Sept 6, 2019
The Hague, Netherlands.
From The International Court of Justice (ICJ) Headquarters :
Kenya late Tuesday said it had formally asked the International Court of Justice (ICJ) to delay...
Polisi katika Kaunti ya Tharaka Nithi imemkamata Mwanaume aitwaye John Munene akiwa nyumbani kwake katika Kijiji cha Karimba ambapo Polisi ilikuta nyama ya Mbwa ikichemshwa na nyingine...
Wakenya wengi wameonyesha kukubaliana na kushambuliwa kwa wageni hasa hasa raia wa Nigeria kwa sababu hata Kenya, wanigeria wamejaa na wanekua wakichukua Kazi za raia wa Kenya.
Mtazamo huu sio...
Asha Bani, Dar es Salaam
Siku moja baada ya Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), iliyokuwa inashikiliwa kwa amri ya Mahakama ya Gauteng nchini Afrika Kusini, kabla ya mahakama hiyo hiyo...
Hodgen Mainda in a past event.
Bill Lee the governor of Tennessee on Thursday, September 5, appointed 42-year-old Kenyan, Hodgen Mainda, to serve in his government as the commissioner for...
Kenya imepiga hatua na kupiku mataifa 15 kwenye utafiti wa nchi bora zenye mazingira wezeshi na rafiki kwa wageni kufanya kazi.
Inafaa iwe fundisho kwa walio na hulka za kibaguzi kwamba wageni...
The Kenya Power and Lighting Company (KPLC) has announced through a tender notice, its intentions to resume expansion works on its Medium and Low voltage electricity distribution network under the...
Yaani jamaa anatiwa kiberiti wakati watu wanachekelea pembeni, kosa lake ni ile tu kwamba yeye ni mgeni mweusi, anauawa na Waafrika wenzake, angekua Mwafrika mwenye asili ya kizungu hata wa...
Kenyans are less troubled about the security of personal data posted on internet, a global survey shows, implying they could be an easy target for cyber criminals.
Only four in every 10 internet...
Serikali imebana uajiri zaidi wa wafanyikazi wa umma kwa miaka mitatu ijayo katika hatua inayolenga kukabiliana na ongezeko la kiasi cha fedha zinazolipwa kama mishahara kwa watumishi wa umma...
Lamu port is a deep sea port that will be receiving bigger post-panamax vessels that currently cannot dock at Kilindini harbour in Mombasa. Since these vessels cannot dock at the beach, the berth...
Nashindwa kuelewa hivi Tanzania ni nani hapa afrika mashariki au Tanzania ndio iliteuliwa kuwa kiongozi wa huu ukanda
Licha ya kuwa Kenya inaizidi Tanzania uchumi ila bado Kenya inaisikiliza...
Huyu jamaa huwa sipendi siasa zake haswa kwa jinsi hutajwa kuwa mfisadi, lakini msimamo wake huu nimeupenda, kwa wale lugha itawapa chenga, amewarai Wasouth waache kuelekeza hasira zao kusiko, kwa...
https://www.bloomberg.com/amp/news/articles/2019-09-04/total-suspends-planned-3-5-billion-uganda-tanzania-oil-pipe?__twitter_impression=true
Total SA has suspended its planned $3.5 billion crude...
Waziri wa Tanzania amehojiwa na kukiri kwamba mkulima aliyekamata ndege yao pia aliwahi kukamata meli ya Tanzania, yaani hili deni amehangaika nalo sana, sijui kwanini Wabongo wanamdhulumu hivi.
Biashara za wasauz kule Nigeria zimepata pigo la hasara na uharibifu wa mali baada ya wanigeria wenye hamaki kufanya uvamizi. Supermarket za Shoprite na mali za MTN kwenye miji kama Lekki, Lagos...
https://www.jamiiforums.com/data/video/1102/1102983-deaad27312b1f2a12bb952e90d26fa41.mp4
Yeyote anayejikomba komba kwa hawa watu wa South, afikirie sana.
Ndio yale yale tena, vijana wa kisasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.