Je, Sheria zinasemaje mimi kama Mtanzania kugombea Uraisi kama Demu wangu ni Mkenya na nikachukuwa Uraia? Naruhusiwa?
Faida ni nyingi kwa nchi ya Kenya kwani nitabalance kila kitu mambo ya...
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga
Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA, umesema siku ya Jumanne utaongoza maandamano ya wafuasi wake nje ya Ofisi ya Tume ya Uchaguzi jijini Nairobi...
Electoral Commission Chairman Wafula Chebukati has sacked his personal assistant over leakage of information from his office as the opposition gave top managers at the polls agency 24 hours to...
Mombasa Governor has been arrested and is detained at the Nyali Police Station.
Ali Hassan Joho has been detained after a confrontation over alleged land grabbing.
Tension has been ignited at...
Watu saba wameuawa kwenye vita ya kikabila huko Transmara , mapigano hayo yalianza baada ya mfanyabiashara kuuwawa na watu wasiojulikana na kupelekea vita ya kulipiza kisasi.
Naibu kamishna wa...
Dah ni huzuni kubwa maze humu nchini, baada na caf kutuibia hili kombe[emoji191] ila its an indictment on the jubilee admin they have been doing a lot of PR. And lots of garbage!![emoji192]...
Nimepitia kwenye website ya UN. Nimeona Kiswahili ni kati ya lugha 15 zilizo orodheshwa kwenye website.
Ni hatua nzuri sana kwa lugha adhimu ya kiswahili. Ndugu zangu wakenya acheni kudharau lugha...
Hii ni post kutoka moja wapo ya forum za Kenya
"1. Tanzanians and Kenya have hate/love saga
2. Tanzanians fear the Tutsi (Hima empire conspiracy). So many Tutsi are in tz by the name of other...
KENYA: Msaidizi wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Gekara Muoni afutwa kazi kwa kuvujisha siri kutoka ofisi ya kiongozi huyo wa IEBC.
> Pia bwana Gekara Muoni anatuhumiwa kujaribu kulazimisha...
Labda wataalam wa sheria watusaidie kudadavua hizi kauli za hii mahakama maana inajikanganya na kubadilisha badilisha gia kama yale magari ya zamani. Hapa mahakama imetoa tamko la kuondolea lawama...
Sasa nimeweza kuunganisha dots, kumbe huyu Maraga ni mtu wa Kisumu, huko Kisumu ndiko Raila Amolo Odinga anakotoka, kweli kwenye Siasa hkn jambo linalotokea kwa bahati mbaya!
Kama Raila Odinga...
Leo hii confirmation imetoka ulaya.
Gazeti la Daily Mail limetangaza kwamba Everton imetua 'the fishing village of Dar es Salaam'.
Tumeambia hawa watanzania mara mingi bila mafanikio.
Leo hii...
Waganga wa Kienyeji wamnajisi binti kwa lengo la kupata ulinzi na nguvu kutoka kwa Mizimy ya mababu zao.
Aidha wamedaiwa pia wamefanya kitendo hicho wakiamini kuwa watapata utajiri.
======...
Wasalamu ndugu zangu. Poleni na majukumu.
Nimekaa na kutafakari sana juu ya mwenendo wa Sasa za Kenya kwa hivi Sasa hasa baada ya kuonekana dhahiri kuwa mhimili wa Mahakama na ule wa Serikali...
Wanajaribu kujibu hoja na lugha ya kizungu kizungu hivi. Eti wanasupport Jubilee kama kisasi hivi!! Siasa za kiafrika ni vioja tu.
hoja zaidi toka kwa tanzanians leaders wakiwa kenya
A mombasa resident from bombolulu estate was caught having sex with someone's wife. Yule bwana akaita mateja wakaja wakarape huyu jamaa na bibi yake pia. Recorded videos ziko but sijui namna ya...
Baada ya kutenguliwa kwa uchaguzi wa tarehe 8/8/2017, Rais Kenyatta alinukuliwa akiwaita majaji hao kuwa ni wakora. Hizi sasa, dalili zaonyesha kuwa kuna ukweli kiwango fula.
Baada ya document...
Baraza la Mawaziri, katika kikao chake kilichofanyika Alhamisi ikulu chini ya mwenyekiti wake Rais Uhuru Kenyatta lilipitisha bajeti ya Sh10 bilioni kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa marudio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.