mwenyekiti wa AU mheshimiwa JK anatarajiwa kuwasili kenya saa yeyote leo hii ktk kuhimiza harakati la suluhu nchini kenya.
hali hii inatokana na kukwama kwa mazungumzo hayo baada ya vyama...
Helo guys
leo ni siku muhimu tena kwa wakenya na hasa wale wa nchi jirani waliokuwa wakifunga na kuomba mungu ashushe amani kenya....
kama uko kwenye tv watch CNN NEWS,,,now,kibaki akisaini...
The Nation (Nairobi)
28 February 2008
Posted to the web 28 February 2008
Lucas Barasa and Churchill Otieno
Nairoibi
President Kibaki and Mr Raila Odinga have signed a deal that will see...
The East African Standard (Nairobi)
26 February 2008
Posted to the web 25 February 2008
Ben Agina
Nairobi
The search for a political settlement out of the post election crisis stalled...
Wakuu kuna matumaini gani hapa?
Hatma ya Kenya mikononi mwa Annan, Mkapa, Graca
*Viongozi wa dini wapinga mkutano wa ODM
*Wasema kipaumbele kwa sasa ni mazungumzo
*Wanajeshi wa Uganda...
The 99 Richest Kenyans
1) .philip ndegwa family (central bank thief)
2) .manu chandaria (ea match co, kaluworks and the 2billion dollaz a year mabati)
3). Simeon nyachea ( kabansora, prime...
Naomba nafasi ili niwapongezeni Watanzania wote popote mulipo duniani.
1. Hongera kwa kuweza kutuonyesha ukomavu wa siasa zenu baada ya presha ya wananchi kumtimua Lowassa na wengineo...
Nyie wenzangu mmeshaiona hii? Kwamba Kibaki alilazimishwa na Mafia kubaki kwenye urais wakati yeye alikuwa anajiandaa kumpa pongezi Raila kwa kushinda! Makubwa tutayaona Afrika hii!
NSIS...
Kenya kila kukicha watu wanachinjana wenyewe- karibu Wakenya wote ni Wakristo au Waislamu!
Kwa nini Viongozi wa dini wanakaa kimya na kuangalia? Wakati wa Rwanda 1994 kuna Viongozi wa dini...
Mahatma Ghandi, yule mwana falsafa hodari wa India, aliwahi kusema maneno haya; "The earth has enough for mans need but not for mans greed".Walioko madarakani katika nchi yetu nzuri, wanasukumwa...
Kenya sasa wananyoana, Watanzania tutie maji
Chris Alan
Tanzania Daima
YANAYOTOKEA Kenya baada ya uchaguzi mkuu ambao umesababisha machafuko ya kisiasa na kijamii kutokana na kutangazwa...
WanaJambo wenzangu, naona BBC wameandika kwamba Mbunge wa kuchaguliwa through ODM party wa Embakasi Jijini Nairobi amepigwa risasi na kufariki jana usiku masaa kadhaa baada ya wagombea wa4...
7 December 2007
Posted to the web 7 December 2007
Hundreds of Kipsigis tribesmen and militia from Trans Mara district in Kenya, on Tuesday torched farms in Tarime district in an unprovoked...
By Sasha Chanoff
January 19, 2008
FROM READING recent headlines about Kenya, one would think that the post-election violence is the result of tribal hatreds. But this assessment is wrong...
Wakati Museven akihaha kuingiza majeshi yake Kenya kumuunga mkono Kibaki
Polisi wametegua mabomu 60 kwenye Reli katika mji wa Jinja
soma hiii
Polisi wategua mabomu 60 kwenye njia ya reli...
Nani anafikiri au anamuona Raila odinga akiona kuwa amuachie Kibaki aendelee na Uraisi ..eti kwa sababu ya kulinusuru taifa lisiingie kwenye machafuko na vita vya kikabila na itikadi nyingine...
Hizi habari kuwa majeshi ya Uganda yapo kenya ni ya kweli? Kama ni kweli mbona hii sasa inatisha jamani kwa amani ya ndugu zetu wa kaskazini? Kwa wale walioko Kenya tupeni habari jamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.