Uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nje umeongezeka kwa asilimia 27.53%, hii ni kutokona na uboreshwaji wa mazingira ya kufanya biashara kwenye nchi yetu...
Peter Ngugi mwenye umri wa miaka 32 anashikiliwa na vyombo vya usalama kwa kumjeruhi mkewe kwa kumwagia moto
Mwanaume huyo alimuagiza mkewe apike 'Githeri' (Kande) lakini mkewe alipika wali na...
Health authorities in Kericho County are on a red alert over a suspected case of Ebola.
This was after a patient exhibited suspected symptoms of the haemorrhagic fever at Kericho County Referral...
Hivi Yale magari yaliyonunuliwa kwa wingi ili kuwakinga POLISI wa Kenya dhidi ya haya maharamia yapo wapi?,. Kenya mtatumia mbinu gani kupunguza mashambulizi ya namna hii kwasababu yanazidi...
Kenya is set to conduct feasibility studies on Muthaiga-Kiambu-Ndumberi road project. This is after Kenya National Highways Authority (KeNHA) picked two consultancy firms to conduct the studies...
Huwa naona baadhi ya majirani zetu humu kutoka dona kantri wakijipiga vifua. Kwamba wanaweza wakafunga mpaka wao na Kenya. Kwasababu nchi yao eti ni ya 'asali na maziwa' na hawahitaji la ziada...
Woman admitted to Kericho hospital has no Ebola, tests show
MONDAY JUNE 17 2019
Health CS Sicily Kariuki who on June 17, 2019 confirmed that Kenya remains free of the deadly Ebola disease...
Matumizi ya bandari yetu ya Mombasa yameongezeka kwa kishindo, asilimia 13.9% hii ni kwa ajili ya ufanisi ulioboreka kutokana na reli mpya ya SGR yenye urefu wa kilomita 600.
Hii bandari imeunga...
Bajeti za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilizosomwa Juni 13, 2019:
Kenya: TZS 67.2tril ($29.2bn)
Tanzania: TZS 33.1tril ($14.3 bn)
Uganda: TZS 21tril ($9.1bn)
Rwanda: TZS 7.4tril...
Bajeti ya Kenya ya mwaka huu wa fedha 2019/2020 ni Kshs 3.1Trl, wakati nakisi ya bajeti(Deficit) ni 607.8B. Hii ni kusema kwamba 20% ya matumizi wanayopanga wakenya wanategemea kutembeza bakuli...
In Summary
• The port, which is connected to more than 80 ports globally and is served by more than 40 shipping lines, handled 1.26 million containers in the last 11 months.
• Export traffic...
I read somewhere Tz are creating new ships, yet this report indicates most major ships have been grounded three years consecutively, case of misplaced priorities....
----------------------...
Pamoja na kwamba DRC hatupo nao kwenye mpaka mmoja, yaani ili usafiri kutoka Kenya hadi DRC itakubidi upitie Uganda yote uimalize, lakini la kushangaza, Wakenya kwa kujituma, thamani ya bidhaa...
Kanda ya video ya kiongozi wa genge moja la majambazi kwa jina Gaza akijigamba kuhusu uhalifu aliotekeleza imesambaa katika mitandao ya kijamii na kuwawacha wengi vinywa wazi
Kulingana na gazeti...
Na Waandishi wetu
-Dar es Salaam
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Faraji Mnyepe, amesema mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)...
Hawa watu tuwatimue kwenye coalition ya East Africa wanatia aibu
Kwenye Picha uyo kijana mweusi eti in under 13 ila huyo baba hakosi 28
Shame on you kenya
Patent and trademark applications in Kenya hit a record high of 7,788 last year, surpassing requests recorded in the country’s history and signalling increased awareness among innovators on the...
https://allafrica.com/stories/201812120066.html
Habari za Leo majirani. Nimekutana na hii ripoti inayosema kwamba barabara za Kenya zenye Lami urefu wake zote ni 12,950km pekee kwa nchi nzima...
It's possible to achieve the United States of Africa dream
Raila's appointment as AU envoy the should be viewed through a different prism altogether: President Kenyatta’s vision of internal and...
Baada ya nyimbo nyingi kuwa SGR na Strugglers gorge zinajengea kwa fedha zetu za ndani, Zitto Kabwe ameibuka na ukweli mchungu kuhusu ufadhili wa miradi hiyo.
Tunaposema SGR Hadi Morogoro imekwama...