Chama cha NASA, kulingana na kiongozi chake Raila, kimekuwa chama cha mapinduzi (resistance movement).
Mimi naona ni kama Raila anataka kufanya kama Museveni alivyofanya hapo awali.
Mwaonaje...
Mimi ni Mtanzania, nachukia kwa kiwango cha hali ya juu, kinachoendelea Nchini Kenya, kisa tu kuwa heti mpate madaraka, awe rais apate mshahara mkubwa?? alafu apoite barabarani na vingora? this is...
Wanawake kadhaa kutoka Nyeri, Nchini Kenya, wamesema kuwa hawatotoa "Unyumba" kwa waume zao kama hawatompigia Kura Uhuru Kenyatta .
Wanawake hao wamefikia uamuzi huo baada ya kubaini kuwa Waume...
Wabunge 6 wa upinzani kutoka Pwani na Gavana wa Kilifi Amason Kingi na wamesema watashinikiza mkoa huo kujitenga endapo Tume ya Uchaguzi itaendelea kusisistiza kufanyika kwa uchaguziwa marudio...
Mahakama ya Juu Kenya yashindwa kusikiliza kesi ya kuahirishwa kwa uchaguzi kutokana na ukosefu wa majaji wa kutosha mahakamani.
Jaji Mkuu David Maraga amesema baadhi ya majaji wamo nje ya nchi...
Rais Kenya, Uhuru Kenyatta na Makamu wake , William Ruto wameyatuhumu mataifa ya Kigeni kutaka kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.
"Nataka kuiambia jumuiya ya Kimataifa kwamba kenya hakuna...
Dereva wa naibu jaji mkuu wa Kenya
Philomena Mwilu amepigwa risasi na
kujeruhiwa na watu wasiojulikana mjini Nairobi. Dereva huyo anayejulikana kama afisa wa polisi Titus Musyoka alipigwa risasi...
Mods ikiwezekana fanya hii thread iwe stick thread.
Kenya ni majirani zetu kwa zaid ya miaka kumi na tano nimekuwa mfatiliaji wa uchaguzi mkuu wa Kenya.
Nna uhakika member wengi wa jf wangependa...
Mahakama Kuu ya Kenya imetengua amri ya serikali ya kuzia maandamano ya Upinzani.
Jaji John Mativo amesema kuruhusu marufuku hiyo itakua kinyume na katiba kwa kuwa haki ya kupiga na kuandamana...
Four Points by Sheraton debuts in Tanzania with first Arusha hotel
by Victoria Rosenthal |
Oct 23, 2017 12:25pm
Four Points by Sheraton Arusha, The Arusha Hotel will debut in the Tanzania...
Guys,
The Political fever in Kenya is high.
Kenyans are waiting and hear where;
1. Uhuru addresses the nation from state house,
2. The opposition leader for NASA Raila addresses at Uhuru...
Mahakama yasema mchakato wa uteuzi wa wasimamizi wa uchaguzi ulikuwa batili.
========
The process that led to the appointment of constituency returning officers and their deputies is illegal...
Jaji Mkuu Wa Kenya Hivi Punde Ametangaza Rasmi Kuwa Mahakama Kuu Nchini Humo Imeshindwa Kusikiliza Na Kutoa Maamuzi Ya Kesi Ya Kuomba Kuahirishwa Uchaguzi Mkuu Kesho.
Amesema Idadi Ya Majaji Wa...
Wamiliki wa blog na wasimamizi wa mitandao ya kijamii wameonywa wanaweza kukabiliwa na faini kubwa na kifungo cha hadi miaka 5 jela kutokana na maudhi ya kichochezi kwenye majukwaa yao wakati wa...
Delegation toka sultan wa Oman, ikiwakilishwa na H.E Mohammed Bin Hamad Al Ruhmy imetinga mombasa hiyo Jana, baada ya kuwasili walipokelewa na sultan wa Mombasa bwana Ali hassan Joho.
Agreements...
Kesi iliyofunguliwa na wapiga kura watatu kupinga uchaguzi wa Urais kufanyika kesho imeshindwa kusikilizwa kutokana na baadhi ya majaji waliopangiwa kusikiliza kesi hiyo kushindwa kuwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.