Wasalaam!
Naomba majibu ya hili swali maana nawashangaa wanapo lalamika kuwa media za tz haziwapi air time wakati wasanii wao kwanza ni wachache sana na ni wale wale na wasingelifika walipo kama...
Toka mzee wa kazi Trump aingie madarakani tumeshudia upanuzi mkubwa wa kambi za kijeshi na foward operating bases.
Katika kambi ya simba iliyo kaunti ya lamu nchini, upanuzi umekuwa ni wa kasi mno...
Handaki limechimbwa la umbali wa 7.14 km
The entrance of the Nairobi-Naivasha SGR tunnel which begins from Em Bulbul in Ngong Town, south of Nairobi. PHOTO | FRANCIS NDERITU | NMG
Kenya is...
Maafisa wa polisi jijini Nairobi wamewakamata washukiwa wawili wanaoaminika walihusika pakubwa katika kupanga shambulizi la kigaidi katika hoteli ya kifahari ya DustiD2 eneo la 14 Riverside...
Magufuli, Museveni to lay oil pipeline foundation stone
DetailsDAILY NEWS Reporter29 July 2017
[Hébergement Internet, Cloud, et Serveurs dédiés - OVH]
Home NewsPrevious Article Tanroads axe...
All Shabab you have stopped thinking and working for yourself, that is a cheap way of making money puppet idiots!pole sana rafiki zetu wore mliokumbwa na mkasa
Tanzania tupo vizuri.
Ikitokea kama ya kenya, tutakamata hadi bodaboda mwenye ndevu nyingi, kijana mchafu, asiye na kitambulisho cha utaifa aliyekuwepo hapo,mpita njia asiyejielewa, etc
Yani...
Kenya is now compelled to import goods, technology and services from China only.
Kwa kweli Magufuli anastahili pongezi kwa kuwanyima Tender hawa Wachina,Probably ule mkataba wa mwanzo kati ya...
The upgrade of Nairobi’s Outer Ring Road into a dual carriage will be completed in about two months.
Transport secretary James Macharia yesterday inspected the road being built as part of the...
Four Kenyan firms are among 40 companies that have received global recognition for championing digital innovations that positively impact local society.
The start-ups, M-Shule, Sokowatch, Kuza and...
Nilikua nazurura kule Youtube, nikapatana na hii VLOG ambayo wamarekani walisafiri hadi Kenya ili kuja kujionea wapi binadamu walianzia...... Binadamu wa kwanza wanaaminika walianzia eneo la...
Ni ajabu sana kukuta mwanaume akimwomba mwanaume mwenzake ampe mimba mkewe ili amzalishe huku akiwa na uwezo wa kumpa mimba. Hicho ni kituko ambacho hata wanyama hawafanyi.
Chukulia mfano Simba...
Watanzania wamefungua nyuzi humu wakilalamika kwanini Wakenya wanafuatilia rais Magufuli, ila nataka kuwaambia taarifa zinazotoka Tanzania za mambo anayoyasema rais wenu aisei ni za kipekee hadi...
Heri ya Mwaka mpya,
kwa kuwa leo Mjadala wa Lugha umechukua nafasi sana kwenye Jukwaa hili, na mimi naongezea hili,
Wageni toka kote duniani Huja na kuondoka Tanzania, watalii mamilioni kwa...
Tanzania music is the African or East African in particular is the dope heroine, its the unescapable addition which will rule you whether like it or not, nilishangaa hivi viwakora filthy huku...