Hali ya ukosefu wa ajira unaotokana na utawala wa hovyo wa Kenya, kumesababisha wakenya wengi kuchanganyikiwa na wengine kupendekeza kufanyike maandamano ya Umma ili kuondoa uongozi wa Jubilee...
By Ian Omondi For Citizen Digital
Published on: October 8, 2019 17:47 (EAT)
Abdi Latiff Dahir who has been named The New York Times' East Africa correspondent. PHOTO | COURTESY
Abdi...
Haya ndio mambo tunataka kuskia Afrika, sio watu kila uchao kuonea wengine wivu na wao hawataki kufanya chochote, uzembe tu. Wamezoea kusema Rwanda ni saizi ya mkoa, hamna kitu pale...
Biashara kimya kimya bila kuwakejeli wateja wao, kuna wengine unamshangaa anakuuzia, hela ni zako unamlipa taslimu bila deni, kisha akitoka hapo anajipiga kifua na kukutukana, sijui lini watu...
Nimecheka sana kwa hii hotuba ya rais Magufuli, amechomekea vikechekesho humo japo pia ni suala la kusikitisha, kwamba Watz licha ya kuwekewa mikwara ya kufungwa miaka 30 kwa anayetia mtoto mimba...
Hili tukio limewavua nguo wakenya wote na Kdf yao dhaifu, jeshi dhalimu lisilo na uwezo limejaa wakikuyu walioiba miskuti wakati wa Uvamizi wa Westgate.
Watamu Residents Give Investors Green Light to Build 61-Storey Skyscraper
by Ally Mwakaneno Gakweli — 8 hours ago
Watamu residents have given their consent to a group of investors to build Palm...
KCB Group is eyeing the Democratic Republic of Congo (DRC), chief executive Joshua Oigara disclosed on Friday.
The lender is looking at additional markets for expansion while awaiting a licence...
Wana JF kuna mmoja anapunguza ndege na kuna mwingine anaongeza ndege hii imekaaje?
Hii ina tofauti na wale wanaotamani kuikimbia ndoa na wengine wanataka kuingia kwenye...
The number of Kenyans with more than Sh100,000 as savings in their bank accounts has dropped for the first time in more than 13 years, reflecting the cash flow problems in an economy plagued by...
Baada ya Dangote kuzidua kiwanda Tz, hatukulala humu, nyuzi zilianzishwa na misifa, tambo zilirindima, sasa sijui kulikoni maana naona anavurugwa kupita maelezo.
--------------------
Hardly five...
Kikosi cha wanariadha 47 watakaowakilisha Kenya kwenye IAAF World Championship kule Doha, Qatar kimetajwa. Hii ni baada ya ushindani mkali kati ya wanariadha ili wafuzu kujiunga na Team Kenya na...
Kila siku tunawaambia humu adui wa maendeleo Tz ni nyie wenyewe na ushirikina wenu, hadi Rais anaeleza mlivyomsumbua enzi zake akiwa waziri, kila akijenga daraja mnaliroga mpaka ikabidi akatambike...
Rutto asipoteze muda wake bure,hataweza kupenya hii Ngome mambo yameanza kupikwa viungo mbalimbali vimeshaandaliwa Rutto asifikiri kila akukenuliae yuko na wewe.
Karata zimeshaanza kupangwa.
Huu...
https://www.kahawatungu.com/2019/10/07/kenyas-public-debt-2019-ksh5-8-trillion/
Huitaji kwenda shule ili ujue kwamba uchumi wa Kenya umesambaratika, ni wazi kwamba Jubilee wameshindwa kuiongoza...
Kuna nchi inayosikitisha kama kenya??
Madeni kibao
Gharama kubwa za maisha
Ugumu wa maisha ulopitiliza
Nchi iliyokwisha matumaini
Mnajishaua na kenya!Kenya ndo mdudu gani? Nchi inadaiwa...
Tukiweka ushabiki kando wa Kenya na Tanzania, ni wazi kwamba wakenya wengi wanaikubali sana Tanzania, hii inathibitishwa na jinsi wakenya wengi hasa wale wasomi wanavyoizungumza Tanzania katika...