Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nina umri wa miaka 25 natafuta mchumba awe anajielewa, ana hofu ya Mungu, elimu kuanza kidato cha sita na kuendelea, awe mrefu kiasi, kwa dini awe mkristo. Kwa maelazo zaidi tuwasiliane kwa no...
3 Reactions
44 Replies
8K Views
Mi ni binti natafuta mwanaume atakayekuja kuwa mume na baba watoto wetu tutakaopata. Awe mkristo mi pia ni mkristo. Awe na urefu na fut 6. Awe kazi ya kutunza familia. Umri 32-38. Asipende sifa...
2 Reactions
44 Replies
11K Views
Nashindwa kuwaelewa Wasichana wa sasa kila msichana nikimuaidi kuwa ntamuoa ahamini hii inatokana na nn au wasichana wa sasa awana tena ndoto za kuolewa?????[[emoji27] [emoji27] [emoji27]...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Am 28 looking for a man ready to start a family with me sio utani..niko serious Nimeajiriwa kampuni binafsi, sina mtoto, mimi ni mkristo mlutheri kabila langu mchaga, mwanaume atakayekuja awe 33+...
11 Reactions
185 Replies
14K Views
Awe mkristo, awe na kimo cha kati, awe na miaka 23-28 mimi nina miaka 31 karibuni pm wapendwa wangu au nicheck 0687076051 na 0653707517
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Habarini wanajukwaa, Kwa mara ya kwanza nakuja jukwaani apa, natafuta mwanaume ambae atakuja kua mchumba na baadae ndoa, Mungu akijalia, nimepitia mirejesho mingi wapo walifanikiwa humu juwaani...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Mimi ni msichana wa 25yrs,ninaishi na vvu.ninasoma hivi sasa ninaingia mwaka wa mwisho,nina mwili kiasi urefu kiasi,mweupe kiasi,mkristo.ninatafuta mwanaume mwenye hali kama yangu,mkirsto age btn...
11 Reactions
101 Replies
10K Views
Jamani mimi ni mwanaume, nahitaji mke umri wangu miaka 33, mimi ni mfanyabiashara hapa jijini Mwanza. Nataka nikimbie ukapera nahitaji kuwa na familia sasa. Mwanamke ninae muhitaji awe na mvuto...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Salaam JF, Mimi ni mwanaume 30 years mfanyakazi sekta binafsi. Ninatafuta rafiki wa kike ili baadae Mungu akipenda awe mama watoto wangu. Umri awe above 25. Awe anaishi mikoa ya Songwe, Iringa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kuwasilisha hoja yangu kwenu, Natafuta mwanamke ambae baadae Mungu akipenda awe mke wangu, mimi umri wangu ni miaka 30. Naishi Dar es Salaam, ni muajiriwa wa private sector, mwanamke...
1 Reactions
1 Replies
732 Views
Natumaini nyote ni wazima. Natafuta mwanamke mwenye hitaji la kupata mtoto kama mimi pia. Awe na sifa zifuatazo: 1. Umri miaka 25-34 2 Anajitegemea kiuchumi 3. Awe tayari kupima afya (HIV) 4. Awe...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Jaman naitaji Mchumba wa Kike vigezo awe na umri 19&21 asiwe M mbulu, Mrangi wala Mnyaturu awe anajieshimu, awe mcha Mungu kama yupo anifatee kuleee PM nipo sirias kabisa
0 Reactions
7 Replies
917 Views
Jina kamili ni Abdulkadir Bin Hassan, Naishi Tanga, Kazi yangu ni Tour guide, Nina miaka 20, Nahitaji mpenzi serious nahitaji mwanamke anae jitambua kutokana na umri wangu nimeona ni jambo jema...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Natafuta rafiki wa kike (girlfriend) wa kubadilishana naye fikra na uzoefu wa mambo mbalimbali. Wasifu Wangu Mfupi kiasi, 5'5 ft, Maji ya kunde Umri,miaka 28 Ni mkristo Nina kazi Napendelea...
0 Reactions
482 Replies
80K Views
Habari za jioni ladies and gentlemen poleni na mihangaiko ya siku nzima. Kuna dada leo ameleta mrejesho na amenitia moyo aliposema tangu 2013 alikua akitafuta ila amekuja kufanikiwa mwaka huu...
11 Reactions
83 Replies
7K Views
Kama kichwa kilivyo, Kwa mtu timamu hakuna asiyejua hilo ni jukwaa la mlengo gani. Lakini cha kushangaza anatuma mtu post ya kusaka mchumba kama jukwaa linavyotaka, mtu anaanza kumtukana mleta...
18 Reactions
27 Replies
3K Views
Naishi Dar ni kijana/boy mwenye umri wa miaka 22 natafuta/nahitaji girlfriend mwenye age kati ya 20-21 awe musilum pia awe ni mkazi wa Dar karibu PM kama utakuwa uko tayari mengine yatafuata.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna mtu ameniambia nimfwate PM nisaidien
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Bint wa kiislam mwenye nia ya kuolewa...awe ana uelewa wa dini ya kiislam vizuri. AMUOGOPE ALLAH. Swala awe ana swali. Stara na ajiheshimu. Awe hajawahi olewa. Awe hajazaa. Asiwe na historia...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom