Habari za wote humu ndani,
Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa mara ya kwanza nilikutana na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced.
Nimekaa miaka mitatu single...
Habari wapendwa
nimekuwa na ndoto ya kuoa mzungu jamani sasa sijui hawa wazungu wanavutiwa na vitu gani sana sana
ili nifanikishe hili niweke toto la kizungu ndani
sina lengo la kulelewa mimi...
Habari za muda huu ndugu zangu Wana-JF,
Kama ilivyo asili kwamba mwanadamu atazaliwa, atanyonya, atatambaa, atasoma na kufanya vitu vingine, lakini kwa mapenzi yake Mungu Muumba wa mbingu na nchi...
hello girls!!! Mimi ni mwanaume wa miaka 33,nimeajiriwa,msomi wa degree ya pili,smart,medium sized body,mstaarabu.Natafuta msichana ambaye atakuwa mke wangu!, awe na mwonekano mzuri,tabia...
Habari zenu,
Nimekuja kwenu . Nimechoshwa na upweke.
Mimi ni msichana wa 27years, natafuta mchumba ambae atakuwa serious kuwa na familia na si kupotezeana mda.
Sifa zake;
Awe na miaka kuanzia...
Umri wangu ni miaka 35 nimeajiliwa wizara moja serikalini mwaka wa tatu huu.
Natafuta mchumba wa kumuoa mwenye umri kuanzia miaka 20 mpaka arobaini awe na khofu ya Mungu, msikivu, msafi na mke...
Awe mkristo awe na kazi halali kwa Mungu na jamii awe na akili timamu, awe mwelewa ugomvi sipendi, awe na umri kati ya miaka 32-38
Mimi ni mkristo ni mrefu umbo la kawaida na ni mweusi.
Waume za...
Kama Heading inavyosema....Natafuta Mwanamke wa Kumuoa!
Sifa zangu
dini: Mkristo
Mkoa:Arusha
Elimu: Darasa la Tano (Nilikataa shule)
Rangi: Sio mweupe sana
Umri :22
Sifa za Nimtakaye!
Dini...
Habarini, wanaJamii,
Mimi ni msichana umri 28_30, ni mkristo, nina elimu ya Chuo kikuu, nina tafuta mume mkristo mwenye hali kam yangu, awe na miaka kati ya 30_40.
MWENYE SIFA ZIFUATAZO:
Awe ana...
Mimi nina miaka 24
Rangi maji ya kunde
Mwembamba
Urefu wastani
Mjasiriamali
Naishi Dar
Sifa za girlfrend
Asiwe mweusi
Kabila na dini yoyote
Kazi yeyote
Umri awe 18_25
Kama upo serious uniwezi PM
Habari zenu wana MMU,
Nadhani post yangu ya juzi wengi wenu mliisoma,
Ilisema; Natafuta mpenzi
Nilikuwa natafuta mpenzi nashukuruni kwa kuwa pamoja na mimi na wale ambao walinifuata pm na...
Nina miaka 27
Ni mwajiriwa serikalini
Ni mkristu
Msukuma.
Awe na sifa zifuatazo
[emoji173]miaka 22 hadi 32
[emoji173]mpenda maendeleo
[emoji173]mcha mungu
[emoji173]kama amezàa angalau mtoto...
Mimi ni kijana wa miaka 25 naishi dar es salaam. Sijaoa sina mtoto ninafanya kazi na nafanya biashara. Natafuta mwanamke aliyenizidi umri kwa sababu sitaki kuyumba katika kazi zangu na biashara...
Habari za leo wana jukwaa,
Kwa mara ya kwanza, najitokeza hapa nikiwa na nia ya kutafuta mwanamke ambaye tutakua naye katika mahusiano, na hatimaye kuwa mme na mke.
Mim ninaish Dar, umri wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.