Mimi natafuta mchumba awe mweupe mrefu wa stani awe na elimu nzuri i mean degree nakundelea.
Umri 36 - 50 hata kama unawatoto mimi sawa tutatunza.
Awe mcheshi ila sio kuzidi.
Awe na kazi nzuri...
Habari za masiku wakuu wa jamvi,
Hapo kipindi cha nyuma nilipost Uzi wa kutaka mwenza ambae ni single mother japo ulifutwa Mara mbili. Hakika kila jambo lenye kheri na lenye tija linamafanikio...
Habari wana JF .
Kuna hii tabia ya akina wadada ambao akitaka kuja kwako kama mpo mkoa tofauti lazima atadai nauli ya kurudia mkoani kwake.
Hvi najiuliza alipokuja kwani alijua anakaa maisha au...
Kitaaluma ni mkufunzi na nina umri wa 30 years, nahitaji mwanamke aliyetayari kuishi nami kwenye shida na raha atleast awe na 23 years and above .Kigezo kikubwa awe mpole mstaarabu .Uzuri ni kazi...
Mimi ni kijana wa kitanzania nimeajiliwa nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo
- umri 21- 30
-Muajiliwa
-mkristo
-Asiwe mfupi
-awe white au maji ya kunde
-Asiwe mnene sana au mwembamba sana...
Habari wakuu.
Nina miaka 41, niko Dar, mkristo (kkkt) na sina mtoto.
Nina ulemavu wa mkono mmoja, nimeajiriwa serikalini.
Nahitaji mke mwenye hofu ya Mungu wa kuishi nami.
Ambaye yupo serious...
Habari za mida wana Jf Mimi ni mwanaume alie timia sifa za kiume ninatafta mpenzi anae jitambua awe ni mkazi Wa kunduchi/tegeta ila awe anajitambua asiwe mdangaji
Sifa za mtaftaji
By professional...
-am 24
-black in colour
-slim
-nakaa dsm
i need a man who is
-24 and above
- anaekaa dsm
i need a serious man jamani...
wale wa hit n run dont even bother cause u'll be wasting your time...
Mimi ni kijana wa kiume, umri wangu miaka 27. Naish Dar napia nimeajiliwa nimeajiliwa katika kampuni moja wapo kubwa hapa nchini.
Natafuta mke mwenye umri wa miaka kati ya 20 hadi 25, awe ,weupe...
Mimi ni kijana wa miaka 30 natafuta mke HIV+ urefu wangu ni cm 165 au futi 5.4 ni mfanyabiashara na sijaanza ARV's sababu CD 4 bado zipo juu nimeupata ivi karibuni.
Vigezo ni;
1. Awe maji ya...
Tafadhari sana kama unamanisha kutafuta mume naomba uni pm tujadili ,umiri wowote kutoka 20-35 mengine tutazungumza, elimu yangu ni degree 1 nimwajiriwa wa serikali,karibu.narudia mimi nipo...
Habari za leo wana jukwaa,
Miezi michache iliyopita nilileta uzi hapa wenye kichwa cha habari " Natafuta mke mwema"
Tangu kipindi hicho nilipopandisha uzi huo nimegundua kuwa wa2 waliowengi...
Habari za wanaJF?
Mimi ni kijana kitanzania, nipo hapa Dar es Salaam. Baada ya kushughulika na michakato ya maisha, hasa kuweka mikakati mizuri.
Sasa muda wa kuoa ndiyo umefika. Sasa ninahitaji...
Salute wana-JF!
Yangu ni machache tu. Mimi ni mwanamume wa miaka 43. Nilioa tukaachana kutokana na matatizo ya ndoa [details nazihifadhi]. Tulijaliwa watoto 3. Siwezi kuishi maisha yangu...
Ni aje makamanda, I hope mko poa.
Mwenzenu nilijaribu maisha baada ya kiajira changu cha kwanza lakini ikabidi nirudi home kwanza nikajipange upya, hatimae nimepata kazi ya mshahara ambayo kwa...
Wapendwa mimi ni binti wa mid 20's natafuta mwanaume wa kunipa kampani,ni strictly kampani no sex involved.niko lonely nahitaji mwanaume wa kuwa karibu nami kama rafiki na kuspend time especialy...
MK ULTRA SEDUCTION[emoji769] is rooted in advanced psychology and mind control strategies,works on virtually every female type on the planet - from the homely girl-next-door to the top supermodel...
Hello people,
My name is Richard, a Tanzanian living in Arusha. Professionally, I'm an Accountant of a reputable Organization in town. I'm looking for a woman of my life (who stays in Arusha)...