I like this new manufacturing drive by Kenyans...we should continue with the same spirit....
We should wean ourselves off Chinese products...
tujitegemee sasa AfriKa kote
Ndege za mizigo hazijapigwa ban na bado zinaruhusiwa kufanya kazi kimataifa, mwanzo wakati huu wa corona ambapo kila nchi inaagizia vifaa na madawa yanayohitaka kwa haraka, kuna demand kubwa sana...
Kwa uzembe huu kweli kuna mtu unaweza kushangaa kwanini Kenya maambukizi ya Corona yapo juu sana?.
Watu 32 kutoroka toka sehemu waliyozuiliwa, ni ishara wazi kwamba Kenya hawana mikakati yoyote...
Kenya Airways is has converted 4 passenger planes to cargo planes to export horticultural products to Europe... kazi haisimami hata Corona ikitufunga miguu...
Hongera Wakulima wa maua na matunda...
The University of Nairobi has proposed that 2.5 per cent of funds mobilised to fight Covid-19 be channelled towards the development of diagnostics, therapeutics and vaccines.
The university, in a...
Shughuli za kupima kupima kupima zinaendelea, hatutaki serikali itufikishe kwenye level ya kufuata maiti za watu kwenye nyumba zao. Idadi ya waliopona sasa ni 53.
======
Health CS Mutahi Kagwe on...
Kenya imeipiku Italy na kuchukua nafasi ya saba duniani kwa kuzalisha Geothermal energy. Kenya sasa inazalisha 823 MW huku Italy ikizalisha 800 MW.
Hakuna nchi nyingine ya Afrika inayozalisha...
Kuna kisa cha mama mmoja toka South Africa aliyejiua akiwa katika kambi za karantini nchini Kenya akilalamikia mazingira mabaya katika kambi hizo, kama kawaida wakenya walikanusha kuwepo kwa...
Huyu jamaa alikuwa Mkenya aliyeifahamu lugha ya kiswahili na kukienzi mno. Nakumbuka nikisoma kitabu chake "Siku Njema" nikiwa bado shule ya msingi. Nakumbuka pia nikimtazama katika habari za saa...
Hii ndio kawaida katika utendaji kazi wa Polisi wa Kenya. Kenya polisi anaweza kumfanyia raia vile apendavyo na hakuna hatua zozote huchukuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamuziki Tanasha Donna amewekwa Karantini kilazima baada ya kukiuka agizo la Serikali la kubaki ndani kwa muda huu wa tishio la CoronaVirus
Tanasha, aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond Platnumz...
Kenya inaendelea kuwa nchi ya vituko, hakua lolote linalofanyika kwa dhati na usimamizi ulio makini. Wakati ambapo watu wanaowekwa katika hizi kambi maalumu wanapaswa wasikaribiane wala kushikana...
Makumi ya watu waliokuwa katika karantini ya lazima nchini Kenya wamefanya mgomo na kutishia kutoroka katika kituo hicho katika mji mkuu wa Nairobi.
Wanadai kwamba kusalia kwao katika vituo hivyo...
Inspekta jenerali wa Polisi, Hilary Mutyambai amewaagiza polisi kumkamata mtu yoyote atakayeonekana mitaani bila kuwa na barakoa. Kuvaa barakoa ni lazima ili kuzuia maambukizi ya #Covid19. Swala...
Kuna hii video iko YouTube inaonyesha hali ya majirani zetu imekua mwendo wa kuondoa maiti kwenye manyumba, jameni naomba serikali yetu isitufikishe huku, pima pima pima, fuata kila mtu mtaani...
Credit: Standard Digital
Consumers pay more for cereals as border shut
Grace Njanja, a cereals trader, going about her daily business at Nyamakima cereals market in Nairobi on April 8, 2020...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.