Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Huyu jamaa ni blogger lakini amekuwa akisumbuliwa sana na Government of Kenya. Japokuwa Kenya kuna bloggers wengi ila yeye amekuwa akishikwa. Swali nije why him?? Kama kawaida yangu nilizama...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Embu Level Five Hospital made history on Friday when it became the first public institution in Mt Kenya and upper Eastern region to conduct a successful brain surgery. The hospital has embarked...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
Nimesoma nyuzi nyingi za wachangiaji hapa nchini kuhusiana na kuzimwa kwa vyombo vya habari wakati wa kuapishwa Raila Odinga. Wengi wakishindwa kulaani tendo hilo, Wachangiaji wengi jukwaani...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wasalaam wana jamvi Baada ya serikali majuzi kufungia vituo vya television vilivyokuwa vimepanga kurusha tukio la kihuni la kikundi cha RAO kujiapisha mahakama ilitoa amri kwa vituo hivyo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakikuyu ukabila unawatafuna vibaya. Nyerere aliwahi kusema hakuna zambï mbaya duniani kama ukabila na ubaguzi. Kwani ni zambi ambayo hukuwa kadri muda unavyokwenda. Nasikuzote mtu mkabila hana...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
TZ tops region in democracy index thecitizen.co.tz Feb 1, 2018 10:42 AM In Summary The Economist Intelligence Unit’s Democracy Index, whose 2017 edition was published this week, provides a...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Alipigania kwa kumtumia Muzungu kuhakikisha Kenya inapata Katiba mpya lkn lengo lake halikuwa kwa manufaa ya nchi bali lilikuwa kupata Katiba ambayo ingeweza kumpa Uraisi kwa kuvunja vunja Power...
4 Reactions
2 Replies
937 Views
Kajwang aliyemwapisha Rails kaachiwa sasa hivi,hivo Ni pigo kwa kenyatta
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Vituo vilivyorusha matangazo ya kujiapisha kwa Raila hivi tunavyozungumza vinaendelea ku enjoy uhuru wa vyombo vya habari uliopo kenya na demokrasia pana ya Uhuru Kenyatta na serikali yake...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
AUSTRALIAN beef genetics and staff will spearhead a $111 million vertically integrated meat production project in Tanzania. The 5000ha broadacre farming operation is a joint venture between...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Two Tanzanian men were, on Wednesday, January 31, sentenced to 42 years in jail by a Bungoma court for using children living with disabilities to beg for money, which they (Tanzanian men) end up...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Kenya Airways from June 2018 is expanding service to Cape Town, with first nonstop Nairobi – Cape Town flight scheduled on 06JUN18. Boeing 737-800 aircraft will operate this nonstop sector 3 times...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Itapewa Jukumu la kushona magwanda ya taasisi zote za kiusalama zikiwemo za KDF. NYS ni sawa na ile youth service ya Tanzania (JKT)
4 Reactions
3 Replies
772 Views
Business News Tanzania wants Kenya to pay Sh2.3 billion Uchumi Supermarket debt By Dominic Omondi and Philip Mwakio Published: Feb 1st 2018 at 23:20, Updated: February 1st 2018 at 23:21 Stranded...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jf tuwe wakweli kwa hali ilivyo ndani ya serikali ya Kenya ingekuwa kwenye mataifa mengine hivi Odinga leo hii angekuwa bado analala nyumbani kwake?Tazama uchanguzi ulivyo amriwa kurudiwa...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa maoni yangu kuapishwa kwa Raila Odinga ni mzaha na comedy ya kisiasa kuwafurahisha wafuasi wa NASA na wakenya wapendao comedy. Kuapishwa kwake si uhaini/jinai ya aina yoyote kwa sababu haina...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo Kiongozi wa muunganiko wa vyama vya NASA Raila Odinga anatarajiwa kuapishwa kama Rais wa Kenya. Hatua hii ya Raila Odinga inakuja iliwa ni baaada ya kugomea uchaguzi mkuu wa marudio nchini...
5 Reactions
280 Replies
41K Views
Wanahabari watatu wa Kenya walilazimika kukesha katika chumba cha habari kwa kuhofia kukamatwa na polisi waliokita kambi nje ya majengo ya shirika la habari la Nation. Mawakili wa wanahabari hao...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Benki ya Taifa ya Kenya imetangaza kupunguza wafanyakazi 150  Leo January 30, 2018 Benki ya Taifa ya Kenya imetangaza kupunguza wafanyakazi 150 wakieleza kuwa nia ya kufanya zoezi hilo ni...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mbunge wa Ruaraka, MP TJ Kajwang’, ambaye ndiye aliongoza tukio la kuapishwa kwa kiongozi wa NASA, Raila Odinga amekamatwa Mbunge huyo amekamatwa leo na askari polisi waliokuwa hawana sare nje...
3 Reactions
87 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…