Kama uzi unavyojieleza mimi ni kijana wa miaka 25 ni mwanafunzi nipo chuo mwaka wa 3.. Nitarajia kumaliza mwakani mwezi wa 7 kwetu kabisa mkoa wa mtwara Nina.. Msukumo mkubwa Sana baada ya...
Mambo zenu mi ni mwanamke umri 23 yrs elimu form 4 tu ni muuguzi natafuta rafiki wa kawaida tu kwaajili ya kubadilishana mawazo ila awe Mzungu kutoka nchi za Ulaya
Wale wa-Italy watapewa...
Kama title inavyojieleza guys i real real seek for a girlfriend
>>Age asizidi 26yrs
>>dini yeyote
>>mostly romantic na kama upo Dar es salaam it'll be so nice
mimi ni mwanachuo chuo flani Dar...
Kama title inavyobonga.<br />Mi ni me bwana we siku hyo nimetoka kushugulikia gar langu kwa fundi kuhusu mambo ya regetor ghafla nikaona text. Beib umekula? Nikajiwazia nikasema huyu mwanamke anae...
Habari,
Najitokeza kutafuta mwanamke ,awe mchumba later awe mke.
-Nina miaka 27
-yeye awe na 27 kurudi nyuma
-awe na elimu kuanzia na diploma
-dini awe muislamu.
Aliye tayari ani pm.
Ndoa zimekuwa ngumu waume Na wake Wema wanapatikana kwa shida sana.Sasa kwanini humu mtu asiseme natafuta mtu ambaye ana kwake lakini angalau awe anakuja kunitimizia mahitaji ya kindoa japo...
Habari zenu ndg ! natafuta mwanamke wa kuoa umri kuanzia miaka 23 na kuendelea sichagui dini wala kabila ila lazima awe mikoa ya mwanza mara shy na dodoma hata uwe na mtt usiogope nafanya kazi...
Napenda kutoa mrejesho kama ifuatavyo...
Walijitokeza wasichana karibia wanne kule PM, nilifanikiwa kuonana na mmoja infact ni mwanafunzi ila hakuwa serious kabisa within two days alishaonesha...
Habari za jioni wana jukwaa hili pendwa narudia tena kuwa natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 18 mpaka 25 ...
Asiwe mnene sana na mwembambamba sana
Awe wa kawaidaa na asiwe wa...
Hamjambo humu
Kwa dada aliye free kuanzisha mahusiano let see if tunaweza kuwa
Uwe Dar most preferred, umri 25 na kuendelea..
elimu form Four au zaidi na uwe tayari kupima HIV
Nawasilisha na karibuni
Kama title inavojieleza, natafuta mtu atakae kuwa serious kene mahusiano nami ntapatia Yale mapenzi ya dhati kabisa....
Wasifu wangu........
Chuo mwaka wa pili
Mrefu futi 5.8,umri miaka 24
Maji...
Mimi nina umri wa 35.kazi mjasiriamali.sibagui rangi,kabila,elimu wala dini.
Nitatoa huduma zote kwa mtoto ikiwemo elimu.
Niko tayari kupima ukimwi na wewe uwe tayari kupima .
Ni-PM
Umri wangu;23
Dini yangu;christian
Elimu yangu;degree
Rangi yangu;black ila cyo km mkaa
Kimo changu;160cm
Binti awe na umri kuanzia 19-22 itapendeza na mweupe.
Habarini zenu hapa ndani,
Nina miaka 26 ila kulingana na umri wangu (mdogo) siwezi kuoa kwa sasa na hivyo nahitaji mdada mzuri wa kuzaa nae tu.
Nitagharamia kila kitu kuanzia siku ya kwanza ya...
Wakuu waswahili husema mficha uchi hazai, nami nimeamua kuufuata msemo huu wa wahenga maana naona mambo yanakuwa sio.
Am gentleman aged 25 natafta mchumba wa kuyajenga naye na ikibidi kuoana.Awe...
Habari za wanaJF?
Mimi ni kijana kitanzania, nipo hapa Dar es Salaam. Baada ya kushughulika na michakato ya maisha, hasa kuweka mikakati mizuri.
Sasa muda wa kuoa ndiyo umefika. Sasa ninahitaji...