Ni ngumu mno kumpata mwenza wa maisha, ukiamua tu kuwa na mtu kuna kitu kinaibuka unajiuliza hivi huu ndio mwanzo hata wiki au mwezi wa kufahamiana bado, duh tayari nimepata picha huko mbeleni...
nahitaji rafiki wa ku-socialize awe wa kike, umri chini ya miaka 22 na asipungue 18 awe anaishi dar, sifa ya ziada awe mzuri sitaki rafiki ntakaeogopa kumtambulisha kwa marafiki wengine kuwa huyu...
Salam, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, ninahitaji mke/mchumba alie siriazi na mahusiano.
Sifa zangu.
Mimi ni mkristo dhehebu la KKKT.
Nina watoto 4 kila mmoja na mama yake.
Nina kazi ya...
Nahitaji rafiki wa kike wala sio mpenzi sababu mpenzi ninae. Ila akitaka Huduma nyingne nitampa anazostahili mchumba. Tubadilishane mawazo ya maisha na tupeane ushauri. Awe na elimu juu hatakama...
niliandika thread humu natafuta mdada aliyesoma na ana kazi ila mapovu yaliyowatoka watu si wa nchi hii.
kwahyo bongo wadada wanataka wawe magolikipa tu ama? hizi mentality bana, muwe mnabadilika...
Mimi ni mwanaume umri wangumiaka 35, nina mtoto mmoja.
Natafuta mwanamke awe na sifa zifuatazo; awe mkristu hasa RC, ambaye hajazaa atafikiriwa zaidi, awe muajiriwa.
Mengine njoo PM.
Hello
Napenda kutumia nafasi hii kutafuta msichana mzuri na mrembo mwenye sifa zifuatazo:
01: umri miaka 18-30
02: elimu kuanzia form 4 mpaka bachelor degree.
03: dini awe mkristo
04: awe mrefu...
Nina miaka 25, Mkristo na nimejiajiri ninatafuta mpenzi awe umri kuanzia 20 mpaka 27. Awe dini yoyote ila awe tayari kubadili endapo tutaoana. Awe na urefu wa wastan kuanzia 145cm mpaka 160cm...
Hello
Bila shaka mko poa!
Kama headline inavosomeka, natafuta mwanamke wa KUANZISHA nae mahusiano ya kimapenzi kwa lengo la kuja kuoana na kuishi pamoja!
Umri : 28
Mwanachuo mwaka wa tatu...
Natafuta rafiki, awe msomi degree na kuendelea, rangi yoyote na umbo lolote kabila lolote miaka yoyote,
Sihitaji mchumba wala girlfriend narudia tena ni rafiki tu wa kubadilishana mawazo na...
Morning Jf! Kuna mdogo wangu kampenda sana bint mrembo chuchu kama mdoli kwao watata jamaa nae mipango ya ajira bado haijakamilika.
Anahofia kipindi cha kusubiria atapokonywa kwa urembo wake hata...
Wakuu natafuta mchumba wa kuoa ambaye anasoma Chuo cha Ualimu Tabora ama Chuo Cha Uhazili Tabora aliyetayari kuolewa na asiyejali masuala ya uke wenza.
Sifa za nwanamke huyo:
-Umri kati ya 20...
Hellow, najitokeza Kwa Mara ya kwanza kutafuta mke wa Kuoa.Kwajina naitwa Johnson mwenye Umri wa miaka 35,dini yangu ni mkristu (RC), rangi na muonekano wangu ni mweusi, urefu na unene niwa...
Anahitajika mwanaume aliye tayari kuwa mume mzuri,
umri kuanzia miaka 30,
Anayejitambua na mwenye hekima, akili na reasoning ya kutosha.
Awe mkristo, ila asiwe mlokole,
Awe na upendo wa kweli...
Kama jina linavyojieleza mimi ni msichana mrembo sana nipo Dar es Salam napenda sana kujifunza hasa kutoka kwa critical thinkers!
Nafahamu yakuwa kuwa curious kuna negative na positive outcomes...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.