Chuo Kikuu Nairobi kimefungwa kwa muda usio na kipimo kufuatia vurugu za wanafunzi
Wanafunzi walifunga barabara wakipinga uvamizi na kupigwa na polisi, baraza la chuo liliagiza kufungwa mara moja...
Mtu mmoja amefariki katika mji wa Siaya polisi walipokuwa wanawatawanya wapinzani wa upinzani wanaoandamana dhidi ya Tume ya Uchaguzi
Mtu huyo alianguka na kufariki wakati waandamanaji...
Hbari nimeitoa The Citizen Tv, wapinzani wanalalamika wabunge wa Jubilee wamepisha muswada ambao utawewezesha kuiba uchaguzi wa October 26
Ila sijaelewa huu juswada unahusu nini exactly na...
Polisi nchini Kenya walazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wanaoshinikiza baadhi ya viongozi wa IEBC kujiuzulu.
Hii ni baada ya waandamaji hao kuchoma moto matairi na...
RAIA wa Kenya wanaoishi nchini Marekani wameandamana wakipinga Serikali yao ya Kenya, ikiwa ni siku 24, kabla ya uchaguzi wa urais wa marudio unaoatarajiwa kufanyika Oktoba 26, mwaka huu.
Raia...
Mabalozi wa kigeni nchini kenya wameeleza wazi kuwa wale wote watakao chafua amani kwa ajili ya kusaka Urais, hawatasita kuwachukulia hatua kali kwa mujibu wa sheria za Kenya au za kimataifa-...
Historia ya Siasa Nchini Kenya
Abdilatif Abdalla anaeleze historia ya siasa nchini Kenya kuanzia chama cha KANU(Kenya African National Union) baada ya kupata uhuru na baadaye wanachama wa KANU...
Baada ya "Supreme Court" kufutilia mbali matokeo ya uchaguzi yaliyomtangaza Uhuru Kenyatta kuwa mshindi wa urais wa Kenya kwenye uchaguzi wa 8/8/2017.Yameibuka mengi kuhusu "jinsi" demokrasia...
MALINDI, KENYA: Jeshi la Polisi linamshikilia Mhubiri mmoja kwa kuwaachish Shule watoto wa miaka 10 hadi 15 ili awafundishe Dini.
Wakati Jeshi la Polisi likifanya jitihada za kuwatia nguvuni...
Lori la mizigo lapoteza mwelekeo na kugonga nyumba ya na kuuwa watoto 4 na kumjeruhi mmoja vibaya megonga nyumba
watoto hao walikuwa na umri kati ya miaka 12 na 17 lori hilo lilikuw linabeba...
Mmoja ambaye hufanya biashara ya kutembeza maji ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa baada ya Askari wa Jeshi la Magereza kuwafyatulia risasi.
Inadaiwa kuwa watu hao walikuwa wakijaribu...
Mwanamke mmoja aitwaye Faith Kanario mfanyakazi wa Bar katika mji wa Meru amemchoma visu na kumuua mpenzi wake waliodumu kwa miaka 2 baada ya mwanaume huyo kuwanunulia rafiki zake bia
Mashahidi...
Nimejaribu kufuatilia sana purukushani za uchaguzi wa Kenya mpaka sasa. Nimesoma haya:
1. Katiba ya Kenya ni zuri sana na haijatoa mwanya wa mtu kujiinua;
2. Kenyatta anaroho ya kutokubali...
Wakuu kuna vurugu zimeanza kwenye maandamano ya NASA yanayoendelea nchini Kenya na kuonyeshwa live na citizen tv ya Kenya, maandamano hayo yanashinikiza kujiuzulu kwa tume ya mipaka na uchaguzi...
Siwaelewi NASA na kiongozi wao jamani,walipettion ushindi wa Rais na supreme court ikawasikiliza nakushinda,baadaye wakapinga tarehe 17october yamarudio iliyopangwa awali na IEBC,tarehe...
Kenya itaanza kuvuna figo za watu waliokufa na kuzipandikiza kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na matatizo ya figo kwa makubaliano ya wanafamilia wa marehemu
Mwenyekiti wa kamati ya kisanyansi ya Chama...
Ni kauli ambayo Makamu Rais wa Kenya Mheshimiwa William Rutto aliyoitoa muda si mrefu ambayo imeonekana kuwakera Wakenya wengi huku wengine sasa wakisikika kwamba wako tayari kwa Vita muda wowote...
Matumaini ya kufanyika uchaguzi wa marudio kwa kura ya urais Oktoba 26 yamefifia baada ya jana wawakilishi wa vyama vya Jubilee na muungano wa Nasa kushindwa kukubaliana kuhusu masuala muhimu...