Katika juhudi za kuendelea kupambana na Corona, itakua sharti kwa kila Mkenya kuvaa barakoa wakati akiwa nje kwenye shughuli zozote zile, hivyo serikali inajiandaa kuzigawa kwa kutumia mawakala wa...
Wagonjwa wengine saba wamegundulika kuwa na Covid -19 nchini Kenya, na kuongeza idadi ya kesi zilizothibitishwa nchini humo kufikia 179.
Katibu Mkuu wa Afya Dk. Mercy Mwangangi, katika mkutano na...
Medical practitioners at a Coronavirus isolation and treatment facility in Mbagathi District Hospital on Friday, March 6, 2020.
SIMON KIRAGU
KENYANS.CO.KE
As the number of confirmed Covid-19...
Nchi ya viwanda...
KEMRI lab scientist Dr Edith Koskei displays coronavirus samples obtained from the public at the Sample Management and Reception facility in Nairobi on March 24, 2020...
Wahudumu wa afya wote kwa maelfu, iwe madakatari au wauguzi, iwe hospitali binafsi au za umma, wote watapimwa Corona kuhakikisha wako salama wakati wanatoa huduma, kisha pia wale wanao wahudumia...
Yaani huu uzembe wa kishenzi upigiwe makelele, wageni sita kutoka Tanzania wameingia Kenya na mpaka wanafika Vihiga, maeneo ya ndani sana Kenya ndio wanakamatwa na kuwekwa karantini, upumbavu wa...
Leo tena Kenya imeripoti visa vipya 16 vya maambukizi ya Corona, huku Rais Uhuru Kenyatta akikumbuka shuka wakati kumekucha, ameagiza wakenya wote kuvaa barakoa wakiwa nje za nyumba zao.
Jambo ni...
Huyu waziri alisemekana kufichwa kwenye hospitali isiyo maalum kwa shughuli za Corona huku akiwaambukiza watu, kuna Watanzania walikesha humu wakikanusha kwamba hamna chochote kama hicho, ila...
Yaani wanatumia njia za panya kuepuka "lockdown". Virusi vya corona ndio vimedhibitiwa hapo? Eti oh tunapima Covid-19 nchi nzima, mawee!
======
President Uhuru Kenyatta's order barring...
Yaani ni kama uende kwa watu waliofiwa, badala uwafariji unawapokeza kibakuli cha msaada.
Nimeikuta hii inajadiliwa na Watz kule kwenye jukwaa la siasa, ila nikaona vyema tuijadili na huku JF...
Suleiman Shabhal and Hassan Joho inspecting the newly installed public spray booth at the Likoni Crossing Channel in Mombasa. 6th April 2020
FACEBOOK
Mombasa Governor Hassan Joho has today...
Facebook Inc’s WhatsApp tightened message forwarding limits on Tuesday, restricting users to sharing forwarded content one chat at a time after a jump in messages touting bogus medical advice...
Waziri amekua akieleza kama ilivyo bila kuremba, jana ametoa tahadhari kwa vijana wakiendelea kupuuza na kuchukulia poa hiki kirusi, wataisha kuwazika wazazi wao wote...
Waswahili husema mwenye maneno mengi, hana nguvu za kupigana. Kenya wamezidi maneno kila wanapizidiwa lazina watafute kisingizio.
Ukweli ni kwamba Kenya wanazo maabara 2 tu zenye uwezo wa kupima...
Hakuna jiwe litakalosalia bila kuguswa, mapambano yanazidi kupamba moto kila kona ya nchi, japo Jirani wetu wa kaskazini anajaribu kupenyeza watu wake ili kutuletea virusi, lakini tutaendelea...
Pamoja na viongozi kupunguza mishahara kwa hadi asilimia 80, kupunguza malipo ya kodi na kuanzisha foundation za kusaidia ambao watathirika zaidi kiuchumi Uongozi unapendekeza kufuta malipo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.