopa pesa nyingi kutoka IMF. Wamesema bila Corona Kenya haikopesheki na hivyo kuendelea...
Kenya's National Intelligence Service, which is increasingly encroaching on the political sphere, will soon possess a social media surveillance system made to measure by Milkor.
To contend with...
Is BBC Swahili part of larger plot by Kenya to victimize Tanzania on covid19?
I just had to screenshot this the border Isibania/Sirari is between Kenya and Tanzania but only Tanzania is...
Dar es Salaam Tuesday 12 May 2020.
Earlier today, three ALMA Chairs, His Excellency Uhuru Kenyatta, President of Kenya and Chair of ALMA, Her Excellency Ellen Johnson Sirleaf former President of...
Kufuatia kushuka kwa daraja kwa nchi ya Kenya kulikotolewa hivi karibu na shirika la "Moody", wanasiasa wa Kenya wameanza kumpa shinikizo rais Uhuru Kenyatta kulivunja baraza zima la mawaziri kwa...
Mpaka sasa kaunti ya Migori ina kesi saba za Corona na zote zimetokea Tanzania, imebidi sasa kutocheka na ngendere tena maana ndio namna ya kuishia kuvuna mabua.
Watz wamegoma kumakinika dhidi ya...
Baada ya mbinu za Kenya za kuiga wazungu bila kutumia akili kama ilivyokawaida yao katika kupambana na kuenea kwa Corona kutofanikiwa, sasa wanaanza kukubaliana na mbinu za Magufuli.
Wakenya...
Kwenye ukweli uongo lazima utajitenga, pamoja na baadhi ya wakenya kumsema vibaya Mwalimu Nyerere, lakini wengi wao wanaendelea kumuenzi na kumkumbuka miaka 20 baada ya kifo chake. R.I.P Mwalimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.