Kuanzia MauMau hadi MajiMaji Revolt pamoja na AngloZulu War Sudan MahdiWars hii Bunduki ilifanya mauwaji Ukizingatia Mababu zetu walikuwa wakitumia Mikuki na Ngao za Ngozi za Wanyama.
Hata hivyo...
BALOZI Amina Mohamed ndiye Waziri mpya wa michezo wa Kenya baada ya Rashid Echesa kupigwa kalamu Machi 1, 2019.
Echesa ameangukiwa na shoka katika teuzi za serikali zilizofanywa na Ikulu ya Rais...
Kenya and Ethiopia commit to full implementation of LAPSSET
MARCH 1, 2019 BY PSCU
ADDIS ABABA, ETHIOPIA, Mar 1 – Kenya and Ethiopia have renewed their commitment to the full implementation of the...
Raisi wa jamhuri ya watu wa Somalilland ambae pia ni Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Nchi hiyo yenye Amani na Utulivu.
Rais Musse Biihi Abdi
Ameapa kulisaidia taifa la Kenya iwapo...
Feb 2019
Nairobi, Kenya
The first ever Mwalimu Nyerere annual secondary school debate that is set to bring students from eight countries in Africa will take place at Juja Preparatory and Senior...
Mlipuko mkubwa umetokea jana majira ya Jioni mjini Mogadishu inasemekana mapigano makali yanaendelea mpaka leo.
Kuna Mgogoro kati ya Waziri Mkuuna Raisi Makabila yao ambayo hutumia Alshababu kwa...
Huwa nakisikia haya majamaa yanavyoongea kwa kujigamba unaweza ukahisi hii dunia ni mali yao, kumbe kazi ya ni kusaini tu mikataba bila hata kuangalia ina athari gani.
Kuna Mkenya humu kaandika...
Chinese Ditch Kenyan Sand for Their Own in SGR Construction
My take; Majirani kuweni makini sana vinginevyo wanaweza kuwachagulia idadi ya magoli mnayopaswa kuwapiga wake zenu kwa mwaka, hawana...
Tume ya kupambana na ufisadi nchini Kenya (EACC) imefichua sakata ya ufisadi wa Ksh bilioni 4.8 katika idara ya Magereza kuhusu ununuzi wa bunduki
-
Inaripotiwa kwamba wahusika walikuwa tayari...
Hello wana East.
Leo nakuja na ulinzi wa anga katika nchi za East Africa hususani nchi zinazotumia Ndege vita generation za kutoka Russia.
Kuna makampuni haya mawili ya Russia ambayo yanatengeneza...
sijui ni aina gani ya mikopo ambayo China ilitoa kwa Kenya. Kuna tetesi kuwa huenda China ikatwaa bandari ya Mombasa baada ya kushindwa kulipa mkopo iliyokopa China kwa ajili ya ujenzi wa reli ya...
President Uhuru Kenyatta now admits that Kenya cannot feed itself : SDV.
My take: Tunawaomba majirani zetu mje kujifunza jinsi ya matumizi bora ya ardhi. Rais wenu anakiri kwamba ardhi ya Kenya...
I have watched several public ceremonies in Tanzania and Uganda. Why are there never fly past shows by their respective airforce jets or any other planes?
Are their planes in good condition or...
The Ferris wheel at the Two Rivers Mall was officially launched by President Uhuru Kenyatta on Thursday evening. PHOTO | DIANA NGILA | NMG
Centum Investments Thursday launched Kenya’s largest...
Unajua mimi ninamkubali saana Raisi Uhuru Kenyatta angalia hii Clip anavyo MuOwn Raisi Mwenye Roro mbaya wa Somalia kama Binti kigoli au Mwali 😂😂
Rais wa Mogadishu kidogo alie hahahah...
Kama ilivyo kawaida ya Watanzania, hutunisha misuli halafu wanaguswa sehemu wanang'aka na kulegea, hii dili wameipigia makelele wakiimba mara viwanda mara wao hawaamuliwi mara hawababaishwi mara...
Kenya: Refinery wants out of pipeline union
WEDNESDAY FEBRUARY 27 2019
The crude oil storage tanks at Kenya Petroleum Refinery in Changamwe, Mombasa. Kenya Pipeline Company is pushing for a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.