Pia ashauri Tanzania ianze kutumia mfumo wa majimbo kama ilivyo Kenya, ili serikali kuu iache kuhusishwa na vimiradi vidogo vidogo kama vle barabara za vijijini.
Kenya's gross domestic product (GDP) decreased to 5.4 percent in 2019 compared to 6.3 percent in 2018, according to an economic survey published in Nairobi on Tuesday.
The annual survey published...
The year is 1976, Kenya was an economically stable and growing country but militarily it was an underdog surrounded by neighbors armed to the teeth by the soviet union.The then Uganda leader Idi...
Tuambiane tu ukweli, kuna ongezeko kubwa la vifo ndani ya wiki hii, mara mbunge, mara mkuu wa wilaya, mara mstaafu wa CTI, mara mstaafu wa CUF
Halafu mazishi watu wasiozidi kumi? Je, wanafariki...
The Ministry of Health has confirmed 11 new cases of Covid-19 in the past 24 hours, bringing the total number of those who have tested positive in the country to 374.
In the latest briefing by...
Vitivi cha kuzuia na kudhibiti Magonjwa cha Marekani (CDC) vimejitolea jumla ya dola 6.6 milioni sawa na (Ksh.705 milioni) kwa nchi ya Kenya ili zisaidie katika shughuli za kuzuia na kukabiliana...
Kenya imetangaza visa vipya vya #CoronaVirus 8 na kufanya idadi ya jumla ya visa vilivyoripotiwa kufikia 363
Wagonjwa hao, wote hawana historia ya kusafiri kwenda nje ya nchi
Wizara ya afya...
A US-based Kenyan scientist has unveiled the world's first antiretroviral (ARV) drug to be taken once-a-year.
Prof Benson Edagwa and his colleagues at the University of Nebraska Medical Center...
Umoja wa mataifa umeonya kuwa hawa nzige na hili janga la corona vinaweza kuwasambaratisha majirani ifikapo juni mwaka huu.
=======
A second invasion by desert locusts has hit East Africa in...
Jamaa zangu wameandamwa na majanga. Mara nzige, mara Covid-19 na sasa ni hawa Nairobi fly huko Karbanet, Baringo.
Nairobi Fly or Kenya Fly is a common example of an insect that contains a...
Jameni Watanzania acheni kuonyesha taswira kwamba kwenu ndio afueni kwa sasa, kwamba baada ya karipio kwenye hotuba ya rais hamna maambukizi tena, maana inasababisha watu wadhani kwamba huko ndio...
Polisi wa Kaunti ya Nyeri wanawatauta watu wawili waliotoroka karantini baada ya kuwekwa humo kilazima walipokutwa wanakiuka agizo la kubaki ndani
Kamishna wa Kaunti, Lyford Kibaara amesema watu...
Reaction from Uhuru "the liar", see facial gestures and uneasiness all over the body!
MY TAKE
Kumbe hawa jamaa ni guinea pigs siku nyingi! Kule Turkana kiroba cha mahindi is more than ebogh...
Wagonjwa wapya 12 wa COVID19 wametangazwa na idadi ya maambukizi nchini Kenya imefikia 355.
Miongoni mwa wagonjwa hao, nane wanatokea Nairobi na wanne ni kutoka Mombasa. Watatu kati yao...
Rais Uhuru Kenyatta ametangaza ongezeko la wagonjwa wapya 7 wa COVID19 na jumla ya maambukizi nchini humo imefikia 343 wakati idadi ya wagonjwa waliopona nchini humo hadi sasa ni 98 na waliofariki...
Wakuu,
Hivi liinchi hili ni la drama kweli. Juzi tuliambiwa kwamba wanaanza "mass testing" Leo wamesema hawafanyi tena. Yaani nchi inaendeshwa kwa hisia,mikwara na mikurupuko.
========
Ministry...
Kwa sababu magari hayapo barabarani na industries nyingi hazifanyi kazi, hewa imekuwa safi hadi mtu anaweza kuiona mount Kenya kutoka Nairobi. Tazama picha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.