Unravelling the life of Philip Ochieng, the grand old Kenyan media maverick
How does one tell the story of a person variously described as proud, bigoted, eccentric, conservative, and a show-off...
SENEGAL’S REGIONAL EXPRESS TRAIN NEARS COMPLETION AS PRESIDENT SALL INAUGURATES DAKAR TO DIAMNIADIO LINE
Niyi Aderibigbe
Jan. 15 2019, 10:14 am
180
Senegal’s President Macky Sall, yesterday...
Nimependa mtoa maoni mmoja wa Facebook alivyo wapongeza Askari wetu na kumwagia sifa nyingi kwa kazi wanayoifanya yanapotokea majanga na ikiwa wakati wa Aman hudharauliwa sana
Sent using Jamii...
Kwanza kabisa poleni sana majirani zetu Kenya.
Leo kumeibuka habari nyingi kuhusiana na shambulizi la kigaidi lililotokea jana nchini Kenya.
Gumzo kuu, ni kutajwa kwa Mossad katika ushiriki wa...
Kwanza nitoe pole kwa yaliyotokea kwa siku ya jana. Hakuna binadamu yeyote timamu anaeweza kufurahia au kufanya walichokifanya hawa waoga.
Nirudi kwenye mada yangu.
Kwanini inakuwa hivi...
Investors’ wealth at the stock market increased by nearly Sh4 billion in Thursday’s trading, marking the second straight day of gains since Tuesday's terrorist attack on the 14 Riverside offices...
Mda umefika wa the UN office in Arusha.
Arusha kuna ofisi nyingi za mashirika ya kimataifa (Mahakama ya Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, Pan African Lawyers Union, Pan African Postal Union...
Shambulio lililotekelezwa na wapiganaji wa Kisomali jijini Nairobi tarehe 15 Januari ni mapinduzi makubwa ya Propaganda kwa upande wa wapiganaji hao na kusisitiza wasiwasi kuhusu uwezo wa Kenya...
Jason Spindler survived 9/11. Then he died at the hands of terrorists in Nairobi.
By Siobhán O'Grady
January 16, 2019 at 1:54 PM
Kenyan President Uhuru Kenyatta announced Jan...
Huyu jamaa anafedha kweli kweli na amewekeza Kuanzia TanzaniaZambia na Malawi yeye ndio kwa mujibu wa Intelijensia anafadhili Al Shabaab popote pale Duniani
Mujahidi Abdwali Gaas billionia la...
Nawashangaa sana wakenya humu wanamtukana JPM kwa nyuzi fulani fulani nikama ni yeye ana mamlaka ya kulinda wananchi wakenya. Punguzeni jazba. Na kama mnahitaji usaidizi wa kimawazo mtafute...
Waziri wa ulinzi amehutubia na kusema jengo lote la hoteli ya Dusit lenye orofa saba lipo salama baada ya mapambano makali baina ya makomando na magaidi wa kujitolea mhanga. Hadi sasa imeripotiwa...
Shukran wadau kwa rambirambi zote mlizotupa, binafsi nimepokea nyingi tu kwenye Whatsapp kutoka kwa washkaji ukanda huu, ni dhahiri likija suala la magaidi Afrika mashariki huungana na kuwa...
Kuna watu wengi wanatiririka humu wakiomba KDF itoke Somalia na kuwaachia mashababi, eti ndio suluhu pekee ya kuzuia uvamizi wao. Ifahamike gaidi hutumia vurugu kama mtaji wake, neno 'amani'...
Wamesema haya matukio ya kigaidi hayatasababisha wao kuhama Kenya, wataendelea kuwekeza na kutanua.
Ishara za uwoga ndio chakula cha magaidi....
-----------------------------------
International...
Japo sifahamu kiundani zaidi lakini mambo haya yameanzia wapi lakini taifa la kenya limekuwa likishambuliwa na wana kikundi cha al shababu kwa miaka kadhaa
na hawa al shababu wanadai chanzo cha...
There is an old story, probably apocryphal, that shines a light on the way the East African Community and its interstate relations have evolved.
It says that when the late Mwalimu Julius Nyerere...