Familia moja katika eneo la Takaungu, Kaunti ya Kilifi inaomboleza kifo cha dereva wa Matatu kufariki nyumbani kwa mpenzi wake (mchepuko).
Kupitia mzee Shali Gona, familia hiyo inasema kifo cha...
Serikali kupitia wizara ya mazingira imeshikilia kuwa marufuku ya utumizi wa karatasi za plastiki humu nchini lazima ifanyike. Haya yanajiri zikisalia siku chache tu kabla ya tarehe 28 mwezi...
Jamaa ameanza kwa mbwembwe, japo kuna wale wanasema hizi ni kiki za PR, ila mimi naomba aendelee vivyo hivyo. Kakuta mamilioni ya hela za Kikenya yamekombwa na kufichwa sehemu.
Hehehe mtakoma...
Former Nairobi Governor Evans Kidero Vacated Office immediately on Wednesday Last week as soon as Sonko was Declared winner
Jubilee Supporters spent The night Celebrating their win
And now...
For years, Nairobi has been the cradle of technological innovation in Kenya, and the center of the country’s thriving tech ecosystem, famously known as Silicon Savannah.
Most of the innovation...
Kijana wa kitanzania mzalendo aliyekataa mshahara wa million 425 Marekani kutoka kwenye kampuni ya Bill Gates na kuludi nchini Tanzania. Ameleta wanafunzi wa chuo number moja duniani cha Harvard...
KUTOKA SOMALIA MBAKA KENYA SEHEMU YA 1
Tumeshuhudia nchi ya Kenya ikikumbwa na mashambulio ya kigaid kutoka katika kikundi hatari barani Africa alshabab kutoka nchini Somalia je ni nini chanzo...
Baadhi ya wabunge wapya nchini Kenya wamepinga mpango wa kupunguza mishahara yao kwa asilimia 15 kulingana na chapisho la mtandao wa Twitter wa chombo kimoja cha runinga.
Hatua ya kupunguza...
Mwanamke mmoja nchini Kenya ameamua kuingia mtaani kusaka mume huku akiwa amebeba bango katikati ya jiji la Nairobi. Akiwa amevalia nguo nyeupe- kama ya harusi- mwanamke huyu mwenye umri wa miaka...
Total Kenya parent firm buys Maersk Oil in $7.5 bn deal
MONDAY AUGUST 21 2017
A Total Kenya outlet. Total said the acquisition was expected to result in synergies of more than $400 million...
FLYING AHEAD
Kenya is king of domestic air travel in Africa
By Abdi Latif Dahir August 22, 2017
Fly into Jomo Kenyatta International Airport. Many are. (Reuters/Thomas Mukoya)
When it comes to...
Jeshi la Polisi ktk Kaunti ya Siaya linaendelea na upelelezi baada ya mwili wa mwanamke(mwalimu) aliyetambulika kama Caroline Odinga ambaye alikuwa msimamizi msaidizi akifanya kazi na IEBC ktk...
URA shuts Nakumatt’s three stores over taxes
MONDAY AUGUST 21 2017
[http://www]
A shopper outside Nakumatt’s Oasis in Kampala. PHOTO | MORGAN MBABAZI | NMG
In Summary
The closure effectively...
Ametoa ahadi nyingi sana ikiwemo kuhakikisha Nairobi utakua mji msafi zaidi ya Kigali, pia maji ya uhakika kwenye mabomba na mengineyo. Japo pia nampongeza kwa kujiamini maana huyu jamaa alianza...
Mwanamke mmoja akiwa amevalia gauni maalumu kwaajili ya kufungia ndoa ameonekana katika mtaa wa Tom Mboya Jijini Nairobi akiwa ameambatana na mtoto wa kike(Miaka 7) huku akiwa amebeba bango lenye...
Raila ameanikwa mambo yake na aliyekuwa Msaidizi wake Mkuu,mshauri wake wa mambo ya kisiasa,kisheria na katiba kipindi cha serikali ya umoja wa kitaifa nchini kenya,MIGUNA MIGUNA,kama...
Protracted trade dispute between Nairobi and Dar es Salaam has hit Kenya's dairy sector hard with the value of exports to Tanzania dropping by 80 per cent between 2014 and last year.
Data from...
SIKU 10 tangu kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Kenya, imeelezwa kuwa nchi hiyo ndiyo inayoongoza kwa kufanya uchaguzi ghali zaidi barani Afrika.
Aidha, kwa duniani imeshika nafasi ya pili...
Kasoro zaidi za Uchaguzi Mkuu wa Agosti 8 zilijitokeza Jumatano baada ya sanduku la kura za ugavana katika Kaunti ya Turkana lilipopatikana na wafugaji kichakani.
Sanduku hilo lilipatikana...