Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Chama cha upinzani nchini Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters (EFF) kinachoongozwa na Julius Malema kimempongeza William Ruto kwa kushinda kinyang'anyiro cha urais. Malema amemtaka Raila...
2 Reactions
2 Replies
748 Views
Mwili wa aliyekuwa Msimamizi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) katika Jimbo la Embakasi Mashariki, Daniel Mbolu Musyoka, ambaye alitoweka akiwa katika eneo lake la kazi Agosti 9, umeokotwa...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Agosti 15, 2022 matokeo ya Uchaguzi yametangazwa, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ilimtangaza Willium Ruto kua Rais mteule. Kenya Tume yao wanajiita HURU lakini bado wagombea kama Odinga...
0 Reactions
5 Replies
673 Views
The Kipevu Oil Terminal in Mombasa. FILE PHOTO | NMG Before the launch of the new Sh40 billion Kipevu Oil Terminal in Mombasa, the old facility that had been in existence for six decades could...
1 Reactions
0 Replies
457 Views
Aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais nchini Kenya na kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga anatarajiwa kuzungumza na Wakenya kupitia vyombo vya habari leo Jumanne, Agosti 16, 2022...
2 Reactions
70 Replies
7K Views
Wadau ili kuepusha Mauaji ya Raia na Upotevu wa Mali zao ni RUTO KUKUBALI Kuunda SERIKALI ya Umoja wa KITAIFA Kinyume chake ILE KESI ya ICC itaanza tena.
0 Reactions
3 Replies
516 Views
Leo asubuhi nilikuwa naongea na shemeji yangu mmoja ambae ni afisa wa KRA ananiambia Wakenya wajiandae kulipia gharama za ufisadi. Unaambiwa William Ruto kawekwa na matajiri hasa jamii ya...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati amedai Jumatatu ya Agosti 15, 2022 alihangaishwa akiwa pamoja na makamishna na wafanyakazi wa tume hiyo ya uchaguzi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Makamishina wanne wa IEBC wanapingana matokeo ya Rais wa Kenya wanasema matokeo yalipikwa Wanadai kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani zimetoka wapi na Chebukati alishindwa kuwapa majibu...
17 Reactions
235 Replies
12K Views
Ruto amewahakikishia wananchi kuwa atakapopewa Mamlaka kamili ya utawala, watu watakua huru kuwasiliana bila hofu ya kuingiliwa faragha zao na mamlaka. Akionekana kugusia ujasusi unaofanywa na...
0 Reactions
4 Replies
801 Views
Hawa jamaa wa Raila ni wajinga kwelikweli, eti team ya Ruto wali hack matokeo? Ni uongo kwa sababu hizi Matokeo yote kutoka vituo vya kupigia kura ambayo yanajazwa kwenye fomu ziitwazo fomu 34A...
10 Reactions
76 Replies
5K Views
A Nairobi court has slapped a German national with 20 years imprisonment and ordered him to pay Ksh. 20 million for drug trafficking. According to a report issued by the Director of Public...
0 Reactions
0 Replies
451 Views
William Samoei Ruto ametangazwa kuwa Rais mteule wa Kenya. Marais kadhaa wa nchi jirani wamempa pongezi kupitia Twitter ila sijaona kwa Rais wetu Ni kuwa alikuwa anataka Raila ashinde?
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Hivi mmejaribu kuchukua kura ambazo kila mgombea amepata na kujaribu kuziweka into percentage with 2 decimal places? Ukitumia kanuni za hesabu mtapata kilekile kilichotangazwa na IEBC. Ila sasa...
0 Reactions
6 Replies
623 Views
Rais Uhuru Kenyatta alipowasihi wafuasi wake wa Mlima Kenya mwaka wa 2013 kumkumbatia William Ruto kama mrithi wake anayetarajiwa, alikuwa ameweka agano bila kujua hangeweza kulivunja. Wakaazi wa...
1 Reactions
2 Replies
989 Views
Kama kuna Rais nimependezwa naye toka Kenya ni ndugu yangu Uhuru Kenyatta. Huyu jamaa ni simple, hayuko comlicated kma wanasiasa wengi. Yuko down to earth. Huwa napenda sana kusikiliza hotuba...
12 Reactions
29 Replies
2K Views
Sikiliza video kwa walio na bundle. Unaelezewa wazi ni kwa nini Kenya ni tajiri ikilinganishwa na nchi nyingi za Africa licha ya Kenya kukosa madini au mafuta.
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Haiwezekani Taifa lenye Watu zaidi ya milioni 40 viongozi wakawa wanajirudia kutoka KOO zile zile. Kamwe hamtaendelea kama Taifa ila mtabaki mnazitajirisha koo hizo hizo. Hili jambo hayati...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Rais mteule wa Kenya Dkt. Ruto amesema atabadilisha sheria ili Mawaziri wawe wanaingia Bungeni na kuelezea hoja za serikali na Kujibu maswali ya Wabunge Ruto alikuwa anaongea na washindi wa...
0 Reactions
9 Replies
789 Views
Baada ya Raila Odinga kukataa Matokeo ya Kura ya Urais, Umoja wa Ulaya (EU), umetoa wito wa kusuluhishwa kwa mzozo huo kwa amani na kuwasihi viongozi wote wa kisiasa kuepuka ghasia Taarifa...
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…