Mwanafunzi mmoja wa shule ya sekondari katika kaunti ya Homabay nchini Kenya, anashikiliwa na polisi akitarajiwa kufikishwa mahakamani baada ya kupatikana akiwa na bunduki, kwa mujibu wa gazeti la...
KENYA: Polisi imewakamata watu 4 wanaodaiwa kuwa raia wa Burundi waliokuwa wakielekea Somalia kujiunga na kundi la Al-Shabab
==============
Nairobi (RBC Radio) Kenya police on Tuesday said they...
Muungano wa NASA unasisitiza kwamba hakuna uchaguzi utaandaliwa tarehe 17 mwezi Oktoba ikiwa matakwa yao hayatatimizwa. Wakiwahutubia wanahabari, viongozi wa NASA hata hivyo walipuuzilia mbali...
Bweni la shule ya upili ya wavulana ya Migori lilishika moto jana usiku ambapo bidhaa za wanafunzi zilichomeka. Moto huo ulizuka wakati wanafunzi walikuwa kwenye masomo ya jioni. Ilichukua muda wa...
Wabunge wa upinzani wameendelea kususia vikao vya bunge vinavyoendelea mara baada ya kugomea ufunguzi wa bunge hilo na Rais Uhuru Kenyatta.
Wabune wa Jubilee pekee ndio waliokuwa kwenye kikao cha...
Gavana wa Machakos Dr. Alfred Mutua, sasa anadai kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka, amepunjwa kwenye muungano wa NASA na mgombea urais wa muungano huo Raila Odinga. Dkt. Mutua anadai...
Misa ya wafu kwa wasichana tisa walioaga dunia katika shule ya upili ya wasichana ya Moi jijini Nairobi imeandaliwa leo shuleni humo. Misa hiyo inahudhuriwa na wanachama wa bodi ya usimamizi wa...
September 13, 2017
Kisumu, Kenya
Vurugu Kisumu baada ya vijana kutaka kuvamia mkutano wa kina mama
Kumetokea ghasia katika mji wa Kisumu, Kenya baada ya wakaazi wa mji huo kusoma habari...
THURSDAY SEPTEMBER 14 2017
The US State Department has issued a travel alert, warning of possible violence linked to October 17 repeat presidential election.
The new notice comes less than a...
Centum sets new record with Sh375.6m CEO pay
WEDNESDAY, SEPTEMBER 13, 2017 11:19
BY VICTOR JUMA
Centum Investment’s
ICDC • 41.75 ▼ 0.60% chief executive James Mworia’s total pay rose 87 per cent...
Habari zinazochipuka hii leo toka Mombasa Nchini Kenya, wezi wawili yapata jana jioni waliliiba gari la bwana mmoja alilokuwa ameliegesha sehemu apate kinywaji kisha aende zake home.
Baada ya...
Kabla hata ya kuyasikia majibu ya NASA kuhusu kauli ya kipumbavu aliyoitoa Uhuru Kenyatta kuwa eti hata Raila akishinda uchaguzi ndani ya miezi mitatu Jubilee wana uwezo wa kumwondoa madarakani...
Amesema hana wasiwasi wowote wa kurudia uchaguzi na kuwaita wale majaji ni majambazi. Aliyasema hayo wakati akilihutubia bunge ktk ufunguzi wake. Jaji Mkuu wa Kenya hakuhudhuria sherehe hizo kwa...
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye umri wa miaka 14 ameshatakiwa kwa mauaji ya wanafunzi 9 waliofariki kwenye moto uliounguza shule ya sekondari Moi Septemba 2
Mwanafunzi huyo ameachiwa kwa...
Kama uchaguzi ulikwenda sawa kasoro ni ujazaji na utumaji wa matokeo kwanini busara isingetumika kurudia upya kuzihesabu kura (ballot papers) badala ya kurudia uchaguzi mzima ambao ni ghari kwa...
Kenya has been ranked the top country for the third consecutive year in a survey on financial and digital inclusion by a US-based public institution, helped by the wide adoption of mobile money in...
wakenya wanapenda sana kutafuta mafanikio kwa njia za ushirikina ila ni waoga sana wa mambo ya ushirikina.
nataka niwasimulie kisa cha kweli kinachomuhusu rafiki yangu mmoja mkenya.ni kisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.