Hapa kazi tu, nchi imejaa vichwa...hongera sana wadau, nchi yetu hata kama ni ndogo bila madini na nusu yake ni kame, lakini tunajituma kupita maelezo. Rwanda pia wanajikaza sana, hongera zao...
Hizi video mbili zinaonyesha hatua zinazochukuliwa na KDF/AMisom kutayarisha wasomali kuanza kujilinda wenyewe wakati mission ya Amisom itafika kikomo December 2021....
Somali inahitaji polisi...
Wengi wali ignore when we try to emphasis on the role we had in the liberation struggles to the rest of Africa
Let's hear from the within
Tukiongea sisi tutaambiwa waongo.
Hizi takwimu zimefanywa kitaalam, sio kwa ajili ya Kenya tu, Singapore ndio inaongoza duniani.
Hapa EAC Rwanda inaongoza, dah hongera sana Kagame, ungepewa nchi kubwa yenye raslimali tungekukoma...
Majirani wetu wa Kenya, ni matumaini yangu kwamba huyu Dada amemaliza ubishi kati yetu, Yale yote aliyoyaandika yule mwanahabari wa Kenya aliyetembelea Tanzania, huyu Dada ameyathibitisha...
Gladys Ngetich, 28, is a young Kenyan who has caught the world's attention, due to her exceptional performance in the science field.
Ng'etich defied all odds, braving the male-dominated field of...
ANDREW MSECHU na NORA DAMIAN
Rais mstaafu Benjamin Mkapa, amesema nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), zinatakiwa kukabiliana na ukiritimba wa mataifa ya magharibi...
South Africa announces visa waivers to four countries
THURSDAY AUGUST 15 2019
South Africa on Thursday announced visa waivers for four countries in a bid to boost tourism amid an economic crisis...
August 16, 2019
Nairobi, Kenya
The Kenya Revenue Authority (KRA) has set its sights on developers of income-generating digital applications (apps) as part of wider plans to rope online...
Baada ya Museven kutaja kuwa Tanzania ni sehemu ya hija kwa wapigania uhuru wa Africa. Rais wa Afrika ya kusini aitaja tena kuwa Tanzania ni Macca ya wapigania uhuru.
Hii ni faida kubwa sana kwetu...
Construction of multi-million bypass roads in Meru town, Kenya is set to be completed by December this year. According to the Director of Kenya Urban Roads Authority (KURA), Eng. Abdul Rashid the...
A clinical officer was on Wednesday charged charged defiling a 16-year-old girl in Rangwe Constituency.
According to the charge sheet, the accused Michael Otieno Odhiambo, a clinical officer at...
A 36-year-old man from Mosomborik village in Kericho County is in police custody for allegedly raping his 60-year-old mother.
According to Chepcholiet sub-location Assistant Chief Stephen Korir...
Mungu alaze roho za kila mtu aliyeaga katika ajali hiyo mahali pema peponi. Nawaombea utulivu wa moyo.
Njoroge's family died in the Ethiopian Airlines crash shortly after takeoff from Addis...
Kama ilivyo kawaida kwa Kenya kuongoza kwenye kila kitu ukanda wote huu, imeanza vizuri kwenye haya mashindano baina ya wanajeshi wote wa EAC kwa kuichapa Burundi mabao manne tena bila huruma...
Majirani zetu, lazima mkubaliane na ukweli kwamba, mzee Jommo Kenyatta aliwapoteza sana pale alipoamua kufuata siasa za ubepari zilizozidisha Ukabila. Matatizo yote yanayoikumba Kenya chanzo chake...
Familia moja katika Kijiji cha Eburinde imeshangazwa na kitendo cha uongozi wa Kaunti ya Kakamega kudai sare alizozikwa nazo ndugu yao
Martin Shikuku Alikoye(31) aliyekuwa akifanya kazi kikosi...
Chinese firm 'gifted' oil licences
[/URL]
An Air Tanzania airplane. Photo/FILE
With Chinese firms operating in Tanzania already in the spotlight in the wake of the World Bank banning of three...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.