Hii ameisema imetokana na kwamba mgombea urais Raila Odinga alichomoa wakati wa marudio, hivyo Aukot akabaki yeye kama mpinzani aliyepambana hadi mwisho.
Thirdway Alliance presidential...
Kama tulivyo sikia siku ya Alhamis, raia wa jimbo la Catalonya wapiga kula ya kujitenga na Uhispania, sababu ziko nyingi.
Vuguvugu hili lilianzishwa na viongozi wa jimbo hilo akiwemo rais wa...
Wakenya wanasubiri kwa hamu mwongozo wa Kinara wa upinzani Baba Raila.
Muungano mkuu wa upinzani nchini kenya NASA umekataa kutambua uchaguzi ambao uhuru kenyatta alichaguliwa kuwa rais mteule...
Nadhani Uhuru Kenyatta na Wafuasi wake wa Jubilee wanajifariji tu na ushindi huu mkubwa wanaoupata katika uchaguzi huu wa kurudiwa. Nimetafakari sana, na kuona kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wa...
Uhuru Kenyatta ndiye rais mteule wa taifa la Kenya baada ya kuzoa kura milioni 7.4 ya kura zote zilizopigwa kwenye uchaguzi mpya wa urais, ametangaza mwenyekiti wa tume ya IEBC, Wafula Chebukati...
Nimejaribu kufatilia taarifa za ushindi wa Kenyatta, hapa kwetu sijaona salamu za pongezi zikitoka kwa haraka kama ilivyokuwa uchaguzi uliopita, tukiachia hapa kwetu AU, pamoja na nchi za Jumuia...
Muungano wa upinzani wa National Super Alliance (NASA) unakusudia kutamtangaza Raila Odinga, kuwa Rais wa Kenya iwapo Rais Uhuru Kenyatta ataapishwa.
NASA umetoa changamoto kwa Tume Huru ya...
Jeshi la Polisi linachunguza tukio la kuuawa kwa mzee mmoja wa miaka 60 na sehemu zake za siri kunyofolewa. Mwili wake wakutwa ukiwa umetupwa kando ya barabara ya Riruta Jijini Nairobi.
Mpaka...
geza
....
I really cant with this govt!!
Tanzanias total rail cost
1.5bn$ to build same distance as Kenyas Rail
Of the 4bn$ used to construct
Mombasa Kenya Railway
2.3bn$ is unaccounted...
Declaration of interest. Binafsi namkubali sana mzee wetu EL ambaye ni chaguo la watanzania walio wengi.Kwa utulivu wake na jinsi anavyofanya maamuzi kwa uweledi uliotukuka.
Ikumbukwe mh Lowasa...
Kenya goes for bond to rein in interest rates
MONDAY OCTOBER 30 2017
By GEORGE KAMAU
More by this Author
The National Treasury of Kenya has for the third month in a row opted to raise money...
Wakenya wengi hawajui kucheza karata za kisiasa.Wakenya wengi wanataka kupenya kuingia Tanzania ila kikwazo kikubwa ni sheria Na Sera mbalimbali za Tanzania kama za ardhi,ajira,uhamiaji nk...
Hali maeneo ya ruaraka hapa nairobi,si shwari baada makabiliano makali kuibuka mitaani Kati ya vijana wa kundi haramu LA mungiki na wajaluo.
Mwenzenu tangu niziskie hizi habari nimetulia mvunguni...
As you go for the re~run polls, I wish Uhuru Kenyatta the best.
I just hope he will win the election for Kenyas presidential polls.
The simple, yet very powerful move of accepting the re~run as...
Wakuu,
Kwa niaba ya JF, nitahakikisha mnafahamu kinachojiri toka hapa Kenya ambapo uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika hapo kesho.
Tayari Raila Odinga ametangaza kuwa Muungano wa NASA utakuwa...
Mshindi wa Uraisi Kenya kutangazwa saa 3:30 pm (saa 9:30) na IEBC Na maandalizi yashakamilika ikiwepo ulinzi wa kutosha
MPAKA SASA KENYATTA ANAONGOZA KWA KURA 7 million ; ikiwa wazi ndo Raisi...
Kama mnavyo jua
Raila alikuwa anapigania Kiti cha uongozi Kenya
Haya
He says he won round one but says he was cheated the seat
Well i found abit not believable since my polling station was...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.