My country people, my fellows and colleagues from pande za middle income Nairobi......WHAT IS LIFE?
-Life is a gift which we have been given by the Creator, we better live for the pleasure of the...
IMF cuts Kenya economic growth forecast again on poll jitters
By Dominic Omondi
Published: Oct 13th 2017 at 18:30, Updated: Oct 13th 2017 at 23:59
Share Tweet
NASA supporters hold protest in...
Concern as flower farmers relocate to Ethiopia
By Antony Gitonga
Published: Oct 12th 2017 at 22:50, Updated: Oct 12th 2017 at 22:51
Share Tweet
From Left: Institute of Human Resource...
Kuna Sheria
Kuna Katiba
Sheria zinafaa zifwate kanuni za Katiba ili ziwe sheria kama hazifwati katiba basi sio sheria mwafaka
Ninaweka reply yangu kama thread ili muelewe mnayo ongelea juu naona...
Kenya faces economic uncertainty as political impasse drags on
By Dominic Omondi
Published: Oct 10th 2017 at 23:18, Updated: Oct 10th 2017 at 23:52
Share Tweet
NASA principals Moses...
Serikali nchini Kenya imepiga marufuku maandamano katika maeneo ya katikati mwa miji ya Nairobi, Mombasa na Kisumu.
Kaimu waziri wa usalama Dkt Fred Matiang'i amesema pia kwamba wanaopanga...
Wanafunzi watano na mlinzi mmoja wameuawa kwa kupigwa risasi Jumamosi ya Leo asubuhi katika Shule ya Sekondari ya mchanganyko ya Lokichogio huko kaunti ya Turkana
Akithibitisha tukio hilo...
Bunge la Kenya linafanya mabadiliko ya katiba ili Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee apate ushindi wa kishindo hata kama uchaguzi huo utakuwa na kasoro.
Makamu wa Rais Willam Ruto amepanga...
Wakuu aliyekuwa mgombea mwenza wa Urais nchini Kenya kupitia muungano wa NASA ameshauriwa aachane na Raila Odinga na badala yake ajiunge na chama Tawala cha Jubilee.
Kwa mujibu wa Wazee wa...
Wakati majirani zetu Kenya wanahangaika na changamoto za kisiasa, Tanzania inajikita kwenye uchumi wa Massa 24.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO)...
Habari wakuu,
Hivi kwanini ndugu zetu Wakenya walimkatalia Hayati Mwalimu Nyerere kuunganisha Afrika Mashariki ??? Kikubwa zaidi alikubali kabisa kwa moyo mweupe Uraisi apewe Hayati Mzee Jomo...
Watu wawili wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa baada ya polisi kuwafyatulia risasi waandamanaji waliovamia kituo chao cha kazi huko Bondo.
Waandamanaji walijikusanya nje ya kituo cha polisi na...
Sisi ni ndugu, tupendane jamani. Zaidi tunawaombea mpite kwa amani na upendo katika kipindi hiki kigumi kwenye historia ya Taifa lenu.
Kuweni wakweli na msikuze/exaggerate mambo. Mungu...
Hadi saa 3:00 asubuhi waandamanaji walikuwa wamejikusanya eneo la Kondele wakijiandaa kuelekea ofisi za IEBC zilizoko Milimani mjini Kisumu.
Nairobi, Kenya. Mapambano yamezuka kati ya polisi na...
Muungano wa Upinzani (NASA) umepanga utakuwa unawapa mikate na soda wafuasi wao kabla ya kuanza maandamano ili kuwafanya wasipore tena vyakula vya wafanyabiashara
Hayo yamesemwa na mbunge wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.