Nina miaka 29, nahitaji msichana alie serious na yuko tayari kuolewa ndani ya mwaka mmoja. Atleast awe na kazi inayompa rizki yake (not neccessary).
Umri kuanzia miaka 21_25. Dini sio kikwazo...
Habari najitokeza kwa mara ya kwanza kutafuta mke wa kuoa nipo serious na ombi langu ninalo lileta kwenu.
Naitwa Jackson mwenye umri wa miaka 34.Nina Elimu ya chuo kikuu,mimi ni mweusi ,kabila...
Habari za mchana wadau.
Sitaki kuwa mzungushaji kwa kuandika maneno kibao.
Mimi ni kijana wa kitanzania late 20's nimeishi nchi mbalimbali na sasa nimeamua kuhamishia makaz yangu Tz japo naona...
Sina Kazi
Nina degree ya banking and finance
Najishughulisha na kilimo cha mpunga
Age 32
Naishi Dar
Anatakiwa mke
Mrembo
22-28
Mpambanaji
Asiwe na mtoto
Mkristo mkatoliki
At least form...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32, mtumishi, elimu form six, mkristo roman cathoric, ninatafuta mchumba wa kike ambaye anajiheshimu
Sifa zake;
1)Awe mkristo mromani cathoric
2)Elimu kuanzia...
Habarin za leo wanajukwaa.
Najitokeza hapa nikiwa na nia ya dhati kabisa ya kutafuta mchumba, ambaye tutakua nae kwenye mahusiano na hatimae kuoana na kutengeneza familia yetu.
Nina umri wa...
Mna lipi jipya la kutushawishi labda? mwanaume akipata sababu ya kuoa huwa hachelewi hata kidogo,ukiona unakaa na mwanaume zaidi ya mwaka ujue hajaona jipya kwako yaani huna ubunifu wowote zaidi...
Habari zenu wakuu!
Nimejitokeza kwenu kuhitaji binti ili niweze kumuoa kama tutaendana.
Awe muislamu.
Umri 18-28.
Elimu kuanzia kidato cha 4.
Kuhusu mimi.
Umri wangu miaka 27.
Muajiriwa...
Habari za wakati wapendwa ?
Ni matumaini yangu mu wazima wa Afya !
Natafuta mpenzi wa kike anaeishi Dar, awe mchumba na hatimae mke wangu .
Awe mrefu kiasi , mwembamba wastani , mwenye nidhamu...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, nilieajiriwa, ninahitaji mke wa kumuoa awe mkristu dhehebu lolote kwa sasa napatikana Dodoma.
Kwa alie tayari anichek inbox kwa SMS, serious I mean.
Habari wana jf,natafuta rafiki wakike baadae aje kua mkewangu wa ndoa,kwa mawasiliano zaidi anitafute kwa namba 0689425236,sina vigezo Vinci,awe na umri wa miaka 27-40,
Mimi naitwa Peter John ni mkazi wa Dodoma nina umri wa miaka 27, natafuta mchumba wa kuoa, awe na sifa zifuatazo;
Awe na elimu kuanzia form four
Awe mkweli
Kwa mawasiliano zaidi namba yangu ni...
Natafuta rafiki ambaye tutafahamiana na mungu akijalia awe mchumba Kama tutaendana
Awe mkiristo na mwenye hofu ya mungu wa Kabila lolote
Awe mzuri wa roho na mwili yaan rangi ya maji ya kunde au...
Iam single,am looking for a single man aliyetayar kwa mahusiano serious,Kama uko below hiyo age ,pls...dont bother kunipm....naomba wew kaka ambaye hauko serious usinipm
I am 28,
Naishi Dar...
Habari za humu ndani?
Kwa heshima kubwa najitokeza hapa kutafuta MKE MGUMBA
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 48
Nimejitokeza hapa kutafuta MWANAMKE MWENYE KUSHINDWA KUPATA MTOTO AU...
Natafutamke pm kama unaweza.
Sifa. Awe mzur kiasi,mrefu kiasi mweupe kiasi mcha mungu ndo sifa kubwa kulikovyote
Pm then utapata namba ya cmu then tutachat kuwasap zaidi.
Mimi ni kijana nina umri miaka 27 Natafuta mke wa kuoana naye awe mwaminifu katika mapezi mwenye nia yakujenga dini yoyote rangi yoyote ila awe na shepu zuri tu umri 19-25 alie tayari aje pm au...
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nina elimu ya kidato cha nne + college certificate ya fani ya IT(information Technology)
ni mweusi na mwembamba kiasi
Natafuta mpenzi wa kike mwenye umri...
Habari wanajamvi,
Mimi kijana wa kiume mwenye miaka 20's.
Nina shahada ya uhandisi wa umeme.
Nimejiajiri katika fani yangu hiyo hiyo.
Natafuta rafiki ambae atakuja kua mke hapo baadae.
Awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.