Wadau habarini za kazi? na poleni na majukumu ya hapa na pale katika kulisukuma gurudumu la maisha.
Leo ningependa niseme changamoto mbali mbali nilizokutananazo katika Love connect
1:Seriousness...
Wanajukwaa nahitaji mwanamke, black beuty, kabila lolote, macho makubwa, elimu na dini sio kipaumbele kwangu.
Nipo Mbeya nina kazi yangu, nina umri 27. Ila azizidi miaka 24.
Sent using Jamii...
Mie ni Mzee wa miaka 40 nimeoa na kuacha mara mbili kutokana na kuto-match. Nimekaa singo miaka miwili sasa bila mwenza.
Nimechoka kujipikia, kufua na kupiga pasi. Nahtaji mwenza kuanzia miaka...
Habari wana JF,
Nimemaliza chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe kufanya kazi binafsi ya kusafisha mazingira hususani kuzoa taka pamoja na kuzibua vyoo ajira hii inanisaidia kupata ridhiki kwa...
Nimepost kuhusu kutafuta mchumba ambaye awe mke,lakn wengi wanaojitokeza wanataka urafiki tu.Mimi ni mtu mzima sitaki ma girl frnd ila nataka mchumba mwenye nia na utayari wa kuwa mke na kufanya...
mimi ni mwanaume wa miaka 31 nipo dar nimeajiriwa natafuta msichana wa kuoa nimechoka kuwa mpweke nataka family awe na umri kuanzia miaka 23 kuendelea asiwe ametumia mkorogo elimu kuanzia kidato...
Habari zenu!
Natafuta rafiki wa kike aliye huru na muda wa kutosha kua kalibu na mimi awe anaishi Dar es salaam au hata mikoa jirani.
Mimi najitegemea na bado sijaoa na nimuajiliwa kwenye...
Habari zenu wanajamvi,
Natumai nyote ni wazima bila kupepesa macho nakwenda moja kwa moja kwenye mada aisee shida yangu mimi ni msichana tu awe mpenzi.
Nikwamba ni mda mrefu sana niko single...
Wajameni salaaama!
Jamani mwenzenu hakuna suala linanitatiza kama kutafuta mwanamke wa kuoa, si kwamba mimi nina mandazi mdomoni ila sasa kila ninayemnasa badae nagundua ni wrong way namani...
Kichwa cha habari kinajieleza,
Mimi ni mwanaume wa miaka 29, mtumishi, mrefu cm 185, mwili wa kawaida.
Msichana awe mweupe, au maji ya kunde, elimu kidato cha nne na kuendelea, mfanya kazi au...
Habari zenu natafuta mchumba nimechoka upweke from 25-35 female.
Mimi ni mwanaume nina miaka30 kwa walioserious tu nakuruhusu kuja pm.Mengine tutadiscuss.
Thanks in advance.
Sent using Jamii...
Habari zenu waungwana mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa natafuta mchumba ambaye baadae atakuwa mke awe na elimu kuanzia kidato cha nne umri kuanzia miaka 23 aliye interest tuwasiliane pm...
mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa serikalini natafuta mchumba wa kike wa kuoa awe na umri wa miaka 24-26 elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea aliye interested tuwasiliane pm
Mwanamke aliye na mapenzi ya dhati,mcha Mungu(muislam),mtafutaji,elimu level yoyote kuanzia ngazi ya secondary,kama ana kazi ni added advantage,mm ni muajiliwa serikalini nna ishi nje kdgo ya jiji...
Mimi ni mwanaume wa miaka 31nimeajiliwa serikalini nipo Dar natafuta mchumba wa kike kwa ajili ya kuoa hapo baadae awe na umri 24 -26 elimu kidato cha nne kuendelea, aliye interested tuwasiliane pm.
Naitwa karry,nna miaka 23,binti wa kitanzania mwenye rangi ya maji ya kunde na urefu wa fut 5...nywele urefu wa mabega, si mnene wala mwembamba, sio mrembo lakini navutia,sina mpenz wala...
Acheni utani kueni serious, wengine ni kweli wanatafuta wenza na marafiki wengine wanafanya utani acheni jamani kuna watu wanashida kweli.
Post sent using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.