Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Sent using Jamii Forums mobile app
7 Reactions
123 Replies
12K Views
MWILI wa mtu ambaye gari lake liliingia baharini katika kivuko cha Likoni maarufu kama ‘Likoni Ferry’ jana saa nne na dakika 20 mjini Mombasa umeopolewa. Polisi limemtaja mtu huyo kuwa ni John...
1 Reactions
4 Replies
859 Views
Hofu imetanda katika kijiji cha Bufuma huko Samia, Kaunti ya Busia baada ya Bw. Francis Wandera, 70 ambaye ni mfanyabiashara kuvamiwa na kuuawa akiwa nyumbani kwake siku ya jumapili. Mwili wa...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
BREAKING NEWS: Jengo la ghorofa sita limeanguka asubuhi ya leo katika eneo la Embakasi jijini Nairobi, huku watu kadhaa wakihofiwa kunaswa chini ya kifusi cha jengo hilo. Shughuli za uokoaji...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Naona nyuzi zinafunguliwa Left Right and centre trying to deflect the obvious. Harambee Stars imeitwanga Taifa failures ya Tz katika Cecafa Senior Cup challenge kule kwa Museveni...
1 Reactions
2 Replies
707 Views
Seven police officers, a doctor and two other people have been killed in an ambush in Wajir. Authorities said four people escaped the Friday evening attack with minor injuries. Gunmen attacked a...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chuo Kikuu cha Egerton kimefungwa kwa muda usiojulikana kutokana na wanafunzi wa chuo hicho kufanya mgomo wakishinikiza kuruhusiwa kufanya mitihani yao ya muhula pasipo kukamilisha ada. Sambamba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Afisa wa polisi, Bw. Peter Karanja ahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kuwaua watu kumi kwa kuwapiga risasi. Taarifa zinabainisha kuwa Bw. Peter Karanja alifanya uhalifu huo mnamo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hata kama uhuru ni mwizi, wizi mwingine ni wakiajabu..Hivi rais anawezaje tia maji kwa maziwa eti apate profit kubwa? Huu ni ushamba wa ajabu Fake milk Fake economy ====================== KOT on...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Watoto wawili wamefariki katika matukio mawili tofauti nchini Kenya baada ya kusombwa na mafuriko katika maeneo yaliyoathiriwa na mvua. Mmoja wa wahanga hao ni pamoja na mvulana wa miaka 13...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Benki ya Dunia imetoa ripoti kuwa Kenya imepiga hatua katika kupunguza umaskini na kutimiza haki ya usawa katika miaka kumi iliyopita. Mchumi wa Benki ya Dunia Bw. Utz Johann Pape, amesema ingawa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja mwenye tabia ya Wizi wa nguo za ndani za wanawake, anayejulikana kwa jina la Mukoshi Chipukosia (36), kutoka kijiji cha Hirumbi nchini Kenya, amekamatwa na kufikishwa kwa Mjumbe wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
When Faith Mwagandi (pictured) was admitted to Kenyatta University for a Bachelor of Arts degree, it came as a shocker. In high school at Moi Girls Eldoret, she had scored impressive As and was...
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Huwa nacheka pale Mkenya anapo mcheka Mtanzania kwa mambo madogo madogo lakini anashindwa kuelewa huyo unayemcheka ndie aliyetengeneza lugha ambayo sasa unaitumia.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Waokoaji nchini Kenya wameuopoa mwili wa kijana mmoja aliyekufa maji alipokuwa akijaribu kumuokoa mwananume ambaye alikuwa akiomba usaidizi alipokuwa akivuka mto uliokuwa umefurika . Anna Nduku...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama tulivyosema siku za nyuma kwamba Tanzania ni " role model " katika ukanda huu, karibuni majirani kuja kujifunza mambo mbalimbali. Wakenya kwenye mtandao wamechemka baada ya mvua inayoendelea...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Members of the 12th Parliament have returned with their quest for higher perks and improved living standards which now include accommodation in five-star hotels in the city. Championing for the...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Here's the score: Cases from April 2018. dailyactive.info/index.php/2019/03/14/which-is-the-most-corrupt-tribe-noordin-haji-spills-the-beans/ My take: Population distribution in Kenya is roughly...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Central Bank of kenya should work hard to ensure that kenya's shilling gets it's exact value they are some forces from Western countries to continue holding African countries hostage by...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
My take: No wonder the carrier is near collapse. A manifestation of the Kenyan conundrum [tribalism + corruption + greed + prestige + consumerism] ==== Kenyan pilots are smiling all the way to...
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Back
Top Bottom