Ukweli huu unauma lakini always the truth hurts , Raila apigi kampeni yuko busy kulament kuhusu tume mwenzake anamwaga sera.
Pole Sana Raila , Shame to you ccm.
Kutokana na mpambano mkali wa uchaguzi nchini Kenya nilazima NASA na Jubilee wote wajiandae ki psychologia. Jubilee awetiyali kuachia madaraka na NASA kukubali kushindwa kama ikitokea kutokana na...
Utasikia unajua sisi Wakenya hatujui Kiswahili sana, sawa kwa hiyo mnajua lugha gani sasa? Kwa maana hata English hamjui pia, kwani Kenya siyo an English speaking country!
Au mnafikiri kutokujua...
Elizabeth Nyirabatware, 93, recalls her arrival in Kenya from Rwanda in 1945, accompanied by her now deceased husband Joseph Rwasa Nyabenda.
Nyabenda and Nyirabatware, then 21 years old, newly...
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe
Benjamin Sawe, Dar es Salaam
LICHA ya Tanzania kuwa na utajiri wa makabila zaidi ya 120, lakini watu wake wapo katika hatari...
Polisi wa utawala (Administration Police) wakipewa usaidizi na KDF walikua wanajitayarisha kuhakikisha upigaji kura utafanyika kiusalama kwani wako tayari kumudu mtu yoyote atakaeleta ghasia...
Hawa wauaji wa Kibit ni kina nani?
Mara nyingi, tumekuwa na baadhi ya watanzania (wachache) ambao wamekuwa wakifurahia magaidi wanapotekeleza mauaji hapa Kenya. Wengine wamekuwa wakisema kuwa...
By Nathan Ochunge | Updated Sat, June 24th 2017 at 08:23 GMT +3
A man in Lirhende village, Kakamega County, chopped off his father’s right hand after they differed over campaign posters of two...
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wananchi wa mkoa wa pwani kwamba serikali ya awamu ya tano imejipanga kuhakikisha kwamba miradi mikubwa ya maendeleo yenye manufaa kwa mkoa huo na...
Kwa kuwa watanzania wengi hawaijui lugha yao ya baba na wale wanaoijua hawapendi kuiongea hadharani, kuna nyimbo ambazo zimetungwa kwa lugha hizi huko na ambazo zimewika?
Katika tamasha za muziki...
The ban of a weekly newspaper in Tanzania has heightened concerns among observers that the government of president John Magufuli is intent on exerting pressure on journalists and stifling freedom...
Fursa hizi hapa, hamna cha kuzubaa, Wakenya jameni inabidi kukesha tukiwaza jinsi ya kutafuna, tukae mkao wa kula.
Implementation of the TFTA would open the door for EAC goods, which would not...
Angelina Jolie azuru Kenya ili kuzungumzia kuhusu dhuluma za kingono wakati wa vita
Nyota wa filamu nchini Marekani Anjelina Jolie yuko mjini Nairobi nchini Kenya ambapo anatarajiwa kuzungumza...
Baada ya mastaa kibao kutoka nchi mbalimbali kutua Tanzania kwaajili ya mapumziko wakiwamo Beckham,Sacko,Will Smith,Christian Eriksen,n.k Mchezaji mwingine kutoka Spurs anayejulikana kama Victor...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.