Kiongozi huyo wa chama cha muungano cha Azimio la Umoja One Kenya, anadai kwamba hatua ya hivi karibuni ya Rais William Ruto ya kuwateua majaji sita ambao walikataliwa na mtangulizi wake Uhuru...
Wakenya watalazimika kulipa pesa zaidi kutoka mifukoni mwao ili kukidhi ongezeko la gharama ya umeme.
Hii ni baada ya kampuni ya Kenya Power kuanza kutekeleza ongezeko la asilimia 21 ya malipo ya...
Ndiritu Muriithi, Gavana wa zamani wa Kaunti ya Laikipia anaweza kupata adhabu ya kifungo cha hadi miezi 6 jela pamoja na wenzake 13 waliokuwa wafanyakazi wa Tume ya Utumishi wa kaunti hiyo kwa...
Mgombea wa Urais Nchini Kenya, William Ruto ameahidi kuwafukuza Wachina wote wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na wazawa, iwapo atashinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 9, 2022...
Hilo ndio swali huwa najiuliza maana mda mwingi wana entertain mambo ya dini ya kikristo na kuwatenga Waislamu.
Kwa nini iko hivyo? Kama Wajaluo wamepigwa chini Urais, kwa Waislamu si ndiyo...
Kenya ni taifa katika mazingira halisi tuliyomo sisi. Hata hivyo taifa hili limepiga hatua kubwa sana kidemokrasia zenye kustahili kupigiwa mfano.
Hizi tantarira za eti kuwa IEBC ni sawa tu na...
Japo sikukupigia kura, na binafsi haujanishawishi ila Wakenya walio wengi walifaulu kukuchagua, inabidi tukubali maamuzi ya wengi ila tulio wachache tusiklizwe pia.
Nakumbuka kitambo nikiwa...
Big up kwa Kenya kuwa na Demokrasia kiwango cha juu kuzidi Tz lakini linapokuja swala la uraisi kuna utofauti mdogo sana kati ya Tz na Kenya .
Kiti cha urais kina mamlaka makubwa sana, hii ni...
Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya Raila Odinga amerejea nchini humo akitokea Zanzibar
Raila amesema hakubaliani na uamuzi wa mahakama kushikilia ushindi wa Ruto na kusema mahakama ilifanya...
William Ruto rais aliyethibitishwa na mahakama baada ya mpinzani wake kugomea matokeo yuko hatarini kuangushwa kabla hata ya kumaliza kipindi chake cha kwanza. Ameanza na papara huku akijua fika...
Kiongozi wa muungano wa Azimio La Umoja Raila Odinga hatahudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais mteule William Ruto siku ya Jumanne.
Katika taarifa yake siku ya Jumatatu, Odinga alikiri kuwa Ruto...
Rais Ruto amesema serikali yake itaachana na ruzuku ya mafuta ya petrol na diesel na badala yake itaimarisha kilimo cha mahindi kwa kuweka ruzuku kwenye mbolea
Source: Dira ya Dunia, BBC
Nawaambia Wananchi wa Kenya, mjindae, mfunge mikanda!
Kwa dalili na maneno ninayosakia Mh William Rutto ni wazi kabisa anakuja kufanya kazi, kwanza hataki kabisa siasa za kinafiki, Rutto anakuja...
Kutoka uwanja wa Kasarani
Septemba 13, 2022
Rigathi Gachagula - Naibu Rais
Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagula amesema kuwa nchi hiyo haitaingilia uhuru wa watu katika kuwasiliana.
Amewataka...
Taarifa iliyotolewa na shirika hilo leo Septemba 14, 2022 ilisema abiria huyo alifariki alipokuwa akihudumiwa na wahudumu wa afya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA)...
Anachokisahau tu ni kwamba Rais aliyemaliza muda wake ni Mafia hasa na karibia 95% ya System ya Kenya Iko Himayani Kwake.
Rais Ruto aangalie sana yasiye Kujitokeza yale ya tarehe 17 Machi, 2021...
List of the 10 biggest slums in Africa by population
1. Kibera, Kenya [emoji1139]: 700,000
2. Mathare, Kenya [emoji1139]: 500,000
3. Ajegunle, Nigeria [emoji1184]: 500,000
4. Shomolu, Nigeria...
Niko nimeudhuria kuapishwa kwa rais wa Kenya hapa kasarani stadium, Ruto inauguration "bas naona nyimbo zinazopigwa ni hzi za kidini zaidi.
Mfno Kama huu maarufu Sana eti ombee adui ako aishi...