Natafuta rafiki wa kike popote pale. Asizidi miaka 28. Mkristo mwenye hofu ya MUNGU. Awe aghalau na diploma au zaidi. Awe mwembamba, asiwe mfupi. Mbunifu na mwenye mtizamo chanya wa kimaisha...
Hakika mume/mke mwema anapatikana popote pale,
Nashukuru nilileta uzi wa kutafuta mume,Mwanaume aliye tayari kuwa mume baadae aisee wengine walifanya masihara sana na wengine walikuwa serious...
Nataka mchumba ambaye baadae atakuwa mke, Baada ya kumaliza stress za kupata kazi na kutulia nimeona nivema nipate mwenzangu kama mchumba sasa hivi ili tuandaane kwa miez isiyopungua 10 mpaka...
Kama we ni mkazi wa dar umri miaka 18-25 mkristo uwe tayari tukapime HIV na uwe na kajishughuri chochote chá kukuingizia kipato. Nipo hapa kwajiri yako nitafute.
Habari zenu jukwaani:
Naomba tushare hapa
Ni maneno gani mazuri ya malovidavi tuachane na common yaliyozoeleka
Tutumie ya kisasa ya kwenda na wakati (mwendo kasi):
Nataka yawe kwa English na...
Am 30 yrs old i reside in Dar and my tribe is Chaga, am back again looking for a serious lady to be in relationship with c'se i have'nt been successful in the first thread. I have a diploma in B.A...
Habari wana JF,
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 36.
Ninatafuta mpenzi mwenye upendo wa dhati atakayekuwa mume wangu.
Sifa zake
Umri: 37-45
Dini: Mkristo
Elimu: kidato cha sita na kuendelea...
-Umri kuanzia 14 kwenda juu
-Mrembo/natural na anayeishi DAR
-Awe single, divorced au widowed (not single mother)
-Ajue kusoma, kuandika na kuhesabu
-Awe mrefu (urefu kuanzia kozi 7 za tofali za...
Habari wana jamii Mimi ni Mtanzania naishida Kanda ya ziwa, natafuta rafiki wa kike mzuri mtaratibu na pia mwenye hofu ya Mungu. Lengo kubwa kama ikimpendeza Mungu baadae aje kuwa mama wa watoto...
Habarini wadau wa jukwaa la love connect:
Natafuta mchumba wa kuoa mwenye vigezo vifuatavyo;
1.Kabila-msukuma
2.Dini-mkirsto
3.Rangi-maji ya kunde/mweupe/white is fashion....
4.Umri-miaka 18-22...
Habari za weekend wananchi wenzangu,
Napenda kuwapa heshima kubwa wote wanaochangia humu JF.
Nimekuwa nikifanya research juu ya watafutao wapenzi, wake, michepuko na mirejesho yao pia...
Kama kichwa kinavyojieleza..
Natafuta mwanamke aliyetayari kuolewa in 6 months
Sifa:
Muislam
Hajazaa
Between 20-30 yrs
Si mnene, mrefu mweupe ni sifa ya ziada
Elimu yeyote
HIV free
Sifa zangu...
Habari wana jamvi,
Kama kichwa cha habari apo juu kinavyosomeka,
Nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo;
1.Awe Muislam mwenye imani na dini
2.Umri 22-24
3.Elimu kuanzia kidato cha 6 na...
Mimi ni girl miaka 24 model sio muongeaji sana, natafuta mwanaume wenye umri kati ya miaka 25-30 kwa ajili ya kubadilisha mawazo ikiwezekana kuwa mume, awe ameokoka, sitaki sharobaro.
Uliyetayari...
Salamu wadau,
Kwa heshima na taadhima na wajulisha kwamba natafuta mchumba/mpenzi wa kike au niseme mwanamke. Angalau awe na umri wa kuanzia miaka 20-45.
Sifa: Awe mcha Mungu, imani yoyote, awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.